Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

JF Prefixes:

Sheria ya ndoa 1971 ibara ya 129(1) " ni jukumu la mwanaume kutunza watoto wake" sasa ktk ulimwengu wa usawa bila kuangalia vipato vya wanandoa kwani pia mwanamke anaweza akawa na kipato zaidi ya...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Shahidi aeleza mahakama watuhumiwa Kabla ya mauaji walidai dhahabu kilo 5 Friday, 04 February 2011 21:31 James Magai SHAHIDI wa kwanza kesi ya maiti...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Mawakili wa Kujitegemea waaswa kutowakamua wananchi Imeandikwa na Grace Chilongola, Mwanza; Tarehe: 4th February 2011 @ 23:50 MAWAKILI wa kujitegemea nchini wameaswa kutotanguliza maslahi...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Greetings, Kuna Ofisi inafanya kazi ya Kukopa (interest 15%) na Kukopesha (kwa 20%). Nataka kuikopesha hii kampuni. But ningependa nifanye hili legally. Je ni kivipi ninaweza kuji weka safe...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
The Kenyan constitutional impasse The Speaker of Kenyan House, Kenneth Marende has declined to award the prayers sought by Hon. Gitobu Imanyara fervently pleading for the four names nominated...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
JK: Sitaingilia Mahakama Imeandikwa na Gloria Tesha; Tarehe: 2nd February 2011 @ 23:59 RAIS Jakaya Kikwete amesema hataingilia kamwe uhuru wa Mahakama na badala yake ameitaka taasisi hiyo...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mwenye kujua zinakoendeshwa lectures za legal methods aniPM.
0 Reactions
1 Replies
869 Views
senior Constitutional Court official yesterday said all 70 MPs whose nomination was, in effect, declared to be invalid, null and void by the court must be de-registered by the Electoral...
0 Reactions
1 Replies
936 Views
Majukumu ya Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Allan Kajembe TUME ya Haki za Binadamu na Utawala Bora ni mojawapo...
0 Reactions
1 Replies
7K Views
Jela miaka saba kwa wizi wa mtoto Na Livinus Feruzi, Bukoba MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kagera imemhukumu Sudi Isimail (20) mkazi wa Kashabo, Manispaa ya Bukoba kutumikia kifungo cha miaka...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ndugu wanaJF ninaomba msaada wa kisheria ili kufungua kesi ambayo nalenga washitakiwa kuwa ni wafuatao. 1)IKULU. Rais wa Tanzania aliishahuri wibaya wizara ya elimu kuondoa mtihani wa kidato cha...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Makampuni ya simu yanapofanya kazi za Kibenki yanasimamiwa na sheria gani? Yaani, yanapotumika kununua vitu, kubadilisha, kuhifadhi na kuhamisha fedha yanaongozwa na sheria gani. Je yanaweza...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Zipo karibu taasisi 20 ambazo zimejiunganisha katika kupinga tuzo ya Dowans. Sijaelewa kwanini Chadema isiwe mojawapo. Nadhani litakuwa jambo jema kisheria na kisiasa kwa Chadema kuwa sehemu ya...
0 Reactions
33 Replies
3K Views
Katiba ni nini?
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nimeishi na mwenzangu kwa miaka 11,tuna 2kids na hatujafunga ndoa kutokana na conflicts za mara kwa mara.wife anasisitiza sana tugawane vitu,je sheria inasema nini kuhusu malezi ya watoto na...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
HOTUBA YA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, MHESHIMIWA JAKAYA MRISHO KIKWETE, WAKATI WA KUADHIMISHA SIKU YA SHERIA NCHINI, TAREHE 2 FEBRUARI, 2011 Mheshimiwa Mohamed Chande Othman...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
ni kwelph mahakama ni muhimili wa dola ambao ndio una wajibu mkubwa wa kutoa haki kwa jamii.. najiuliza mahakama itatekelezaje wajibu huo wakati yenyewe haipo huru? uwepo wake unategemea serikali...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ningependa kupata sheria inayoongoza ushahidi Tanzania, ninaweza kupata PDF? Asanteni wdau wote wa Jukwaa hili!
0 Reactions
7 Replies
11K Views
LHRC yaishika pabaya Dowans Monday, 31 January 2011 19:44 newsroom * Yaenda kortini kuzuia malipo ya bilioni 94/- NA...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mmiliki wa ardhi ya Tanzania anapaswa kuwa mtanzania. Sasa kuna mkenya kanunua ardhi kwa wanakiji fulani akijua wazi kuwa yeye hastahili kuipata hiyo ardhi. Pia hili la ardhi lilikataliwa hata...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom