Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

JF Prefixes:

Wasalaam Naomba mwenye udadavuzo yakinifu kuhusu haki za mashoga....kuna mikanganyiko mingi sana,, na wengine wakijibana kwenye mizani ya mila na desturi huku wengine wakiegema dini na wengine...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
My learned brothers and sisters,mimi ni mhitimu wa degree ya sheria nimetafuta kazi bila mafanikio,yeyote mwenye kuweza anisaidie nipate japo nafasi ya kazi ya kujitolea ili nipate experience
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ni jambo la ajabu na aibu Kwa Polisi kumushitaki Raia Samson Mwigamba kuwa anawachochea Majeshi yetu kuasi amri halali za wakubwa zao na pengine kuto mtii Rais Kikwete!!! Hapa inaonekana...
2 Reactions
2 Replies
2K Views
Kesi ya akina Slaa kusikilizwa Januari Imeandikwa na John Mhala, Arusha; Tarehe: 21st December 2011 @ 12:00 Imesomwa na watu: 54; Jumla ya maoni: 0...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Written by amini // 21/12/2011 // Habari // No comments Hakuna shaka kuwa mshtakiwa no X katika kesi ya mauwaji ya Karume alikuwa ni Juliasi Nyerere lakini kwa kipindi kile alihifadhiwa...
0 Reactions
15 Replies
5K Views
Wadau nina akaunt katika benki moja hapa jijini Dar sasa kumekuwa na mchezo wa mtu kudeposit fedha kwenye account yangu pasipo mimi kumfahamu mtu huyo. Mara ya kwanza aliweka kama milioni 27...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Wadau nimehabarishwa kuwa Taasisi ya rushwa imewanasa golikipa na meneja wa timu ya Simba ya dar es salaam na kuwaweka chini ya ulinzi mkali wa njagu hao kabla ya kupelekwa mahabusu. Mwenye...
0 Reactions
42 Replies
5K Views
0.Serikali lelemama 1.MAKAMPUNI YA SIMU(wananchi wanajiuliza serikali mipo wapi wakati wanaibiwa kila siku) 2.MIGODI(Madini kama tanzanite ingetakiwa kuchimbwa na wazawa,watu wa nje wamedhaminiwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hellow to all great thinkers...! Wandugu embu nisaidieni mawazo yenu hapo cause nahisi kuwa mwehu hapa....! Mimi nilikuwa ni muajiriwa wa kampuni moja ya uchimbaji wa madini hapa Tz, nikawa...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Nina gari nilinunua kwa mtu miaka mitano iliyopita. Muda wote huo nilikuwa sijabadili kutoka jina la muuzaji kwenda jina langu. Hivi juzi rafiki yangu kaniambia kwamba nikienda tu kubadili jina...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Ndugu wana jamvi, Juzi nilikuwa naangalia star Tv majira ya saa tatu usiku, nikakuta wakuu wa tatu wanaowakilisha wananchi wa Kigamboni wakiongelea kuhusu mradi wa kigamboni na jinsi sheria...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ninavyoamini mimi ni kuwa, vitu mfano wa silaha za moto zinapaswa zibebwe na watu wenye akili timamu. Jioni ya leo nikiwa katika mitaa ya uhindini mjini Dodoma nimeshuhudia tukio ambalo...
1 Reactions
14 Replies
3K Views
Mahakama wilayani Sumbawanga imemtia hatiani bwana Cosmas Mafuru kwa kosa la kuanzisha Chuo fake,bwana Mafuru mwenye umri wa miaka 50,alituhumiwa kwa kosa la kujiita Mkurugenzi wa Chuo Cha Uandish...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
One of the men suspected to have carried out the bombing in Kampala in July last year claims security officers forced him to eat pork and have anal sex. The allegation is contained in a fresh...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Wadau naomba kuuliza,Unapokuwa umeacha au kuachishwa kazi na Muajiri na ulikuwa unakatwa makato hayo kama kawaida wakati wa ajira yako,baada ya kuachishwa ukaanza kujaza fomu za madai lakini...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
nafahamu hakimu anaweza kujitoa kusikiliza kesi yoyote mfano pale anapokuwa na maslahi na hiyo kesi. je wafanyakazi wa fani nyingine wana hiyo nafasi? mfano, askari anaweza kukataa kumkamata mtu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Salam wana JF. Mimi ni mhasibu katika kampuni ya kimataifa hapa ughaibuni. Kabla hajaja bosi wa pili, huyu bosi wa kwanza (Resident Manager) na pia anamiliki 35% ya local branch na ana power of...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
ICC yasema baraza la mpito linawajibika kwa kifo cha Gadafi. SOURCE;BBC-SWAHILI website
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wana jamvi? Naombeni ushauri wenu kuhusu hii kesi yangu... February mwaka huu nilinunua ardhi kwa mtu mitaa ya Goba. Yule alienuzia kwa sasa yupo Arusha. Tatizo ni kuwa yule mzee alieuza...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
mtu ka ukumiwa miaka kumi na tano jela kwa kosa la mauwaji baada ya kutoka jelakamu ona mtu yule yule aliye ukumiwa yeye kuwa kamuua ika bidi achukue pangaamufukuze uyo mtu alipo mkamata aka mkata...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom