Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Nashindwa bkuilewa tume ambayo iliundwa na waziri kuchunguza kifo cha aliyekuwa,mwandishi wa habari wa chanel ten,iliunndwa ili baada ya uchunguzi itoe matokeo ya uchunguzi wao,lakini badala yake...
Baada ya kuona ripoti mbili uchwara (ile ya MCT na ya Ihema) ninashawishika kufuata nyayo za Mtikila kuiburuza serikali kwa pilato. Bila kuchukua hatua thabiti mambo haya yataendelea kuwepo sana...
Ukiisoma ripoti nzima ya Mauaji ya Mwangosi unapata picha yenye majonzi makubwa sana. Ripoti hii iliyoandaliwa chini ya uenyekiti wa Jaji Ihema sio kwamba inasikitisha tu bali inafedhehesha.
Jaji...
Ndugu,
Wakati binti ndogo wa miaka sita (6) anacheza na wenzake alirusha chupa na chupa hiyo ikamgonga na kumgo'a meno mawili mtoto mwenzake wa miaka 7 aliyekuwa anacheza naye.
Swali: Mzazi au...
Dear members
Nimepata mwamko wa hili suala la katiba mpya ya Tanzania...., ili kujiweka sawa natamani kusoma ile ya zamani kwanza ili niweze kupata idea ya mapungufu yake. Please mwenye digital...
Naombeni wanasheria mnisaidie, kuna familia ilifiwa na baba tangu mwaka 2002 na kila ilipojaribu kufuatilia mirathi imekuwa ikizungushwa hadi ikakata tamaa.
1. Je, kwa muda huo mirathi bado ipo au...
Wadau mwana jamvi mwenzenu nina mzozo na mwenye nyumba yangu na ninahitaji msaada wenu wa haraka!land lord wangu nilimpatia hela ya miezi minne katika miezi sita,na hela ya miezi hiyo minne...
Beatrice Shayo 6th October 2012
B-pepe
Chapa
Maoni
*Sasa kutinga Kisutu Jumatatu
Msanii wa fani ya Filamu nchini Elizabeth Michael 'Lulu'
Jopo la Majaji watatu wa Mahakama...
http://www.icj-cij.org/homepage/index.php
"Our findings are that Tanzania didn't ratify the ICJ treaty''.
"We will look at that when we meet again in Tanzania on 10th of September."
Checks on...
Habari wana JF,
Naandika kutoa maoni yangu juu ya TLS na Majaji vimemo! Tumefika hapa sababu ya uzembe wa miongoni na Taasisi nyingine, TLS! Kazi ya hii Taasisi iaonekana ni kule hela za mawakili...
Kumekuwepo na matukio mbalimbali ya kupotea kwa watoto na kukutwa wamechunwa ngozi wilayani Muleba, hasa maeneo ya Kamachumu na Muhutwe kiasi cha kufanya wakazi wa maeneo haya kuishi kwa hofu...
nilisikia kuwa lulu cheti chake cha kuzaliwa kilikuwa na liminesheni kutokana na sheri ya ushahidi ya mwaka 1963 iliyo fanywa marekebisho mwaka 2001 kutotambua ushaidi uliyo pitishwa kwenye...
kuna rafiki yangu anafanya kazi ttcl amepewa barua ya termination of contract mkataba wake ulikuwa unaisha september 26 amepewa ghafla bila notification yoyote je hio ni sahihi ...anaweza kupata...
Wana JF nawauliza HAKI thamani yake ni tsh ngapi.................? hivi ile kesi ya bw Pesambili Mramba / Danieli Yona na Mgoja mbona kimyaaaaaaaa............? miaka inakatika...
The court room was packed, while tears of emotion filled the eyes of those who came to witness the closure of a case that left the country grief-stricken two years ago -the kidnap and later...
Jaji Mkuu bw Mohamed Othmani Chande akisaidiana na jaji Natalia Kimaro pamoja na Jaji Salum Masati wa mahakama ya rufaa, wanapitia hukumu ya kesi ya aliyekuwa mbunge wa Arusha mjini kwa...
UDHALILISHWAJI WA WAISLAM NA VYOMBO VYA DOLA VYA TANZANIA
Utangulizi
Sheikh wa kwanza kudhalilishwa na serikali ya Tanzania alikuwa Mufti wa Tanzania kwa wakati ule Sheikh Hassan bin Amir...