Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

JF Prefixes:

This shows that the Judiciary is trying to hold its muscles and seek its independence. But why after 10 years? Just Delayed is justice denied! Mama Tibaijuka sasa waweza rudi kuendesha chombo...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Leo kanisa lingine limechomwa,najiandaa kwa machungu nina hasira hadi natetemeka magaidi wakija kanisani kwetu nikawakata vichwa kama DAGAA! nitavunja amri ya usiue?? Mbona Biblia inasema Mungu...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Kumekuwa na hali ya kuvamiwa kwa biashara tofauti na haijulikani hivi vurugu zitaenda mpaka lini. Serikali imeshidwa kulinda watu na familia zao na tunaona kila siku watu wanaweza kwenda na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Endapo mtu akapewa adhabu ya death punishment, je anaweza kutumia katiba ya Jamhuri ya Muungano kujitetea kwani hairuhusu mtu kuuawa na kwanini sheria hizi zipingane wakati zinatumika mahala...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Are unsigned affidavits curable? i.e if an adovocate forgets to sign the affidavit..can that error be cured under the law? authorities please.
0 Reactions
5 Replies
901 Views
Je unajua kwamba ukisimamishwa kwa mkono wa kushoto na polisi wa barabarani kwa mkono wa kushoto unatakiwa upite kwa kuwa wakati huo atakuwa anasimamisha wa nyuma yako?
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Leo nilikuwa mahakamani , nilishangaa kuona hata hawa wauaji (polisi) na wengineo wakinyenyekea na kila mara kabla ya kuongea uanza na "muheshimiwa" nikajiuliza je nikimuita ndungu Hakimu kuna Kosa?
0 Reactions
14 Replies
2K Views
A Catholic Christian Masanja Hamis, 27 yrs of Kahama Parish, Kahama Disrict, Shinyanga region in Tanzania, was imprisoned for 4 months being accused of slaughtering animals for commercial purpose...
0 Reactions
1 Replies
916 Views
Police in Gwembe have arrested and detained a 27-year-old man for indecent curiosity.Wycliff Ntundu of House Number 70 in Gwembe Township did on Tuesday this week, wilfully and unlawfully peep...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nashangaa ni nini kinaendelea? Huduma za afya ni duni, Hospitali hazina vifaa,madaktari wana migomo baridi (mishahara duni katika sekta ya afya), mfumuko wa bei, stress za maisha, elimu duni...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
READ THE FOLLOWING PROVISION OF LAW AND THEN ATTEMPTQUESTIONS BELOW: 10_(1) A child shall not be admitted or allowed to attendany primary school untill there has been produced to the person in...
0 Reactions
0 Replies
724 Views
Na Mwandishi wetu | Nipashe Watanzania takribani 120 wanashikiliwa katika mahabusu za Iran kwa makosa mbalimbali kwa miaka minne sasa huku jitihada za serikali ya Tanzania kuwanusuru zikiwa...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Watuhumiwawa vurugu za Mbagala wiki iliyopita, wakiwa chini ya ulinziwa polisi, walipofikishwa mahakama ya hakimu mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam kwa mara ya kwanza jana. Watuhumiwa 29, wawili...
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Baro, 54, was arrested on March 12 in Bugumba village, Iganga district after he was found in possession of a compact disc with videos showing two girls sucking his genitals. He was yesterday...
0 Reactions
0 Replies
793 Views
Kuna kitu kinanitatiza kuhusu huyu jamaa...ana mwezi wa pili huu wanamtangaza mfululizo kwenye magazeti karibia yote hapa nchini....Guardian,Daily news,Mwananchi....na mengineyo,Je ni nani huyu...
0 Reactions
43 Replies
5K Views
Kulinda raia na mali zao ni daraka la serikali, hivyo basi ikiwa serikali imeshindwa kuwadhibiti Waislamu wanaofanya fujo na kuchoma mali za watu na makanisa, serikali inapaswa kutoa fidia kwa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Watu 37 wamefikishwa mahakamani nchini Tanzania kwa kuharibu makanisa huko Mbagala. Wamefanya uharibifu wa kuchoma makanisa na kuiba pesa na vitu vya thamani inayozidi dola laki tatu. Source: BBB...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Inawezekana kuoa na kufunga ndoa na mtoto wa mama wa ubatizo?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wanajanvi jana asubuhi nilikuwa nikifuatilia matangazo ya Channel 10, nikamuona bwana mkubwa wa nchi akiwapa pole wakiristu ambao makanisa yao yamechomwa moto na kuporwa, Moja ya vitu alivyosema...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Kesi ya DECI imewagusa Wachache huku Wahusika Kamili kutoka Serikalini wameachwa na Viongozi wa dini wakiwemo maaskofu na Wachungaji waliohamasisha Watu kupitia TV na Radio zao wameachwa na...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…