Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Mahakama ya Sokoine Drive imewatia hatiani na kuwahukumu kifungo cha wiki 2 wasichana waliokua wakijiuza.
Wasichana hao ni Aisha Nassoro(20) na Upendo Julius(39),hukumu hiyo ilifuatia baada ya...
Joseph Nyamu is one of four judges to be dismissed
Four senior judges in Kenya have been declared unfit for office in a landmark ruling by a new committee investigating the impartiality of the...
Salaam!
Ninampango wa kuagiza gari ya kwanza kutoka nje ya nchi.
Nimfanyakazi wa serikali na ninajua kwamba kuna exemption ya kodi kwa wafanyakazi wa serikali.
Kwa anayefahamu habari ya...
Imekuwa sasa ni kawaida kuwa kila anayetaka kuiibia serikali anatumia CRDB. Ushahidi: EPA pesa zilizo nyingi zilipitia CRDB. Haijatosha, Ezekiel Maige, Waziri wa Utalii anasema mkopo wa kununua...
The law is an a** No matter what you want to do there will have been a time and place when it was legal and another time and place where it was illegal. The following are some of the strangest...
NAHITAJI MSAADA WA KISHERIA JUU MIRATHI YA WAZAZI WANGU, Baba yangu alikuwa ni daktari na mama yangu muuguzi(Nurse midwife) wa hospitali ya serikali pale AMANA! walifariki nikiwa mdogo sana...
MIMI NI MUAJIRIWA WA SERIKALI, NILIPATA DHARURA NIKAONDOKA KITUO CHA KAZI KWENDA DAR BILA RUHUSA YA MWAJIRI SIKU YA JUMAMOSI ASUBUHI, NIKARUDI JUMATATU, JUMANNE NIKAINGIA KAZINI... NIKAKUTA...
toka kanumba amefariki sioni mtu yeyeto anayemsema vizuri binti huyu,lawama zote zipo juu yake kwa vile tu alikuwa wa mwisho kuwa nae!kwangu ni kama kuangukiwa na jumba bovu,anajitolea kumpa...
habari wadau wa sheria, mimi sio mwanasheria ila naomba msaada wa kufahamu hili je mtu ambaye amefikia level ya country manager au managing director wa kampuni fulani hapa nchini lakini mtu huyo...
Sheria inasemaje kama mpelelezi kabadilisha exhibit,na kuweka ya kwao,na kukulazimisha ukubali ni ya kwako?Mahakamani mtu anaweza akatumia sauti aliyerekodi akitishiwa kituo cha polisi kama ushahidi?
Napenda kutoa tahadhari kwa mtu yoyote anayetaka kulala katika hii hotel iliyopo mbeya aogope sana kwani inashirikiana na wezi. Unaibiwa katika mazingira ya kutatanisha kwani hawana air condition...
tafadhali naombeni mnisaidie kuzifahamu sheria za tanzania zinazohusika na haki za wafungwa kuexpress view zao pamoja na jinsi wanavyohusishwa kuchangia kwenye mchakato mzima wa katiba mpya.
Walinzi wawili wa Kiwanda cha Afroplus Mwenge walitekwa na Wafuasi wa Mwingira Efatha mwenge na kufanyiwa Unyama mkubwa pamoja na kungwa kamba na kukatwa mdomo na Jambia angalia picha...
IN THE HIGH COURT OF TANZANIA
AT ARUSHA
MISCELLANEOUS CIVIL CAUSE NO. 13 OF 2010
(IN THE MATTER OF AN ELECTION PETITION UNDER THE NATIONAL ELECTION ACT CAP 348 R.E. 2010 AND THE PETITION...
Hii ni barua yangu wa watu wa airtel baada ya kuwa nimeuziwa vocha fake.
Dear sir/madam
I am your customer with telephone number xxxx-xxxxxx
On 17th April 2012 bought airtel voucher with serial...