Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

JF Prefixes:

Wakubwa heshima yenu.., Ninafanya kazi kwa kampuni moja ya kihindi, nipo kwa probation period of three months, leo asubuhi nimetoa resignation ya 24 hours lakini mwajiri kaniambia nilipe mshahara...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
  • Closed
Kama ni hivyo basi Waislam watanzisha hiyo Mahakama ya Kadhi na wala hawata tegemea hela za hao wavuja jasho na hao makafiri, katika hii dunia Waislam ni matajiri sana ukiangalia wewe huko...
8 Reactions
256 Replies
24K Views
  • Closed
Assume wewe ni muislam na una wake watatu na watoto 5:4:3 yaani 12 jumla kwa wake watatu..umefariki Kwa sheria za ndoa ya 1971; ugawaji wa urithi huo hauwezekani japo muislam huyu aliruhusiwa...
3 Reactions
258 Replies
17K Views
By ORTON KIISHWEKO, 22nd December 2011 @ 16:00 THE stage is now set for legal battle over a multi-billion government building in Dar es Salaam that was recently sold off at a throw away price...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wana JF kuna sheria moja ya kipumbavu hapa Tanzania inanikera , Sheria ya kumdhamini mtu aliyekamatwa na kupelekwa Mahakamani. Hii Sheria ya kusema mzamini awasilishe hati ya mali isiyohamishika...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Dr. Seng'ondo Mvungi, nimekusikia ukijinadi kuwa wewe ni ofisa wa mahakama, ukitaka kuonyesha ukomavu wa sheria. Kweli wewe ni mwanazuoni wa sheria, lakini naomba nikukumbushe kuwa Mwanasheria...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Leonidas Gama Wakazi wa Kijiji cha Mawala Kata ya Kahe wilayani Moshi Vijijini, wameitaka Serikali mkoani Kilimanjaro kutatua mgogoro wa ardhi unaofukuta katika...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mimi ni single mother na nina mtoto mwenye umri wa miaka 13 na ninataka kumchukua mwanangu niishi nae Uingereza ambapo nimepata ajira. Mzazi mwenzangu alikataa ujauzito nilipomwambia,Na tangu...
1 Reactions
29 Replies
3K Views
Ukistaajabu ya David Cameroon ya USA itakuacha hoi... THE United States Senate Thursday 12/8 approved a defence authorisation bill legalising sodomy with humans and sex with...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Hv majeruh katka ajali ya gari lenye bima compresv, wanapahakizao kwa kuzngatia vgezo gani labda vya kisheria
0 Reactions
0 Replies
730 Views
Salaam wana jamvi, Leo kuna gazeti moja nimesoma kuwa anne makinda amekabidhi hati MILIKI ZA ARDHI za KIMILA , katika moja ya mikoa, naomba kama kuna mtu anajua hii sheria atudadavulie maana...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Msaada wenu wakuu mim nikijana najishughulisha na kazi ya ufundi umeme wa magari.Wiki iliyopita nilikuwa na rafiki yangu tumebeba engine control tulikuwa tumetokanazo kariakoo kwa mafundi...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Naenda moja kwa moja kwenye mada, mama yangu ana tuhuma za udanganyifu wa mtihani huu wa primary, yeye anadai hakukuwa na kitu chochote alichofanya ndani ya chumba cha mtihani. Sasa tatizo mkuu...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
[emoji23][emoji23][emoji23]
0 Reactions
2 Replies
947 Views
Jana usiku majira ya saa nne niliweka muda wa maongezi wa sh.4,000/= kisha nikanunua kifurushi cha intanet cha MB400 kwa sh2500. Nikaperuziperuzi kwenye intanet kwa muda wa nusu saa pasipo...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wazo binafsi: SIPINGI WANANCHI WA JANGWANI KUHAMISHWA ILA NAOMBA SERIKALI IFANYE JAMBO MOJA,MAADAM NYUMBA ZA NHC NI MALI YA WANANCHI INGEKUWA BORA KUWAONDOA WAHINDI WOTE MITAA YA UPANGA KWANI WAO...
0 Reactions
0 Replies
998 Views
Kuna mfanyakazi mmoja alikabidhiwa ofisi ya umma. Ndani ya miaka 2 akawa amepata shoti ya shillingi milioni 3, na alipoitwa na menajimenti akakiri kutenda kosa hilo na yupo tayari kurejesha fedha...
0 Reactions
3 Replies
8K Views
Wajibu katika mkataba wowote ni kwa pande mbili au zaidi zinazohusika ambazo zinafanya mapatano hayo. Hivyo, kisheria mapatano ni yale ambayo pande husika zimekubaliana kubanwa na sheria katika...
0 Reactions
3 Replies
9K Views
wana JF kwa yeyote mwenye kujua sheria ya udhamini ya kiswahili inapopatika naomba anijulishe tafadhali
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Dear readers, any one with copy of the constitutional review act signed by he the president of united republic of tanzania, please post here so that we can see what was added there in by the...
0 Reactions
0 Replies
968 Views
Back
Top Bottom