Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

JF Prefixes:

Mwananchi lasimamisha kesi ya tuhuma za ufisadi NBC Send to a friend Tuesday, 15 February 2011 20:46 James Magai HABARI iliyoandikwa na gazeti hili...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Parliament Speaker Edward Ssekandi has ordered the 77 lawmakers who changed political platforms ahead of this year’s election to immediately vacate Parliament, giving effect to a court...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Baba yangu alifariki mwaka jana mwezi wa saba, katika harakati za kufuatilia mali zake tukakuta kumbe nyumba moja imeshauzwa kwa Mpangaji anaekaa humo ndani kitambo tu. baada ya kupekua nyaraka za...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Nina muda kidogo namiliki modem ya Vodacom kwa ajili ya internet, nikipata tatizo ambalo naweza kuliita sugu la kupokea meseji za Kandanda kutoa namba 15556, na sijawahi hata kujiunga na huduma...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakurugenzi watatu, Irenei Kiria (SIKIKA), Francis Kiwanga (LHRC) na Emanuel Massawe (LEAT) wamefanikiwa kufile zuio/objection kupinga kulipwa Dowans. Taarifa za kuaminika ni kwamba kesi hiyo...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
habari wana JF! Kuna rafiki yangu yeye si mtaalam wa mambo ya sheria lakini hapendi upuuzi(kuonewa). Alifanyiwa zengwe wakati akimlalamikia mtaalam wa sheria maana hakumuwakilisha ipasavyo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
LEARNED BROTHERS AND SISTERS!!! Tuachane kidogo na majukwaa mengine, hasa jukwaa la siasa. Maana siasa hupandisha jazba hasa mnapotofautiana kimawazo na kimtazamo. Naombeni tuliangalie hili kwa...
1 Reactions
61 Replies
11K Views
Gone are the days when the legal profession stood out as "the noble profession".Ilikuwa ni fahari sana kwa mtu kuwa mwanasheria hasa wakili wa kujitegemea maana ilikuwa inaaminika kuwa hawa ndiyo...
0 Reactions
22 Replies
5K Views
Japo kesi ya mzee wa vijisent(chenge) imepita lakini bado nashindwa kuubalance mzani wa sheria na haki, hivi kwa kosa kama lile la mzee chenge la kuua anaenda kupewa adhabu ya kulipa 700,000/=...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wadau zijueni sheria za barabarani pamoja na haki zenu. Naomba kuwasilisha. Shukrani za dhati ziuendee Umma wa Wapanda Baiskeli Dar es Salaam(UWABA) kwa nakala ya hii...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Je,ni haki kwenye mgomo ulihusisha Chuo kizima adhabu ya kufunga ikatolewa kwa Koleji moja tu ya Uhandisi? Wengine wameridhika?
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Lying asylum seeker can stay here - because she had two children by an HIV alcoholic By Jack Doyle 1st February 2011 Ruling: The Supreme Court said that forcing the woman to return home was...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Mkupuo wa kwanza zaidi ya 300 wamekuwa mawakili binafsi, bado mikupuo mingine ya Law school. Nini hatima ya hii taaluma nyeti kwa hapa TZ??
0 Reactions
19 Replies
2K Views
TAKUKURU yamng'ang'ania Mungai Na Mwandishi Wetu TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imesema kesi ya rushwa inayomkabili aliyekuwa Waziri wa Elimu, Profesa Joseph Mungai...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hivi katika sheria zetu tunayo mashtaka kama haya au yanayofanana na haya na nini kinahitajika ili kuyathibitisha?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Waheshimiwa wana jamii! Tafadhali naomba kama kuna anaejua case laws ambazo zimeamuliwa na Mtukufu Jaji mkuu na kuwekwa kwenye Tanzania Law Reports au collection yoyote anipostie kweny mtandao huu.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nimesoma gazeti la 'gurdian on Sunday' kwenye habari yenye kichwa: Inside Dowans' Verdict: Tales Mafia style, abuse of power ... Najiuliza kama kuna hiki kipande; nanukuu gazeti verbatim...
0 Reactions
1 Replies
897 Views
The landmark judgement of the Constitutional Court in George Owor –vs- The Attorney General and Wlliam Okecho delivered on February 1, 2011 has sparked off a legal and political controversy...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Bodi ya mikopo kutinga kortini kwa kutowadai wakopaji Sunday, 06 February 2011 21:54 Daniel Mjema,Moshi WAKILI mashuhuri wa kujitegemea nchini, Albert...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mahakama ya Rufaa yashtumiwa kujipa mamlaka Na Makumba Mwemezi WAKILI Mwandamizi wa Mahakama Kuu Bw. Richard Rweyongeza ameishambulia Mahakama ya Rufaa kwa kujaribu kujipa mamlaka...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom