Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

JF Prefixes:

Rasna kanyambua vizuri kwanini umalaya (biashara ya kujiuza mwili/ngono) ihalalishwe Kenya- kwa mtizamo mpana wa jinsia na uhalisia uliobeba historia, uhalali wa biashara hiyo nchi zingine, na...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Wapendwa naomba ufafanuzi juu ya kigungu cha 61 na 71 vya Employment and labour relations. Naona kama vinagongana. Kimoja kinaruhusu mtu kuzuia kukatwa mshahara wake na kingine kinalazimisha hata...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
naomba mtu yoyote anayemjua mpelelezi yoyote yule atakae weza kunisaidia nataka amfuatilie mume wangu nataka nimshike live na mwanamke kwa sababu kila nikimshika kwenye simu anabadilika naombeni...
0 Reactions
49 Replies
5K Views
Je ni sawa raisi kuteuwa majaji?naomba hili pia litupiwe kwenye mabadil;ioko ya katiba.ni jukumu letu
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Jaman wanasheria nilikuwa naomba mnielimishe juu ya kukata rufaa kwasababu shule yetu matokeo yake yamezuiliwa bila sababu.Nakila tukijaribu kufatilia tunakumbana na vikwazo kama kukamatwa na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jamani leo nimenunua soda ndani yake nimekuta mabaki ya mshumaa.wapi nianzie kuishaki coca cola tanzania?msaada nimechukha sana kwani nilinunua klet nying na soda 1 ndo nimekuta ina uchafu
0 Reactions
14 Replies
3K Views
what are the reasons and problems of the increased rate of divorce in Tanzania
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakubwa shikamoo wadogo marahaba, Bila shaka wengi wetu kama sio wote tumeona hivi vibao vyenye maandishi ya 'Park at your own risk' kwemnye, maeneo mbalimbali kama mabenki, mahoteli, nk. sehemu...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano Inasema hivi: (5) Endapo katika shauri lolote inadaiwa kwamba sheria yoyote iliyotungwa au hatua yoyote iliyochukuliwa na Serikali au mamlaka nyingine inafuta au...
0 Reactions
98 Replies
18K Views
Kamanda wa Kikosi cha usalama Barabarani nchini, Mohamed Mpinga Madereva zaidi ya 357,552 wamebadilisha leseni zao za zamani na kupata mpya tangu zoezi hilo lilipoanza Oktoba mwaka 2010...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Waheshimiwa sana wanasheria! Mimi ni kijana na ni graduate wa udom mwaka jana kozi ni Project planing, management and comunity devl, nahitaji kwenda huko mana nasikia nchi ile imepiga maendeleo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jamani naomba mawazo yenu. Mimi niliajiriwa 2008 serikalini katika idara ya afya kama mfanyakazi TAMISEMI na nilifanya kazi serikalini kwa muda wa miezi minne ndipo nikaanza kulipwa mshahara...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Tume ya Maadili ya Viongozi wa Umma imetangaza kuwa inaaza kuhakiki mali na madeni ya viongozi wa umma 60 kama walivyowasilisha matamko yao kuhusu rasilimali na madeni kwa mujibu wa kifungu cha 9...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
jamani wanasheria naomba mnisaidie,short notes what is legal picture and themis
0 Reactions
1 Replies
908 Views
kaka yangu kamfumania mke ana kiss live na picha kama ushahidi anazo jeee anaweza kufungua kesi ya madai ?
0 Reactions
2 Replies
924 Views
Jaji Mkuu Othman Chande Jaji Mkuu Othman Chande, ameiomba serikali kuboresha majengo ya Mahakam yaliyochakaa na amewataka mahakimu kuacha tabia ya kuahirisha kesi bila sababu za msingi hali...
0 Reactions
0 Replies
806 Views
Wasalaam wanasheria wa jf,naomba msaada wa kisheria kuhusu stahili zangu ambazo natakiwa nizidai kwa mwajiri wangu. Mi ni mwalim ambaye kwa sasa nipo chuo kikuu nikisoma shahada ya kwanza. Barua...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Wadau, Niko kwenye ofisi za Azam hapa nimekata Ticket ya kwenda Zanzibar asubuhi hii kutembea na Mtoto wangu. Cha ajabu wote wawili tumepewa Ticket zenye kufanana Namba jambo ambalo sidhani kama...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wana JF... Siku zinavozidi kwena ndio ajali za barabarni zinavozidi kushamiri katika maeneo mbali mbali ya nchi…. Kumekua na ajali nyingi na mbaya za watu kupoteza maisha ama kulemaa...
5 Reactions
44 Replies
5K Views
Tume ya Maadili ya Viongozi wa Umma imetangaza kuwa inaaza kuhakiki mali na madeni ya viongozi wa umma 60 kama walivyowasilisha matamko yao kuhusu rasilimali na madeni kwa mujibu wa kifungu cha 9...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…