Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Habari za siku wana jf na watanzania wenzangu, kwakweli nilikuwa sijawahi kufuatilia kile kilichokuwa kikizungumzwa mtaani kwa masikitiko makubwa juu ya mh. Lusinde kwa kile kilichoitwa lugha...
salaam,nahitaji kujua gharama za wakili katika kesi inakuwaje? Kuna mtu katufungulia kesi ya madai ya uharibifu bomba la maji lenye gharama la tsh laki tatu mali ya serikali ya kijiji,je...
Napenda kutoa mada tajwa hapo juu, Je wananchi wanapaswa kuziamini mahakama hasa kwenye kesi za kisiasa.
Nasema hivi kulingana na hukumu iliyotolewa kuhusu uchaguzi na kuenguliwa kwa mbunge wa...
Nimesoma maoni ya wengi humu ni kuwa chadema wasikate rufaa.Premise kubwa wanayorely ni kuwa chadema itashinda Arusha,na pia maamuzi ya rufaa yatacheleweshwa. Naomba kutofautiana.
1...
www.eastafriclaw.com
Now learn on how to draft legal documents eg wills,sale agreements,power of attorney,lease agreements etc.click the link to join us no East African Online Library
MAWAKILI WATEMA CHECHE
Na Mwandishi wetu
MAWAKILI wawili wa mjini hapa, wamedai kuwa hukumu iliyomua ubunge Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema, ilikuwa na dosari nyingi za...
Wana FJ, hivi ni jaji gani ameisikiliza kesi ya Lema. Nina wasiwasi na majaji wetu watukufu waliomwagwa na JK kama fadhila au kutimiza azma ya kuwepo na majaji wengi/wakutosha bila kuzingatia...
wakuu heshima yenu.. naomba msaada hivi mtu anayepatikana na hatia ya kupigwa fain mfano milioni moja,sheria inasemaje kuhusu kulipa hiyo fain? mfano hai ni kosa la uharibifu wa mali na kapatikana...
Kinachoonekana mbali ya kuwemo na mambo kibao ambayo yanakatazwa katika sheria ya uchaguzi ya 2010 naona sasa suala la matusi ndo limeonekana liwe msingi wa kesi dhidi ya CDM,lakini tuulize...
Hivi katika Tanzania kuna watu wengine wako juu ya sheria? Mbona Andrew Chenge ambaye amethibika kuwa fisadi/mwizi wa fedha za umma hashitakiwi? Ina maana Chenge ameweka serikali mkononi? au Yuko...
Naomba kuwa updated kuhusu wale vijana wawili waliopigwa risasi na Polisi Arusha maeneo ya Kijenge kwa kile kilichoitwa Majambazi yaliishia wapi? Je hivi nao swala lao lilikwisha kama lile la kina...
Ningependa kwa wale wenzetu wenye uelewa mkubwa wa kisheria watujuze juu ya hili. wasiwasi wangu ni kwamba Dr. Batrida Buriani atamfungulia kesi ya udhalilishaji na madai kwa reference ya hukumu...
www.eastafriclaw.com
Now learn on how to draft legal documents eg wills,sale agreements,power of attorney,lease agreements etc.click the link to join us.
Naombeni mnisaidie wanajf,
hivi mtu ukiomba likizo ya uzazi maana yake umepoteza kabisa haki yako ya likizo ya mwaka na stahiki zake?
Sheria inasemaje kuhusu hili?
Haya hapo chini yalitazamwa mwaka 2009 na Kamati ya ILO kwa upande wa Tanzania kushindwa kuzingatia Mkataba wa ILO kuhusu kukomesha ajira za lazima (Forced labour):
Hata hivyo, pamoja na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.