Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
AMA KWELI dunia imekwisha, makanisa, watumishi wa Bwana wanazidi kumtia hasira Mungu kila kukicha, Afrika ndiyo inaongoza. Mtumishi mmoja wa Mungu nchini Ghana amenaswa hivi karibuni akimwogesha...
aliyeuwawa ni PC Dickson namba G2626 ambaye pamoja na wenzake wanne walikuwa wakilinda mgodi wa dhahabu wa Tulawaka wilayani Biharamulo.
Chanzo RPC-Kagera-habari zaidi baadaye
Ni habari niliyoipata toka kwa mdau wangu anayepatikana huko kuwa askari waliokuwa doria wamemkamata Afisa usalama wa taifammoja, OCD akiwa na vijana wake saba ila wanne walifanikiwa kutoroka...
FAMILILIA kadhaa zilizokuwa zikishi katika nyumba za Kampuni ya Reli (TRL) za Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania zilizoko katika eneo la Gerezani Kariakoo, jijini Dar es Salaam, zimesema...
JALADA la kesi ya wizi wa Sh6 bilioni za Akaunti ya Madeni ya Nje(EPA), ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT), inayowakabili washtakiwa watano bado halijarejeshwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kutoka...
Watu wanne wakiwemo watuhumiwa watatu wa kosa la mauaji wametoroka kutoka mahabusu ya Polisi kituo cha Mbeya mjini (central) baada ya kuchimba,kutoboa tundu katika mahabusu walimokuwamo...
Peoples power yamtokea puani mwanachama:
KIJANA Aludo Sanga (28) mkazi wa kitongoji cha Nelo Kiloleni katika mji mdogo wa Tunduma wilayani Mbozi, amefikishwa katika mahakama ya wilaya kwa kosa...
Watuhumiwa wa mauaji watoroka mahabusu
Thursday, 22 March 2012 20:31
Godfrey Kahango, Mbeya.
WATUHUMIWA wanne, wakiwamo watatu wa mauaji, wametoroka katika chumba cha mahabusu...
1. Je kuna grace period ya muda gani mpangaji anaruhusiwa kisheria kukaa kwa mwenye nyumba baada ya mkataba
kuisha? wakati akitafuta nyumba?
2. Je ni haki kudai resit ya malipo ya kodi, na...
Wakuu naomba mnipe experience hapa!
Hapa ofisini kwangu nimeajiri Human Resources Officer hivi karibuni.Siku ya interview hakuwa na vyeti orginal na akatoa sababu kuwa hakuweza kuja navyo kwa...
ILE HUKUMU YA JAJI DR. FAUZ
Mlimnukuu vibaya: Jaji amekuaja na ufafanuzi huu:
Tuesday, February 21, 2012 10:32 AM
" Yesterday, I delivered a ruling in TANESCO v DOWANS that raised a couple...
JAJI Mkuu Mohamed Othman Chande, amekosoa mfumo wa kamati za maadili za mahakimu za mikoa na wilaya kuongozwa na wakuu wa mikoa, akisema kitendo hicho kinakwaza uhuru wa Mahakama.
Akizungumza...
Hi JF i beg to be assisted on the electronic evidence Act in Tanzania. I have tried to make a follow up by visiting government bookshops in vain. I thank you members for the ideas on how i can be...
Wana jamii:
Nimetuma pesa nje ya nchi kwa mwezi mzima mpaka sasa haijafika kila nikienda naambiwa tatizo lilikuwa address, mara ya pili baada ya wiki mbili nikaambiwa tatizo ni account no. Juzi...
Bwana Mdogo ameshinda kesi Mahakamani ya kutaka kukaa na mtoto wake wa miaka tisa baada ya mzozo na mama mtoto wa karibu miaka kadhaa!!
Bwana Mdogo alipeleka malalamiko yake serikali za mitaa...
Dr Mutunga said it was wrong for Mr Odinga to refer to the January 13 Constitutional Court ruling on the date of the General Election as fake for failing to give precise date for the polls...
Tunaishi ktk maeneo yasiopiwa ni viwanja vidogovidogo, kuna majirani zangu 2 wanajenga mabar ktk maeneo yao, 2na watoto wengi sn pale mtaani, sasa je? Kuna sheria ya kuzuia, bar isijengwe ktk...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.