Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Where by a blanket prohibition of abortion may be achieved.How having a constitutional provision which sets out that "LIFE STARTS AT THE MOMENT OF CONCEPTION"will protect the life of the unborn child.
nilikuwa nasoma katiba siku chache zilizopita ili hali kutafuta kipengele kinachosema migomo au mgomo ni haki ya mwananchi wa Tanzania sasa cjui ni overlook as hicho kipengele sikukiona instead...
Hivi kisheria, unaweza kumshtaki LUSINDE kwa matusi aliyomwaga hapa kwenye hii VIDEO? Au kisheria inabaki kuwa ni sehemu ya kampeni? Maana naona kama kwenye kampeni unaweza kupiga hata chini ya...
Kwa wale wanaojua sheria za kazi. Mimi ni mtumishi katika moja ya kampuni binafsi jijini Dar. Mwezi ulopita nilimjibu vibaya bosi wangu wa kitengo (idara). Siku saba baadaye akaniandikia barua ya...
Habari zenu ndugu wana sheria.
Napenda kujua juu ya hili suala. Nimepata kusikia kuwa mtu akipewa termination kazini eti kwa mujibu wa sheria ya kazi hapa nchini mtu huyo aliyepewa termination...
Nina mdogo wangu,alifunga ndoa mwaka 2009 akaishi na mume mwaka 1 baada ya hapo wakatengana mwanaume alimfukuza kama mbwa na kufikia hatu ya kumpeleka polisi eti ameiba moja ya gar walizokuwa...
Jamani kwa hili naomba wanao jua sheria wa tusaidie. Kwa mfano by law iliyo anzishwa na chuo cha cbe kama inapingana na katiba ya nchi au haki za binadamu! Au pengine ni sawa kulingana na haki...
Kuzidi kuboreshwa kwa barabara nchini kwa kujengwa kwa kiwango cha lami kumekuwa na athari zake, kikubwa kuzidi kuhatarishwa kwa maisha ya watumiaji wake, hususani waenda kwa miguu.
Wakati ubora...
Polisi anayeitwa trafiki kasimu amejeruhiwa sana kichwani na vijana waendesha pikipiki.tukio lilitokea ijumaa kama saa 2 usku wakti anarud nyumbani kwake eneo la makaburi akitokea...
Wana JF, naombeni msaada hapa , nilikua na uguliwa na mume wangu ambaye alikua in a very critical condition, nikaomba likizo ya siku 28 kazini nikapewa, siku zilivoisha nikaenda kazini, kufika...
Wana JF,
Naomba tafsiri ya kifungu hiki
42.-(1) For the purposes of this section, ''severance pay'' means an
amount at least equal to 7 days' basic wage for each completed year of
continuous...
MSHITAKIWA Rajabu Athumani (20) jana amehukumiwa kifungo cha siku 14 kwa kosa la kuonekana mahakamani akiwa amevalia kaptula chini ya makalio maarufu kama mlegezo.
Athumani ambaye alifika...
Bwana Mdogo ameshinda kesi Mahakamani ya kutaka kukaa na mtoto wake wa miaka tisa baada ya mzozo na mama mtoto wa karibu miaka kadhaa!!
Bwana Mdogo alipeleka malalamiko yake serikali za mitaa...
Hiv majuz naona tangazo la hakim mkazi ambao watafanya kazi zao primary court, katika mahakam mbali mbali nchin. Mahakim hao watatakiwa kuwa na degree la sheria/LLB na wawe wamepta Law School of...
Activists yesterday described the release of Asian businessman Sharma Kooky, who was sentenced to death for the murder of his wife about 12 years ago, as a shock, questioning the criteria...
Kuna ubabaishaji bodi ya mikopo, nahitaji mawakili wawili nguli wa kusimamia kesi ninayoenda kuifungua mahakama kuu kitengo cha biashara. malipo ya kesi ni ya mdaiwa. naomba tuwasiliane kwa...
kuna tetesi kuwa wizara ya afya na kamati ya bunge ya huduma za jamii ziko chini ya shinikizo kubwa la kutakiwa kupeleka mswada washeria utakaoruhusu utoaji wa mimba yaani abortion.
Ngo moja...
Binafsi ndugu zangu watanganyika
nimechoka kusoma habari za kikafiri na za uchafu zinazofanywa na jeshi letu la polisi kama vile linaongozwa na al shabab..si kosa kuona matukio yanayoendelea hivi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.