Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Wadau shule ya sheria tanzania haijatenda vyema kwa wanafunz wa re suplmentary mwaka huu. Wanafunzi hao waltakiwa kulpa ela za mitihan hiyo na deadline ilkuwa dec mwaka jana, mpaka leo time table...
Mwenyezi Mungu ailaze riho ya Marehemu Kanimba Mahali pema peponi...Amen
Naomba kufahamu mazingira ya kifo cha kanumba na ukweli kuhusu utetezi wa Luu...Je ni kweli Lulu anahusika!au ni ulevi...
Wanajf katika gazeti la mwananchi la leo imetolewa taarifa kwa umma kuhusu ukweli wa umiliki wa kiwanja kinachogambaniwa kati ya Efatha na Afro Plus pamoja na sakata zima la polisi. taarifa...
By Saudha Nakandha
Muslims have asked government to enact a law that protects their right to wear veils both at work and in public institutions like schools.
"We need to embrace the true...
Ndugu zangu, mimi nimekuwa mkereketwa sana wa siasa za hapa kwetu na jinsi mifumo ya utendaji kazi wa baadhi ya viongozi wetu na wizara zao zinavyoweza kufanya nchi ika prosper au kushindwa...
Kuna NGO inatoa taarifa mbalimbali za maswala yanayo husiana na kazi hususani haki za mfanya kazi na mwajiri. Hii NGO inashirikiana na Association of Tanzania Employers (ATE) pamoja na Chama cha...
Ile kesi ya wanafunzi 172 na wengine inayohusu wanafunzi hao kukataa vyeti vya Chuo Kikuu cha Ardhi na kutaka vya UDSM imechukua sura mpya.Kesi hii iliyoanza mwaka 2007 ipo mbele ya Jaji Dr.Feuz...
Siku chache zilizopita nilipokea simu toka kwa mtu ninyemfahamu japokuwa si mtu mwema. Nafahamu anatafuta uhai wangu kwa siri. Kwa kujua hilo huwa akiniuliza niko wapi simwambii ukweli...
Marehemu Steven Kanumba
Polisi wetu wameonyesha ukilaza wao kumkamata Lulu ambaye alikwenda kuwaarifu ya kuwa mpenzi wake amedondoka na kufa mwenyewe. Polisi wenye mafunzo stahiki walipaswa...
Katika harakati za kulikomboa taifa letu CDM ndo mkombozi pekee aliye bakia!
Nina wasi wasi iwapo CDM wamegundua kuwa CCM ni adui wa UKOMBOZI wa taifa letu!
Nahisi hali ya kulemba, naona CCM...
Si mwingine ni member "Dotto Athumani"
Namfungulia shitaka ktk thread yake ya leo 06/04/2012 alivyotusema kuhusu Wanainchi wa A town!
Mi sikubaliani naye kabisa!
Jukwaa lengwa...
Kuna dhana ambayo police na serekali kwa ujumla wanawaonea sana makanisa na ni tofauti sana kwa misikiti wanaiogopa sana, maranyingi sana kusikia makanisa yamefungwa kwa sababu ya kupigia watu...
Wadau kuna kesi nyingi tulizowahi kusikia za mauaji yawe ya bahati mbaya au makusudi....na jinsi kesi hizo zinavyoendeshwa kwa hapa Tz, mtu anaweza kukaa rumande hata miaka miwili kesi imetajwa...
Hivi hii imekaaje? Kesi inapelekwa mahakami halafu hakimu anasema "hautakiwi kujibu chochote kwa sababu mahakama hii haina uwezo kisheria kusikiliza utetezi wake" swali kama mahakama inajua haina...
Najarijubu kujiuliza sehemu nyingi za mahakana au hospitali mi marufuku kupiga honi ya gari, na ukukaidi amri hii unaweza kushitakiwa na kuhukuniwa kufungwa au kulipa faini........
sasa kwa...
naomba kuuliza je, ndoa inaweza kumfanya mgeni aliyeolewa na mtanzania kuwa mtanzania pia ni hatua zipi za kisheria za kufuata ili mtu aweze kupewa Uraia wa Tanzania???
ninaomba msaada wenu ni...
Kamanda kenyela nilikuwa nakuheshimu lakini nilivyokusikia kwenye ITV jioni hii ukisema polisi hawakuvamia waumini wa kanisa la Efatha wala kuwapiga, kwa walioona taarifa ya habari ya juzi wakati...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.