Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

JF Prefixes:

ALHAMISI, AGOSTI 23, 2012 04:30 NA KULWA MZEE, DAR ES SALAAM *Asema ndiye anayejua Kampuni ya Alex Stewart ilivyosaini mkataba *Ajitoa, asema hajui chochote kuhusu kampuni hiyo ilivyosaini...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Waheshimiwa nimelazimika kufungua kesi ya katiba ambamo ninataka kuiomba mahakama kutoa fasiri kamili kuhusu sheria ya uchaguzi na matumizi ya Fomu namba 17. Fomu hii kwa mujibu wa Election...
0 Reactions
1 Replies
977 Views
Hapa ni mdahalo live wa sensa ya watu na makazi ukiongozwa na Gabriel Zakaria,Katibu wa Baraza la Waislamu na Mwenyekiti wa Wapo na Mkurugenzi wa Takwimu taifa Kuna maswali moto moto hapa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
KESI ya tuhuma za kuhujumu uchumi iliyokuwa ikimkabili aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Italia, Profesa Costa Mahalu, ilifikia mwisho wiki mbili zilizopita huku yeye na mtuhumiwa mwenzake...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Nimekuwa nikisikia kila kukicha kuhusu baadhi ya watu kugomea Sensa, hivi ni kwa nini Serikali isiwapige faini wale wote ambao hawatataka kuhesabiwa badala ya kupoteza muda sijui kukamata shehe...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
ni kweli kipindi cha mwalimu tuliaminishwa kwamba kiongo wa nchi hii lazima awe mzee tena mzee wa makamu km 2navyo waona senor leader from chama tawala sina iman km ndio sera zao na chama chao...
0 Reactions
2 Replies
998 Views
Mawaziri wa zamani, Basil Mramba na Daniel Yona Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam, kesho itaanza kusikiliza utetezi wa kesi ya matumizi mabaya ya ofisi na kuisababishia...
0 Reactions
24 Replies
4K Views
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KWA mara nyingine tena, tumewaiteni hapa kuwaomba mtufikishie ujumbe wetu huu kwa watawala. Ujumbe wenyewe unahusu kufungiwa kwa gazeti la kila wiki la...
5 Reactions
39 Replies
4K Views
Serikali imetishia kuwatimua wawekezaji wa kampuni ya madini ya Tanzanite one iliyopo Mererani wilayani Simanjiro iwapo watashindwa kulipa deni la zaidi ya Dola za kimarekani milioni 2.2...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Zikiwa zimebaki siku tatu tu kabla ya kuanza rasmi zoezi la sensa ya watu na makazi, kumeibuka changamoto mbalimbali ikiwemo watu kusambaza vipeperushi vinavyozuia wananchi kushiriki sensa na...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Mch.Rwakatare hakutaja Jumba la Tshs1000,000,000/_ambalo lipo kitalu na 2019 na 2020 eneo la Kawe Beach Kinondoni kandokando ya Mto Mbez.Nyumba hiyo Mama Rwakatare anamiliki kwa jina la Frank...
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Defeated candidate petitions election results By DAILY NEWS Reporter THE...
0 Reactions
28 Replies
5K Views
Wakati Tanzania ikiendelea kutoa maoni kuhusiana na kuandikwa kwa Katiba mpya, Chama Cha Mapinduzi (CCM), kinaendeleza utamaduni wa matokeo ya urais kutopingwa mahakamani. Hayo yalisemwa jana...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Wana JF naomba kuelimishwa juu ya sheria ya uchaguzi tuliyonayo sasa hivi. Kuna watu ambao ni watumishi wa serikali lakini wanashikilia nafasi za kisiasa. Mfano nilionao ni nafasi za madiwani...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Heshima mbele wakuu wangu! Naomba msaada kwenye hili.....hivi mtu anaposhtakiwa kwa kosa la kutakatisha pesa chafu.....maana yake nini? Pesa chafu ndio zilizopatikanaje? Shukran.....nasubiri...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kwa sasa kuna zaidi ya askari 500 wanapita na bomoa bomoa cha ajabu zaidi baada ya greda kuvunja nyumba askari wa jeshi la polisi wanachoma mabaki ya mali zilizobomolewa ndo nini hii jamani ?????
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Watu wawili, Nelson Mkini (37) na Cuthbert Mhegama Mkini (28), wamemuua kwa kumchinja kwa panga baba yao mzazi Ejid Mkini (65), kwa tuhuma kwamba amemloga mama yao mzazi anayeendelea kusumbuliwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ninalizungumzia eneo lenye uwakilishi wa wabunge kupitia chama tawala- Chama Cha Mapinduzi (CCM). Na katika hali ya kustaajabisha, miongoni mwa walio wabunge hao, si tu kwamba ni wawakilishi wa...
0 Reactions
0 Replies
934 Views
Msanii wa filamu nchini Elizabeth Michael (18) ‘Lulu’ Mahakama Kuu Tanzania Kanda ya Dar es Salaam, imepiga kalenda kusikiliza maombi ya kuchunguza utata wa umri halisi wa msanii wa filamu...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
MAPIGANO makali yameibuka kati ya wananchi wanaodaiwa kuvamia ardhi eneo la Madale Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam na Jeshi la Polisi ambalo lilikuwa likifanya operesheni maalumu ya...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…