Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Mhe.Halima mdee anasema...
Watz wenzangu,mimi na mheshimiwa Bulaya tulikwenda kumuona Lulu O'bay Police.She really needs our support.
Kwanza she is only 17...
Pili anahitaji sana Psychological...
BADO sakata la kifo cha Steven Charles Kanumba The Great ni bichi na kwa mambo yalivyo, kuna uwezekano watu wengi zaidi wakaingia matatani kwa namna moja au nyingine.
Habari zinadai kuwa...
Kwa taarifa nilizonazo kutoka Tandahimba ni kwamba wananchi walikusudia
kumuua mkuu wa wilaya hiyo Bi Hasna Mwilima kutokana na majibu mabovu
aliyowajibu wakulima hao walipotaka kujua kuhusu...
Leo nilikwenda kumtembelea jamaa yangu kimara b maduka saba. Wakati natoka huko taratibu kwenye kagari kangu, kuelekea temboni kuna mtu akaanguka kama nimemgonga na alikuwa na bandage kama mtu...
Ni kweli au alitudanganya au tumedanganywa.Naamini kwamba ni kosa kwa mtu kudanganya kuhusu umri wake
mfano ;aliyezaliwa mwaka 1984 Mchanganuo wake uko hivi
1992 alianza darasa la kwanza
1998...
Ndugu wana JF wote wale wanaochukia madhila kwa wananchi munaalikwa nyote katika maandamano ya kupinga kuwepo kwa BAR maeneo ya kiembe samaki maana imekuwa kero sana wanasumbua kwa miziki na fujo...
Hello,
Please can you,suggest how to tackle this matter legally?The police officers in one of the notorious police stations in Dar es Salaam,took the original documents(SALES AGREEMENT) from the...
Wadau nauliza?
Hivi hawa jamaa wa Airtel wanamaana gani kututangazia kuwa mtandao wao una kasi ya 3.75 G,ili khali hamna lolote, hapa Singida tulipo ni nafuu ya mwendo wa kobe.
Hakuna kipengele...
Hwy
Nilikuwa nimesafiri.... Mfanyakaz mwenzangu huku nyuma katukanwa kwenye kikao cha wafamyakazi, matusi ya nguoni.
Nataka kumsaidia tumpeleke mahakamani, naomba procedure za kufuata...
IN THE HIGH COURT OF TANZANIA
AT ARUSHA
MISCELLANEOUS CIVIL CAUSE NO. 13 OF 2010
(IN THE MATTER OF AN ELECTION PETITION UNDER THE NATIONAL ELECTION ACT CAP 348 R.E. 2010 AND THE PETITION...
We dare say we are a free people?
The Scourge of Corruption taking its toll on Tanzanians (and foreigners alike)
By an Innocent Bystander
The level of corruption in the Tanzania Police Force...
Habari zenu ndugu!
Ninataka kusoma LLB kwa intake ya 2012/2013, naomba kujuzwa ni chuo gani kinatoa LLB kwa Madarasa ya Jioni na ubora wake ktk utoaji wa hiyo elimu ya sheria kiujumla.
Nilipata...
Kuna mtu anakua interviewed TBC anasema mchakato wa kupata sheria mpya ya haki miliki kwa ajili ya kulinda maslahi ya wasanii imefikia sehemu nzuri sana, jamaa anadai mapendekezo ya wasanii ni...
Jamani mm sheria imenipitia kushoto kabisa! na hili shirika la ndege ya ethopian wamenipotezea mzigo wangu wa biashara ndani kulikua na simu za mkononi ambao tathmini yake ni dola 7000 mpaka 8000...
Nimesimamisha masomo ya chuo kikuu kwa kukamatwa na wenzangu tukiwa kwenye gari ambalo ndani yake kulikuwa na wenzetu wamevaa nguo na nembo za CHADEMA nakuambiwa wote ni wafuasi wa chama na...
wadau embu naombeni msaada wenu mimi binafsi nimeumizwa sana na matusi aliyotukana lusinde mbunge wa mtera huko arumeru, kifupi namfungulia mashtaka ya kutukana hadharani na kutukana wanachama wa...
Nimepokea ujumbe kutoka kwa mtu mmoja ambaye yupo karibu sana na jaji aliyetoa hukumu ya Lema, ambaye pia ni kiongozi wa idara nyeti serekalini na kuniambia kuwa jaji Rutakibalila alitishiwa...
Habari,
Kwa nini hawa ndugu zetu wamekuwa wakiongoza kuvunja sheria hasa za barabarani. Mara nyingi hutanua kwenye barabara na kupita njia ambayo kisheria hairuhusiwi. Wanajifanya wana haraka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.