Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
:lol: mimi nashangaa sana kila ninapokwenda mahakamani nakuta wanasheria wamevalia mara suti nyeusi na shati jeupe, mara suti nyeusi na shati la bluu iliyokolea, mara wavae vitambaa vyeupe...
Hivi mtu au fundi akija kufanya kazi kwako wakati haupo na akapatwa na majeraha au akaumia anaweza akaku sue for breach of duty of care au for any damages ?
Hello guys.
Kwa anayefahamu sheria ya adoption,Je mtu aliye single anaruhusiwa ku adopt ??
Na anaweza kumpa sir name ya kwake huyo mtoto,yaani kama ni mwanamke akampa sir name ya upande wa...
Hello jamiiforums, I'm happy to come accross this site, hope it will be the answer of my need. Sheria ya ndoa inahitaji marekebisho kwa Tanzania kwani haiweki wazi kuwa wanandoa wa aina gani wana...
Ukiacha Wanavyuo, watanzania ni waoga wa kugoma. Nikumbusheni ni lini watanzania wamegoma na kushinikiza serikali yao ikubaliane nao. Fikiria ni serikali gani inapandisha bei ya umeme kwa...
Wakuu nimesoma ibara ya 71(1) ya katba ya mwka 1977 inaorodhsha vgezo vinavo mnyanganya mbunge sifa ya kua mwakilishi katika bunge la jamhuri ya muungano.sasa swali langu,ni je wabunge wakipiga...
Zingatia ukimwi ulivyoenea na unavyozidi kutafuna nguvu kazi ya Tanzania je, bunge likitunga sheria ya kuwa kila wawili wanaotaka kufunga ndoa wapimwe afya zao juu ya VVU sheria hiyo itakuwa...
Habari wadau,
Ninataka kujenga kaghorofa kadogo tu na kiwanja hakijapimwa,kipo bunju,je utaratibu ukoje? Nijenge tu bila kupima? Je nikaombe kibali cha ujenzi hata kama kiwanja hakijapimwa? Au...
Hi wataalamu wa sheria naomba kujua ni siku ngapi zinazoruhusiwa kisheria kuwa umekata rufaa mahakama kuu.Na zinaanza kuhesabiwa wakati gani yaani kuazia tarehe ambayo umupata hukumu au siku...
Wadau, heri ya mwaka mpya?
Naomba msaada wa sheria na kifungu kinachozungumzia mfanyakazi anapokwenda nje ya working site kwa ajili ya masomo au training ambayo pia inauhusiano na kampuni (are...
Mathalani Jaji wa mahakama amekuhukumu kunyongwa hadi kufa (kutokana na kesi fulani).
Lakini kifo chako unaambiwa uchague kati ya hivi 5.....je,utachagua kipi?
1.kufungwa jiwe la kilo 50 shingoni...
Mwanafunzi aliyemaliza msomo ya kidato cha nne anayesubiri majibu yake amegundulika na mimba ya miezi minne.wazazi wanakusudia kuchukua hatua za kisheria dhidi ya mtia mimba.
hii habari ilinigusa sana. hadi sasa sijajua iliishaje.
Picha juu ni Ramadhani Mussa (12)ambae anashikiliwa na polisi Mkoa wa Ilala kwa kukutwa na kichwa cha mtoto mdogo Salome Yohana (3) Picha...
Politics
Court reinstates Makwangwala as UDF Secretary General
By Nyasa Times Reporter
January 5, 2012 · 14 Comments
Email This Post
1
Former ruling United Democratic Front...
Hali zenu wana jamii forums?
Naomba kueleweshwa kuhusu kisheria haki ya baba mtoto kumchukua mtoto afikapo umri wa miaka saba (7). Utakuwa mama mtoto kamlea mtoto wake kwa shida sana na kwa...
Wananchi wa Jimbo la Kigoma kusini wanafungua kesi ya kikatiba saa 5 na nusu leo asubuhi katika mahakama kuu ya Tanzania kupinga Mbunge wao kuondolewa kwenye wadhifa huo kama msimamo wa...
Hello JF,
does Tanzania have any legislation governing information security, and if person caught breaching network and steal information what are the consequences?
is there any cyber law, at...
"Mayo nacha" – Mother I am dying! Was the only cry of the 13 year Old girl when Barrick Gold Corporation Employees in Sengerema at Barrick's own exploration camp decided to take the little...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.