Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Best wangu ametengana na mumewe wa ndoa (ya miaka 7 na ushee) huu ni mwaka wa pili sasa, walibarikiwa mtoto mmoja ambaye ni above 7 lakini under 18. Kwa sasa mtoto yupo kwa baba yake na hakuna...
Wakuu,
Nimeona si vibaya nikiwataadhalisha mkawa makini pale mnapoingia katika gate la mlimani city ili msije mkapata usumbufu kama ulinionipata mimi
Ni hivi ukiingia pale hasa ili geti...
Zijue haki zako na wajibu wako, usimamishwapo na polisi wakati unaedesha gari. Usitoe rushwa na Usipokee rushwa: Ndugu wadau hapo kwenye amabatanisho (attachments)kuna waraka alio utoa ndugu yetu...
Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalum ya Dar, Suleiman Kova. Na Makongoro Oging'
WIKI iliyopita katika safu hii tuliandika habari kuhusiana na wizi wa shilingi milioni 700 zilizoibwa kwa Mary Mramba...
Kiongozi wa Askari magereza, akiwaongoza Sheikh Ponda na wenzake, kutoka mahakama ya hakimu mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam, baada ya kuahirishwa kwa kesi yao.
Sheikh Ponda Issa Ponda...
MARA kwa mara jamii imekuwa ikisikia Wanajeshi wakiwapiga Askari wa Usalama barabarani hasa Jijini Dar es Salaam Trafiki wa Moshi huenda wamechoshwa na unyanyasaji huo kwa walinzi hawa wa amani...
BARAZA LA KHABARI TANZANIA MCT LASHITUSHWA NA KUZUIWA VYOMBO VYA KHABARI BINAFSI ZANZIBAR KUZUIWA KUTANGAZA TAARIFA ZA UAMSHOWritten by Harith // 03/11/2012 // Habari // No comments
BARAZA...
Baraza la mawakili (The Legal Education Council of Tanzania)lililoketi mwanzoni mwa wiki hii jijini Arusha ili kumtahini Bwana James Millya, Amefaulu na hivyo kuanzia sasa atajulikana kama...
Kama utakumbuka vizuri katika kikao kilichopita cha bajeti ya serikali bungeni Dodoma, wizara ya fedha ilipeleka mswada bungeni wa kurekebisha viwango mbalimbali vya ushuru ikiwemo ule wa...
Katika hali isiyo ya kawaida binti wa miaka 11 anayesoma darasa la sita alibakwa na babu zake wawili wenye zaidi ya miaka 50,tukio hilo lilitokea nyakati mbili tofauti wakati tukio la kwanza...
Jamani,hawa watu sawa weonekana kufanya makosa in the society,ila ni haki kweli kumpa mlo mmoja kwa siku kama inavyosikika kwa sababu ni mfungwa? Zitto Kabwe aliuliza swali la ukweli,"wafungwa na...
Majaji hawa 7 wa Mahakama ya Rufaa wakiongozwa na aliyekuwa Jaji Mkuu Augustino Ramadhan,akisaidiwa na majaji wenzake 6 ambao ni Eusebio Munuo, Januari Msofe, Benard Luanda, Mbarouk Mbarouk...
Kwa mwana jf aliyebahatika kupita njia ya mandela maeneo ya taraza siku ya leo atakuwa amekutana na vijana waliovaalia mashati meupe yenye mikono mirefu ambayo kifuani kwenye mfuko yamechorwa...
Samahani ndugu wana jf...niliwahi kufanya kazi ya ku-supply vifaa Halmashauri ya wilaya moja hivi. Kwanza malipo yangu yalichelewa sana mpaka ikabidi nianze kutishia kwenda mahakamani. Baada ya...
Abiria wasiovaa helmeti sasa kutozwa Sh30,000
Posted Friday, November 2 2012 at 08:21
In Summary
Akikamatwa abiria hakuvaa kofia ngumu atatozwa faini ya Sh 30,000 au kufikishwa...
KESI YA MWANGOSI: Mtuhumiwa afichwa sura
na Gustav Chahe, Iringa|Tanzania Daima
JESHI la Polisi mkoani Iringa, limeendeleza usiri mkubwa wa kumficha mtuhumiwa wa mauaji ya aliyekuwa mwandishi...
Wandugu mimi ni mfanyakazi wa taasisi moja binafsi hapa iringa, kuna mishahara ya wafanyakazi inapitia bank ya CRDB Iringa branch... Mishahara ya mwezi huu imeingia ila watu karibu 9 wamekuta...
Wanasheria tunaomba msaada. Hivi ni utaratibu gani unatumika kubadili sheria kama ya fao la kujitoa. Kabaka katangaza bungeni na SSRA wametoa taarifa magazetini. unatengua sheria ya bunge kwa...
Nilikuwa nisafiri kwa shirika fulani la ndege toka Dar kwenda Nairobi. Nikaahirisha safari. nikatoa taarifa airport mahali nilipolipia na kuwaambia nimeshindwa kusafiri, wakasema tiket itakuwa...