Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

JF Prefixes:

wana jf natafuta msaada wa kisheria jinsi ya kuishtaki mtandao wa tigo,wamezidi kuniibia(over charge) ni mwaka wa 3.5 sasa sina hamu nao kabisa.Nataka wanilipe fidia inatisha sana yaani wana wizi...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Hukumu ya Mahakama Kuu ya mgombea binafsiKATIKA MAHAKAMA KUU YA TANZANIA(OFISI YA MSAJILI MKUU YA DAR ES SALAAM)ILIYOKETI DAR ES SALAAMMISC. CIVIL CAUSE NO 10 YA 2005JAJI KIONGOZI MANENTO, JAJI...
1 Reactions
0 Replies
4K Views
katika wiki mbili zilizopita, kulikuwa na tafrani kidogo kati ya wale dada poa wanaoishi maeneo ya Buguruni Malapa, na uongozi wa msikiti wa jirani. Malalamiko ya wale dada ni kuwa, kuna kundi la...
0 Reactions
2 Replies
7K Views
wadau wa sheria, naombeni msaada wa hatua za kuchukua endapo mtu atakutumia meseji za matusi makali (sio vitisho) kwenye simu yako... msaada plz jambo hili limekuwa likisumbua sana hapa kijijini...
0 Reactions
10 Replies
11K Views
Tanzania's appeal to block a case against the construction of a highway across the Serengeti National Park was dismissed on Thursday by the East African Court of Justice. The Appellate Division...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Naomba mawazo yenu, hivi ni kwa nini traffic police, wanakomaa fine ilipwe pindi wanapo kamata ukitenda kosa, hivi kweli inakuwa vigumu traffic kuelewa kwamba, kuna wakati mtu unakuwa hauna pesa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
wiki tatu zilizopita niligundua kuwepo kwa uhusiano wa kimapenzi kati ya mschana mmoja na mchumba wangu ambae tulikuwa kwenye maandalizi ya harusi yetu mwezi wa 8. niiliumia sanaaaaaaaa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Naomba msaada kwa wenye uelewa wa kisheria, 1. Je kuna mgomo unaoruhusiwa kisheria na mtawala akaridhika? 2. Mbona hata CWT waliomba kibali cha mahakama na hata baada ya kuhusiwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Haki za msingi za binadamu ni zipi? na kama zikivunjwa natakiwa kuchukua hatua zipi na sehemu gani? haki hizi zimeanza lini na zinapatikana ibara ipi katika katiba?
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Jamani wadau imekaa vp hii, maana kila kona jamaa wamezitandaza tena kweupeee! Sipendi hii kitu, ni aibu hasa kwa watoto zetu waliopo huko mitaani.
1 Reactions
60 Replies
12K Views
Ndugu watanzania wenzangu na wakazi wote waoishi ndani ya Tanzania(KISIWA CHA AMANI) Napenda kutoa dukuduku langu kama ifuatavyo. Wote tunajua kwamba wiki chache nyuma ulitokea mgomo mkubwa wa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Serikali yetu juzi ilikimbilia mahakamani kupata uamuzi kwamba mgomo wa madaktari ulikuwa batili. Mimi naomba tafsiri sahihi ya mgomo kwa sababu mgomo niuonavyo mimi ni mapambano kati ya mdai na...
0 Reactions
1 Replies
886 Views
Kwa anaye jua kazi ya form nomer 17 kweny uchaguzi anisaidie. je ipo kisheria au ni taratib? Kama ni sheria kwann tuambiwe kuwa kwenye hizi chaguzi hazita tumika
0 Reactions
0 Replies
851 Views
Kitendo cha mkapa kuulizia undugu wa vicent na nyerere kwenye jukwaa la siasa ni wazi kuwa alikuwa na nia ya kumdhalilisha au kumchafua hadharani wakati anawajua watoto wa nyerere na mkewe pia...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari zenu wadau, Naombeni msaada kwenye hili. Mimi naishi maeneo ya uswahilini ambako hakujapimwa.Jirani yangu ana mnazi ambao upo barabarani kabisa na njia ambayo ndo mimi napita na gari...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari learned brothrz and sisterz,pliiiz nisaidieni jina la mwandishi na kitabu kizuri cha mining law cz nahtaj kuknunua kwa ajili ya masomo yangu.Nawasilisha
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jamani naombeni niulize.ili mnisaidie nifahamu. Ni mara nyingi sana nasikia kwamba kama unataka mikopo ya benki kwa madhumuni mbalimbali utasikia uwe na hati ya kiwanja au hati ya nyumba. Kile...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Baba yangu hataki kutunza familia kabisaaa.vikao vyote vimeshindwa kumrekebisha.mdogo wanguw kafaulu kuanza shule ya kata.ada ni kianzio ni laki na nusu.mpaka sasa hakuna linaloendelea.pombe...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
msaada tutani naandika report yangu je raisi mkapa na kikwete wameshawahi kupitisha adhabu ya mtu anyongwe hadi kufa, report na case za kunyongwa hadi kufa zipo je zimekua executed, as president...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ndugu, Katika kipindi cha miaka miwili mfululizo mahakama inaridhika kwamba X na Y ni mme na mke ilimradi tu walikuwa wanaishi wote chini ya paa moja. Je ni kwa kipindi cha muda gani mahakama...
0 Reactions
34 Replies
6K Views
Back
Top Bottom