Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
KUNA kitu kinatokea Zanzibar ambacho kisipotafutiwa dawa kinaweza kuleta sura mbaya katika jamii ya Tanzania na ya kimataifa.
Pamoja na kuonekana kwamba Zanzibar kuna utulivu, kumekuwa kukizuka...
Ningependa kujua sheria inaseamaje kwa mbunge mteule akifa kabla ya kuapa inanakuaje, je 1) uchaguzi mpya utafanyika??? 2) Mshindi wa pili aliye fuatia kwa wingi wa kura ana weza kuchukua nafasi...
mimi ni mtanzania ninaishi botswana'serikali ya nchi hii imeamua kutoa sheria kali kwa wageni wanaofanya kazi na biashara'nina kampuni lakini wamenipa masharti magumu kabisa ya kupata...
juzi nilienda polisi kufungua kesi ya madai,but askar waliokua zamu pale kituon wakakata na kuniambia hizo kesi wao haziwahusu so niende direct mahakamani kufungu charge.
Ndugu yangu amepanga nyumba anakaa na familia yake,mkataba ni wa mwaka na ameshakaa miezi minne mpaka sasa.sasa mwenye nyumba juzi kabandika tangazo getini,akitangaza kusudio la kubadili matumizi...
Hivi kwa bongo hii mikataba huwa ipo? kama ndio huwa inatumika katika kesi za kugawana mali wakati wa kuachana (divorce)?
Kwa sababu kama mwanamke aliolewa na urithi wake wa let say, nyumba zenye...
Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohammed Shein.
Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohammed Shein, ametangaza ripoti ya uchunguzi wa kuzama kwa meli ya MV Spice Islanders, inayopendekeza vigogo wa serikali...
HAKI ya mtu kuwa huru ni haki ya kikatiba na kisheria ambayo haipaswi kuingiliwa na mamlaka yoyote ila kwa mujibu wa maelekezo ya sheria ambayo, hata hivyo, sheria hiyo nayo haipaswi kupingana na...
Nimeiona hali ya kuzuia mshahara ikiwakumba hasa waalimu wa shule za msingi kwa visingizio mbalimbali kama kutokuandaa azimio au andalio la kazi. Mwalimu Mkuu hutaarifu nia ya kuzuia mshahara wa...
Kuna rafiki yangu amefanya kazi kenye shirika miaka 28,mwajiri akaamua kumfukuza kazi,kitendo ambacho jamaa yangu hakuridhika nacho. Akaenda CMA ambao wametoa hukumu yao kwamba arudishwe...
Ndugu wapedwa kaka na dada wasomi.nimeandika kichwa cha habari hicho nikiomba ufafanuzi wenu wa kisheria kuhusu matamko ya wanasiasa yanayotolewa kwa watu waliojenga kwente ama hifadhi za barabara...
habari wana jf naombeni msaada nataka kujua siku za hivi karibuni ukienda kwenye taasisi nyingi mfano bank migodi. viwanda na hata hotel unakuta wamefunga cctv camera je mahakama zetu zinatumia...
Embattled Deputy Chief Justice Nancy Baraza on Sunday broke her silence and said she was ready to face the tribunal that will be set up to investigate her conduct.
Speaking for the first time...
Mniwie radhi kwa kuweka picha ambazo hazipendezi hapa. Hawa ni vijana watatu waliopatwa na mauti kwa kuchomwa moto ( kama wanavyoonekana kwenye gari) na mwingine akiwa amepigwa mawe pale chini (...
Hello wanaJF, habari! Samahanini nina swali na swali lenyewe ni kama ifuatavyo; Inapotokea kwamba kampuni inamudharirisha mfanyakazi wake mbele za watu na mbele ya wafanyakazi wenzake kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.