Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Wanajamii nimejaribu kutembelea website ya Law school of Tanzania ghafla nakutana na message inasema "Hacked by Tanzanian Cyber Army" jamani kuna interest gani hapo
NIlinunua gari kutoka kampuni ya Budget Holdings ya Japan, nikafanya malipo mwezi wa sita, hadi sasa hawajaweza kunitumia gari, nilipoona wameshinda kununua gari lile nililotaka, nikawaambia...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imeuamuru upande wa mashtaka kuharakisha upelelezi wa kesi inayowakabili wafanyabiashara wanane wa jijini Dar es Salaam, akiwemo nguli wa biashara ya dawa za...
Kutoka taarifaya habari ya ITV jana jioni, mtoto wa kike mwenye umri wa mwaka mmoja amepelekwa na wazazi wake kwa mgaliba kisha akakeketwa na ngaliba kalipwa sh. 2000. MAONI : elimu ya kuielimisha...
Anaonekana Ana Kilango peke yake, je wabunge wamefanya mgomo kuhudhuria vikao? Pesa zote wanazodai kulipwa ni kwa ajili ya nini kama hawawajibiki katika kuwawakilisha waliowachagua? Hii imetokea...
Wanajamii! Kama kuna mtu ana nakala ya hukumu ya mahakama ya rufaa na. 240 ya 2004(unreported) ya RASHID ALLY MTILIGA and 2 others Vs. R tafadhali, tuwekee humu jamvini tuivinjari.
Baada ya miaka mingi ya mfumo wa vyama vya wafanyakazi kuonekana kushindwa kabisa kutetea maslahi ya wafanyakazi wa kada mbali mbali hususan katika kipindi hikli cha mfumuko mkubwa wa bei; hivi...
hallo everybody i have a question. seriously i have no idea what a police recruit goes through during the academy in our country (Tanzania). is there anyone out there who could help me. i want...
Mimi sio mwanasheria ila natakakujua kisheria kuwa Mwanaume na mwanamke wako sawa? na je wanahaki sawa?
Maana kwangu mimi imekuwa kero kubwa sana maana kila wakati nasikia haki sawa haki sawa na...
naombeni nisaidieni jinsi ya kumfukuza huyu mtu'mpangaji mwenzangu'yeye anajiona ni mwislam mtakatifu na imepelekea agombane na watu wanaoishi naye'jana chupuchupu kuzichapa na mimi baada ya...
Imekuwa ni jambo la kawaida mzazi kukamatwa,kutozwa faini au hata kifungo kwa sababu tu eti mtoto wake wa kike {mwanafunzi}kapewa mimba,au mtoto wa kiume katia mimba.tusiojua sheria tunashindwa...
Wakuu WanaJukwaa,
Naomba mtu mwenye Ruling ya Electronic (Video Conference) Evidence iliyotolewa wakati wa Kesi ya Prof Ricky Costa Mahalu kabla ya Shahidi toka Italia kuja kutoa ushahidi wake...
Naombeni msaada wa kisheria kumchukua mtoto wangu toka kwa mama yake.
Kuna mwanamke nimezaa nae mtoto mmoja, nilikua nampa matumizi yote ya muhimu pamoja na hela ya kula na kuvaa mtoto na yeye...
Eti ni haki kuvutiwa gari parking za nje ya mji kama mwenge,sinza, nk.. ukipaki pembeni ya barabara wakidai wanasafisha jiji nfano nilipark TRA nje ndani kulijaa na wakanicharge tsh 195000...
Katıka nchı nyıngıne uzınzı (adultery) nı kosa la jınaı na mtu anaweza kushıtakıwa. Kwa Tanzanıa, ukımfumanıa mkeo/mmeo...
Ukifatillia kwa makini utakuta kwamba wanasheria wengi wa kujitegemea wanashinda kesi nyingi sana zidi ya serikali na kuitia hasara mara mbili, pengine ukiangalia kiundani unaona ushahidi...
Naomba legal authorites kwa hii kitu, leo jion nilenda bank fulani kwa lengo la kudeposit 500,000/= Tshs but instead wameweka 50000/= Tshs kwenye acount. what are ma legal rights and obligation...
Gari ya ndugu yangu imekamatwa leo huko Morogoro kwa kosa la kutofanyiwa ownership transfer. Jamaa alinunua hiyo gari miaka miwili iloyopita na hakubadili jina kwenye kadi. Leo amekamatwa na agent...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.