Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

JF Prefixes:

Frederick Katulanda, Mwanza TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini (Takukuru) Mkoa wa Mwanza, leo inatarajia kumpandisha kizimbani kigogo wa Baraza la Waislamu Tanzania (Bakwata) mkoani...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Ndugu wadau, miongoni mwa vitu vinavyonikera jijini Dar es Salaam ni kuona baadhi ya magari ya Watanzania wenzangu na hata ya wageni yakikokotwa na magari chakavu kwa kile kinachodiwa "wrong...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Jamani habari za majukum? Poleni. Jamani naombeni msaada, kuna jamaa mmoja ni mcongo man amenidhurumu tsh.500000. Amerudi kwao hapokei simu yangu. Msaada jamani nifanyeje?
1 Reactions
9 Replies
2K Views
What are the goals which law seeks to achive in the society?(Nisaidieni juu ya hilo)
0 Reactions
2 Replies
910 Views
zitto yuko cloouds fm anadai kuna baadhi ya bidhaa nyingi kama condoms zipo sokoni ,blue band, sabuni etc TBS wamefanya uzembe bidhaa zilizoingizwa hazifai kwa matumizi...anadai bidhaa ni...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Naomba kufafanuliwa haki zinazo mlinda abiria awapo katika chombo cha usafiri( Hasa mabasi au daladala!
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Jeshi la polisi mkoani singida linamshikilia afisa mtendaji wa kijiji cha lamba,tarafa ya mgori singida vijijini rajabu athumani na mwenyekiti wa kijiji hicho,calvine salungo kwa tuhuma za kutoa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Sheria za kazi (Utumishi wa umma) zinasemaje kuhusu mtumishi anayetaka kwenda kujiendeleza kimasomo wakati hajamaliza hata mwaka mmoja kazini na ikiwa gharama za masomo atajigharamia mwenyewe.
1 Reactions
3 Replies
7K Views
wakati mwingine najiuliza hivi huku botswana nafanya nini mimi??kuishi na watu wanaonitia hasira kila siku nimechoka kabisa''jana nimepita mitaa fulani nikaona jamaa wanamchinja ngo'mbe yaani ni...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Wanyama wanaonja na kuhisi kama sisi binadamu kwa vile sote tuna miili yenye nerves za utambuzi na milango ya ufahamu. Tunawajibika kulinda hakiza wanyama, maana manyanyaso ya wanyama yanazidi...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Mkazi huyo wa eneo la M.R Hotel Miyomboni katika Manispaa ya Iringa ameibuka kuwa mkali wa wiki hii katika safu ya mtandao huu baada ya kukutwa akichimba madini ndani ya chumba chake zioezi...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Jaman kuna huu mtindo umezuka ukibonyeza *150*55# Then ok! unasubiri jibu na unakuja unacomfirm kwa pin yoyote! ukicheck balance utakuta unalaki nane! ni kwakila sim card! mimi nimezihamishia...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
kufuatia hatua ya serikali ya kutunga sheria ya kuzuia utakasaji fedha ya mwaka 2006,benki zinawajibika kisheria kudai na kuhifadhi rekodi na taarifa kamili za wateja wao.hivyo mnatakiwa kwenda...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
NAOMBA USHAURI WA KISHERIA,walimu jijini Mwanza waliokua masomoni wananyanyaswa kwa kutolipwa stahiki zao,,mkurugenzi anadai kua walijikommit kujilipia wakati mkurugenzi huyohuyo alishawalipia...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
habari wadau, ningependa kupata ushauri wa kisheria ni wapi pa kuanzia endapo nitagundua mwajiri wangu ananikata PPF/NSSF 20% yote kwenye mshahara wangu badala nusu kwa nusu kama tulivyokubaliana...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Hii nimeishuhudia jana wakati nasafiri kuja Mwanza kwa basi nikitokea Dar ambapo barabara kati ya Shinyanga na Ilula kuna tuta kila baada ya mita 200 kiasi sasa imewalazimu madereva wote Wa...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Ni ile bustani iliyopo kati ya mitaa ya Aggrey, India, mosque na Samora, ndipo lilipo lile kaburi la Imamu wa kwanza M-tz. Ipo karibu kabisa na Harbour view (J.M.Mall). Hapo Voda wameweka kontena...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Haya wanajamii! Inanishangaza kusikia kwamba walewale askari wa usalama barabarani waliosemekana kubuni mbinu mpya ya kupokea rushwa kwa mtindo wa kutega gari likiwa linaoshwa kama iilivyopigwa...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Tarehe 03/02/2012 ni sikukuu ya sheria "LAW DAY" ambapo wafanya kazi wote wa Mahakama na taasisi zinazohusika na Mahakama wanajumuika pamoja ili kujikumbusha na kujizatiti juu ya maadili mema na...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ndugu wanasheria naomba ushauri,inakuaje kwa mfanyakazi wa umma aliyekamilisha zaidi ya miaka minne kazini akitaka kwenda shule..,serikali haipaswi kumlipia licha ya sababu za hapa na pale za...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…