Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Naomba mnisaidie. Nini haki ya mtu anapokamatwa anapoanza kusachiwa na kubambikiwa kizibiti? Mf. bunduki n.k Kumpiga mshukiwa ni makosa je, ni vp unaweza kumuwajibisha muhusika ikawa hamna...
Wadau naandika taarifa hii kwa masikitiko makubwa ya taaluma za kitanzania zinavypotea chuo kikuu makumira kitivo cha sheria kimechakachuliwa na VC Prof Parsalaw kwa kutoa ajila za upendeleo...
Jumatatu April 23, kwenye kipindi cha Tuongee Asubuhi Star Tv kuna mjadala kuhusu Sheria zinazohusu umilikaji wa silaha nchini.
Tutachambua namna sheria zinazohusu umilikaji wa silaha nchini na...
Hizi ni alama za nyota na mwezi niu alama za kidini.
Lakini cha AJABU na cha KUSIKITISHA Waislamu wenzangu wako kimya kwa hili, wanafurahia Uislamu unapotumiwa kwenye biashara za sheitwani.
Je...
Katika mwaka 1968 Hakimu Seaton, Hakimu wa Mahakama Kuu; alitembelea gereza la Mwanza. Nilimuuliza kama kuna uhalali wowote juu ya kuwekwa kwetu kizuizini. Mkuu wa gereza akamwambia Hakimu kuwa...
Waungwana naomba msaada wa mawazo kisheria.
Nimemdhamini bwana mdogo wangu ambaye anatuhuma za kupora pesa kwa mtandao. Kabla ya kukubali dhamana mheshimiwa hakimu alinieleza maana ya mimi kuwa...
jamani wakuu nisaidieni, nina degree ya finance, na nimesoma Economics, Commerce and Acountancy, advance level, hivi nikitaka kuwa wakili, ni lazima kuanza upya degree ya law, au naweza kufanya...
Habari wana jf!
Kiukweli nasikitishwa na unyanyasaji unaoendelea katika haya makampuni ya wageni kiukweli inasikitisha.
Yaani vibarua wanalipwa kwa siku tsh 3100-4000 kwa siku na bado serikali...
53.-(1) Bila ya kuathiri masharti ya Katiba hii, Waziri Mkuu
atawajibika kwa Rais kuhusu utekelezaji wa madaraka yake.
(2) Serikali ya Jamhuri ya Muungano, chini ya mamlaka ya
Rais, ndiyo itakuwa...
Jana wakati nasikiliza bunge nimejifunza jambo jipya. Kumbe wabunge hawana mamlaka ya kumwondoa waziri au katibu mkuu wa wizara yeyote, ila wanaweza tu kupiga kura ya kutokuwa na imani na waziri...
Wanajamii, Salaam, Nahitaji ushauri wa kisheria , tumekubaliana na mke wangu kuwa yeyote atakaye kufa mali zote zinazobaki zinakuwa chini ya umiliki wake na kama akifa inabaki ni mali ya watoto na...
Wana JF kwa mujibu wa Government Proceeding Act, kama unataka kuishtaki serikali lazima utoe notice ya siku 90 juu ya nia yako ya kushtaki....justice delayed is justice denied...Hivi hasa umuhimu...
Chanzo cha moto kitajulikana hapo kesho..
(shoti ya umeme huenda)
Ila,baada ya jengo hilo kuungua kwa muda,umeme ukakatika..
Askari wanapatrol mitaani na kupiga mabomu kutuliza ghasia...
Hakika nipo nyuma!
Hili la kukata rufaa kwa Mbunge wangu tajwa hapo juu litaanza kusikilizwa lini?
Kwa kuwa nina IMANI ya kwmb humu tuna kila aina ya member!
Naombeni nieleweshwe vema kbs...
Hebu tuwekeni siasa ya vyama kando tuilijadili hili swala kwa undani. Huyu mwanamke Mange Kimambi amekuwa akikurupuka na shutuma lukuki. Amesema mengi sana kuhusiana na kifo cha kanumba...
Ndugu wna jamvi mambo ya kisheria na taratibu zke naomba msaada
nilikuwa namdai mtu kumbe anatumia njia za kihuni kutapeli pesa za watu sasa nimezunguka na kujua jamaa kaoa na katika kutaka...
Taasisi ya Kupambana na Kuzuia Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Morogoro, imewafikisha mahakamani watumishi watatu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii na mtumishi mmoja wa hazina ndogo, kujibu...