Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Rasna kanyambua vizuri kwanini umalaya (biashara ya kujiuza mwili/ngono) ihalalishwe Kenya- kwa mtizamo mpana wa jinsia na uhalisia uliobeba historia, uhalali wa biashara hiyo nchi zingine, na...
Wapendwa naomba ufafanuzi juu ya kigungu cha 61 na 71 vya Employment and labour relations. Naona kama vinagongana. Kimoja kinaruhusu mtu kuzuia kukatwa mshahara wake na kingine kinalazimisha hata...
naomba mtu yoyote anayemjua mpelelezi yoyote yule atakae weza kunisaidia nataka amfuatilie mume wangu nataka nimshike live na mwanamke kwa sababu kila nikimshika kwenye simu anabadilika naombeni...
Jaman wanasheria nilikuwa naomba mnielimishe juu ya kukata rufaa kwasababu shule yetu matokeo yake yamezuiliwa bila sababu.Nakila tukijaribu kufatilia tunakumbana na vikwazo kama kukamatwa na...
Jamani leo nimenunua soda ndani yake nimekuta mabaki ya mshumaa.wapi nianzie kuishaki coca cola tanzania?msaada nimechukha sana kwani nilinunua klet nying na soda 1 ndo nimekuta ina uchafu
Wakubwa shikamoo wadogo marahaba,
Bila shaka wengi wetu kama sio wote tumeona hivi vibao vyenye maandishi ya 'Park at your own risk' kwemnye, maeneo mbalimbali kama mabenki, mahoteli, nk. sehemu...
Ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano Inasema hivi:
(5) Endapo katika shauri lolote inadaiwa kwamba sheria
yoyote iliyotungwa au hatua yoyote iliyochukuliwa na Serikali au
mamlaka nyingine inafuta au...
Kamanda wa Kikosi cha usalama Barabarani nchini, Mohamed Mpinga
Madereva zaidi ya 357,552 wamebadilisha leseni zao za zamani na kupata mpya tangu zoezi hilo lilipoanza Oktoba mwaka 2010...
Waheshimiwa sana wanasheria! Mimi ni kijana na ni graduate wa udom mwaka jana kozi ni Project planing, management and comunity devl, nahitaji kwenda huko mana nasikia nchi ile imepiga maendeleo...
Jamani naomba mawazo yenu. Mimi niliajiriwa 2008 serikalini katika idara ya afya kama mfanyakazi TAMISEMI na nilifanya kazi serikalini kwa muda wa miezi minne ndipo nikaanza kulipwa mshahara...
Tume ya Maadili ya Viongozi wa Umma imetangaza kuwa inaaza kuhakiki mali na madeni ya viongozi wa umma 60 kama walivyowasilisha matamko yao kuhusu rasilimali na madeni kwa mujibu wa kifungu cha 9...
Jaji Mkuu Othman Chande
Jaji Mkuu Othman Chande, ameiomba serikali kuboresha majengo ya Mahakam yaliyochakaa na amewataka mahakimu kuacha tabia ya kuahirisha kesi bila sababu za msingi hali...
Wasalaam wanasheria wa jf,naomba msaada wa kisheria kuhusu stahili zangu ambazo natakiwa nizidai kwa mwajiri wangu. Mi ni mwalim ambaye kwa sasa nipo chuo kikuu nikisoma shahada ya kwanza. Barua...
Wadau,
Niko kwenye ofisi za Azam hapa nimekata Ticket ya kwenda Zanzibar asubuhi hii kutembea na Mtoto wangu.
Cha ajabu wote wawili tumepewa Ticket zenye kufanana Namba jambo ambalo sidhani kama...
Habari wana JF...
Siku zinavozidi kwena ndio ajali za barabarni zinavozidi kushamiri katika maeneo mbali mbali ya nchi . Kumekua na ajali nyingi na mbaya za watu kupoteza maisha ama kulemaa...
Tume ya Maadili ya Viongozi wa Umma imetangaza kuwa inaaza kuhakiki mali na madeni ya viongozi wa umma 60 kama walivyowasilisha matamko yao kuhusu rasilimali na madeni kwa mujibu wa kifungu cha 9...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.