Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Habari za jioni wana jf hivi tabia ya polisi kuwabambikizia makosa rahia itaisha lini sio siri inaniuma sana umefanya kosa kidogo utapewa kosa hilo adi utashangaa utasikia umevunja maduka ya...
BBC News
Ex-Bosnian Serb army head Ratko Mladic has made his first appearance at The Hague war crimes tribunal, saying he will not enter a plea to the "monstrous" and "obnoxious" charges.
He...
Hati ya mashtaka ndiyo inayoanzisha rasmi mashtaka dhidi ya mshtakiwa yeyote wa makosa ya jinai.Hati hiyo hutayarishwa kwa msingi wa kisheria ambapo lazima izingatie masharti kadhaaa muhimu
Kwa wanasheria.Hapa tunapata funzo gani
Soma hii story chini.
nimeipata hapa
Mahakama ya hakimu mkazi Kisutu jijini Dar es salaam, leo imekataa kupokea hati ya kiapo ya rais mstaafu...
NINA RAFIKI YANGU ALIKIUWA NAKESI HUU MWAKA KARIBU WA12.IPO HIVI BABA YAKE ALIKUWA ANAMILIKI ENEOMAENEOYA FERY KIGAMBONI KABLA YA SERIKALI HAIJAPIMA ALIKUWA YUPO HAPO.WAKATI SERIKALI INAPIMA...
Fr. Sseppuuya presiding over the wedding of Martin Okumu Masiga and Margaret Mbakire Kyakuwa in Kampala in 2006
By VISION REPORTER
A Catholic priest has been dragged to court for allegedly...
Wadau, bila shaka mwajua mpango wa serikali kujenga mji wa kisasa Kigamboni. Vikao kadhaa vimefnyika baina ya wakazi wa huko na Serikali lakini hakuna mwafaka ingawa serikali imeahidi fidia kubwa...
Habari wakuu,
Mimi nimekuwa nafanya kazi na wajerumani katika mradi fulani hapa Tanzania. Niliajiriwa nao pindi tu nilipomaliza degree ya kwanza, bahati nzuri baada ya kukaa nao kama miezi nane...
wanajf ninaomba msaada wa kisheria kuhusu hili.namdai mtu shilingi milioni tano.hatukuandikishana popote nilipokuwa nampa hizo pesa.yeye anakiri kwamba namdai ila kulipa ndo anasumbua.nimejaribu...
Wandugu nina hali mbaya mwajiri wanagu anataka kunipiga chini kazi. Naombeni mwenye nakala ya sheria ya kazi Tanzania aiweke jamvini ni-download na kujisomea ili nizijue haki zangu katika kipindi...
ndugu zangu wanajukwaa hili naomba kwa anaejua namna malipo ya fidia yanavyofanywa kwa mtu ambaye barabara ndilo limemfuata,naomba nipewe utaratibu mzima na bei na vipimio vitumiwavyo na bei...
wana jf naombeni eilimu juu ya haya
1.kuna madhara gani nikipangisha nyumba bila mkataba.
2.je mkataba wa kupangisha nyumba nautoa wapi-je naubuni tu mwenyewe.na kama nikiubuni tu mwenyewe...
Na Benjamin Masese
KESI ya ya wizi wa mabilioni ya fedha katika Akaunti ya Madeni ya Nje (EPA) ya Benki Kuu Tanzania (BoT) inayowakabili, Bw. Johnson Lukaza na
ndugu yake Mwesiga Lukaza...
Kufuatia kuibuka kwa kampuni feki za nje hapa tanzania na kuisababishia serikali hasara kubwa.je, kwa taratibu za usajili wake chini ya sheria ya Makampuni ya 2002 yaani (THE COMPANIES ACT, 2002)...
25th May 2011
Mvulana mwenye umri wa miaka 14, mkazi wa kijiji cha Senani kata ya Ipililo wilaya Maswa mkoani Shinyanga, amehukumiwa kifungo cha maisha jela na kuchapwa viboko sita akiwa...
Wakubwa Msaada tutani tafadhalini...!
Contract ya miaka miwili ninaimaliza 30th ya next month na I don't feel ku-renew. Je nalazimika kutoa notisi ya intent of not going to re-new contract?? Ni...
Wa tz wenzangu naomba mwenye kuweza kuwa au kupata sheria za mikataba kwa tanzania animwagie copy hapa ninashida nayo sana. Ndugu nisaidie kwani muda si mrefu haki yangu nitanyanganywa. Nataka...
Chanzo blog ya Francis Godwin,Iringa
MAHAKAMA ya hakimu makazi mkoa wa Iringa kwa mara ya pili imemwachia huru aliyekuwa mshindi wa kura za maoni ndani ya chama cha mapinduzi (CCM) katika...
THE Parliamentary Justice and Constitutional Affairs Committee has recommended legalisation of cultivation of a narcotic plant, known as bhang, to boost incomes.
The committee made the...