Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
The International Criminal Court will hand down judgment in the trial of Congolese militia leader Thomas Lubanga on Wednesday in its first verdict since launching almost a decade ago.
The...
Kinachoendelea sasa hivi katika kampuni ya tiGO in ubabaishaji mtupu uliosheheni wizi na dhuruma kwa wateja kwa zaidi ya miezi miwili sasa! Hivi hawa tiGO mikataba yao ya uwekezaji hapa nchini...
Jana kwenye taarifa ya habari ya saa 2 usiku, TBC1, nilimsikia Mh. Malima akielezea jinsi alivyoibiwa kwenye hoteli alikokuwa amefikia huko Morogoro, na katika maelezo yake alisema katika tukio...
natafuta provision ya law kwa ajili ya kuomba extension ya time High Court kwa ajili ya kufanya Revision ya kesi iliyoamuliwa na District Court...maana ushapita mwaka mzima ambao ndo time limit ya...
Wana JF hasa wale wenye utaalamu wa sheria, naomba msaada wenu wa neno tajwa hapo juu yaani tafsiri sahihi au maana ya neno APPELATE POWERS ni nini? Asanteni sana
Habari wanasheria wa jf,naombeni msaada kwenye hili langu jambo. Mimi ni mtumishi wa serikali(mwalimu) kwa sasa sipo kituoni niko chuoni. Niliporipoti kwenye kituo cha kazi uongozi wa kijiji...
Habar zenu waungwana. Nina mambo machache ambayo yananitatiza kuhusu hawa wakaguz wa *TANESCO wanaopita majumbani mwetu.*
1)Je Wanayo haki ya kuingia ndan ya nyumba yako bila ya ruhusa yako au...
Ndugu yangu kahukumiwa kifungo cha miezi sita kwenye kesi ya madai..............; kwamba aliwaajiri watu amabao walikubaliana kulipana bbada muda fulani na kwa kuwa yeye hakuwa ametimiza malipo...
Ndugu zangu naombeni msaada katika hili,
Nimejaribu kupekua Kanuni ya Adhabu sijapata sehemu inayotaja kuwa Ugoni (Adultery) ni kosa la jinai. Katika kupitia Sheria ya Ndoa nimepata sehemu...
MALAWI JUDICIARY GRINDS TO A HALT AS JUDGES JOIN STRIKE
Malawian judges and magistrates have joined in an indefinite strike started two months ago by judiciary support staff. Judicial clerks in...
Soda hii nimeinunua jana kwa muuzaji wa jumla ilikuwamo katika kreti la soda ndani kuna kisoda ambacho inaonyesha kuwa mwywaji wa mwisho alikikunja na kukiweka ndani ya chupa na iliporudishwa...
wanasheria
naomba msaada wenu,nimehama wizara kutoka wizara ya elimu kwenda wizara nyingine,nimefanya kazi ktk wizara ya elimu toka 2003 hadi 2009,sikufanikiwa kuhamisha file kutoka wizara ya...
Jana tarehe 29 Februari 2012 nikiwa naendesha Rav4 (T601 BDD) majira ya saa 9;27 alasiri niliingiza gari yangu katika kituo cha daladala cha Msimbazi pale Kariakoo ili nimshushe mtu niliyekuwa...
Ndugu zanguni; tarehe 30 Jan, 2012 niliasaini mkataba wa ajira inayoanza tar. 31 Jan hadi 31 JAN 2013. Jamani kazi ilikuwa ni project ambayo nilitakiwa kwenda kuripori mkoani tarehe 31 Jan, 2012...
My own experiences has revealed that this world has two types of lawyers
Those who knows the laws
..................and those who knows the judges.......................
Ndugu zangu mimi ni mtazania wa kawaida na najaribu kupambana na ugumu wa maisha ya hapa bongo ambapo pengo kati ya maskini na tajiri linazidi kuongezeka siku hadi siku. Nilisikia habari ya...
WanaJF hususani jamvi la Sheria naomba msaada wenu. Ndugu yangu alishitakiwa kwa kosa la jinai, kesi imekuwa ikisomwa mara kwa mara kwa muda usiopungua siku tisini (90) baada ya hapo mahakama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.