Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Jamani wana JF, naomba kuuliza, pedofil si ni mtu akutanae na mtoto ambaye hajafikisha miaka 18? kama ni hivyo, je sheria hii inafanya kazi Tanzania? kama ndo itakuwaje Kanumba awe maarufu na hta...
WATAALAMU TUSAIDIANE MAANA KUNA MSHIKAJI WANGU KAPATA ENEO AMBALO LINA GOLD ZAMANI WALISHAWAHI CHIMBA LIKA FUKIA WATU ,MSAADA
a) sheria zipi zinayosimamia madini utafutaji na upatikanaji ,umiliki...
It is not disputable that Kanumba "The Great" now Kanumba "The Late" was Man of the people. It shows that he was loved with Children,Youth and Elders. My question is.... Can people(especially...
Wana JF leo nimemskia rafiki sana wa karibu wa Mch Mtikila kuwa anajiandaa kufungua kesi ya kikatiba ya kumshtaki mh Lusinde(mb) kwa kuwa ametamka yeye Mwenyewe kuwa ni Kichaa wa kuzaliwa na...
​kwa jina naitwa classroom teacher,mkazi wa jiji mwanza nina elimu ya juu kutoka chuo kilichojengwa na baba yangu (udom).
my dears...ninaufahamu kidogo sana na masuala ya...
Ndugu WanaJamii Forum wenzangu,
Naombeni msaada wenu wa kisheria, kimawazo ama ushauri.
Mimi niliwahi kuajiriwa na taasisi moja isiyo ya kiserikali (yaani NGO) kama mhasibu. Baada ya kufanya...
Wahenga wanasema hakuna masika yasiyokuwa na mbu, kwa haya yanayotokea miongoni mwetu si vibaya kufanya tafakuri ya mustakabali wa yote haya...yamkini kuna wengi ambao ndoa zimevnjika, mapenzi...
Watanzania, ukitaka kujua rushwa imekithiri kupita kiasi ni kuhusu kesi inayoendelea hivi sasa katika mahakama zetu.
Kesi hiyo ina husu mfanya biashara ya ngozi za ng'ombe wa anaitwa Salum Ally...
nimeshikw ana kigugumizi leo nilipoona itv habari rwanda wamekubali sheria ya utoaji mimba kwa minajili
1.kama mhusika alibakwa na akizaliwa mtoto atokuwa na uwezo wa kumhudumia
2.kama alibeba...
Engineer Petro Kingu....Mweneyekiti wa CCM mkoa wa Morogoro anashikiliwa na jeshi la polisi mkoa wa Morogoro kwa tuhuma za kumpiga ngumi askari wa usalama barabarani.
Lakini mwenyewe amekanusha...
I think with the knowledge I have this is what was to be followed with KANUMBAs ISSUE
All murder investigations start with the murder itself, which is usually reported by someone who comes...
Katika nchi za Ulimwengu wa kwanza ukimuingilia mwanamke (force yourself into her) bila idhini yake kwa mfano akiwa kalala , kalewa inahesabika ni Raping (umembaka)swali linakuja hapa katika...
Utaratibu wa kuchukua PF3 FORM kwanza kituo cha POLISI na ndipo upeleke mgonjwa hospital ambaye kila Sekunde inayogonga ni muhimu sana kuokoa maisha yake, imapitwa na wakati.
Kuna uwezekano...
Hii habari niliisikia kama tetesi siku ya ijumaa tarehe 2/3/2012 kwa kuwa nilikuwa nadai vihela vyangu huko Kasulu na niliahidiwa kuzipata Jumatatu nilifunga safari Ijumaa na kufika jioni na...
www.eastafriclaw.com
A complete defence to murder &the elements of murder
The elements for murder are:
The victim died;
The act or omission of the accused
caused the death of the...
Wanasheria wa JF,nisaidieni msaada wa kisheria.Hivi kisheria ni kosa kuendesha gari yenye fire extinguisher ambayo haijakaguliwa na watu wa FIRE na kupewa sticker?
Pamoja na Mauaji yaliyofanywa na Police wanne na kusababisha kifo cha kijana mmoja mkazi wa Urambo, Police wa kituo hicho wakiongozwa na Police January Pantaleo wameendelea kufanya matukio ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.