Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

JF Prefixes:

Wana janvi nimeleta mada hii baada ya kufikiri kwa miuda mrefu madhara yanayotokana na kelele lakini watanzania tunaonekana kutojali hata kidogo. Nimekuwa nilitembelea jiji la Dar es salaam...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Fidelis Butahe na Jannifer Summi | 11 September 2012 MMOJA wa askari wa bandari, Cornell Kufahaizuru aliyeshiriki operesheni ya kuzuia jaribio la wizi wa shaba na mafuta Bandari ya Dar es...
0 Reactions
53 Replies
7K Views
Habari wanajamvi poleni na majukumu ya kila siku,mwezi wa nne mm na mke wangu tulibahatika kupata mtoto.kutokana na wote kua na majukumu ya kazi tuliona ni vyema tutafute mdada wa kazi wa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habri niliyoipata hivi punde nikiwa mjini Iringa ni kuwa askari mmoja kati ya sita waliokamatwa amefikishwa mahakamani,ni yule aliyefyatua bomu.Wengine watano ambao nao walimpa kipondo marehemu...
0 Reactions
93 Replies
8K Views
Naomba maoni yenu wadau. Hivi ni sawa kusema mhitimu wa sheria hapaswi kuajiliwa mpaka aende law school? Mimi binafsi si muumini wa hii kitu na sioni sababu za msingi kuthamimisha Llb ya miaka 3au...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Jana nilikuwa naangalia TV katika kubadilisha Badilisha station nikajikuta Mliman Tv. walikuwa na kipindi maalum kwa ajili ya David Mwangosi kwenye safari yake ya maisha. Wakawa wana wahoji...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Jamaa ameshinda kesi dhidi ya pingamizi la kutofunga ndoa liliowekwa na mwanamke mmoja anayedai kuwa ana ndoa na PM huyo wa Zimbabwe. Habari zinadai kuwa anatarajia kufunga ndoa na mwanamke...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Salaa, wanajukwaa. Naamini mko makini. Mwaka jana (2011) lilipita panga lisilo na haki pale TASAF, madereva karibu wote walivunjiwa mikataba yao kwa sababu ya kuuzwa magari chakavu. Waliahidiwa...
0 Reactions
0 Replies
978 Views
Mbaya wa Mwangosi avuliwa uaskari ASKARI polisi aliyefyatu bomu lililomlipua na kumuua kinyama mwandishi wa habari wa Kituo cha Televisheni cha Channel Ten, David Mwangosi (40), amefikishwa...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
wakuu JF, Kufuatana na taarifa zilizoko bungeni kuwa Mbarouk S Mbarouk hana sifa za ujaji, nimeonelea ni muda muafaka kwa kamanda Lema kumwekea kipingamizi kwenye shauri lake la rufaa mjini...
2 Reactions
10 Replies
3K Views
Wakuu, ninahitaji kuipata ili niisome kwa ukamilifu sheria ya uraia ya mwaka 1961 ya 'Tanganyika'. Tafadhali mwenye msaada wa kuipata sheria hiyo anisaidie. Nashukuru sana.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Sasa hivi ni wazi kwamba police wa Tanzania hawaombi tena rushwa bali wanawanyang'anya raia kila sent walio nao. Kuna police traffic wa Mbeya mjini wakiongozwa na mwenye jina la Siza huchukua gari...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu, kiwavi hiki cha utawala mbaya na rushwa katika Jeshi hili kitaisha lini? Mfano, hawa traffic wa barabara ya kwenda Njiro, Arusha, wanasimama katikati kabisa ya bara bara, kila gari lazima...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
-Habari zilizotufikia punde ni kwamba askari wanane (8) wamekamatwa mkoani Morogoro kwa tuhuma za mauaji ya Muuza magazeti Ali Zona wakati wa maandamano ya Chadema yaliyofanyika mwezi uliopita...
3 Reactions
39 Replies
6K Views
Hakika sasa inazidi kuwa wazi kuwa polisi wa Tanzania wanatia aibu. Aibu iliyofichuliwa na gazeti la Nipashe leo, utagundua kuwa kumbe tatizo ni kubwa zaidi. Hawaishii tu kuvuruga mikutano ya...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Habari zilizotufikia punde ni kwamba yule polisi aliyemlipua kwa bomu Daudi Mwangosi,amefukuzwa kazi.IGP Said Mwema ameingia leo mkoani Iringa kwa Helcopta.Kuna kikao cha siri kati yake na RPC...
0 Reactions
90 Replies
8K Views
Wakuu Salaam, Jana usiku niliangalia kipindi cha Star TV ambapo mmoja wa waganga wa kienyeji alikuwa ananadi dawa zake pamoja na huduma nyingine anazozitoa. Kwa ujumla ni kama vile jamii yetu...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Baadhi ya wateja na mawakala wa ushuru na forodha ktk bandari ya dar wanaandamana muda huu wakishinikiza kuonana na Mwakyembe. Hii ni baada ya utaratibu mpya alotangaza waziri wa jinsi ya kulipia...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
hivi gazeti likifungwa,mfano Mwanahalisi, na website yao pia hairuhusiwi kufanya kazi?........anayefahamu sheria husika tafadhali atueleze....mwanahalisi.co.tz haipatikani hewani,,,,does this mean...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
What if people stand on their positions as stipulated in the 1977's constitution in Article 4? what if political parties stop interfering the functions of executive and judiciary? it is my...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…