Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Je hii clause iko na option au haina?
"The agent is required to purchase a minimum units of value of not less than one week average or 10m whichever is higher"
Tamko la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Juu ya Mauaji ya Wananchi wakati wa Maandamano ya Amani yaliyofanyika Arusha tarehe 5 Jan, 2011
UTANGULIZI
Tumekutana hapa leo hii kwa huzuni...
Mwanajeshi Mbaroni kwa tuhuma za mauaji
JESHI la Polisi mkoani Kilimanjaro linawashikilia watu wawili akiwemo mwanajeshi mstaafu wa Jeshi la Ulinzi la wananchi wa Tanzania (JWTZ)
kwa...
HOTUBA YA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, MHESHIMIWA JAKAYA MRISHO KIKWETE, KWENYE UZINDUZI RASMI WA BUNGE LA KUMI LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, DODOMA, 18 NOVEMBA, 2010...
Sheria ya ndoa ipo wazi watu wawili wanapoishi pamoja kama mke na mume watahesabika kuwa ni wanandoa kama hakuna anayebisha yaani (rebuttable evidence). Vile vile wanandoa wanapokuwa wametengana...
Nimeupenda sana mjadala wa leo lakini nadhani ningeupenda zaidi kama kanuni ya audi alteram partem"hear the other side" ingefuata. Kwangu mimi naona mjadala huu umekuwa ni wa upande mmoja sana na...
Kesi ya Dk. Mahanga kupinga `ukihiyo yaahirishwa
Imeandikwa na Flora Mwakasala; Tarehe: 14th January 2011 @ 23:20
MAHAKAMA ya Wilaya ya Ilala, imeahirisha kesi ya madai ya kulipwa Sh bilioni...
Naomba mnisaidie wenzangu,kuzuia maendeleo ya wananchi kwa sababu ya kupisha ujenzi wa barabara,na mpaka sasa wametia alama majengo ili kupisha ujenzi huo na kupiga hesabu za fidia,matokeo yake...
Ni matumaini yangu kuwa nimelileta hili swala huku nikiamini ntapata ufafanuzi wa kisheria kuhusu utata uliojiri Arusha na kupelekea kutokea fujo zilizosababisha vifo.
Kwanza, naomba...
Is Law School a Losing Game?
By DAVID SEGAL
Published: January 8, 2011
IF there is ever a class in how to remain calm while trapped beneath $250,000 in loans, Michael...
Naomba mnisaidie wenzangu,kuzuia maendeleo ya wananchi kwa sababu ya kupisha ujenzi wa barabara,na mpaka sasa wametia alama majengo ili kupisha ujenzi huo na kupiga hesabu za fidia,matokeo yake...
Raia wa China kizimbani kwa nyara za mamilioni
Imeandikwa na Flora Mwakasala; Tarehe: 10th January 2011 @ 23:26 Imesomwa na watu: 125; Jumla ya maoni: 0...
Mtuhumiwa afa akiwatoroka Polisi
Na Suleiman Abeid, Shinyanga
MKAZI wa eneo la New Stand Manispaa ya Shinyanga aliyetambuliwa kwa jina la Bw. Haji Omari (30) amekufa papo hapo baada ya...
Polisi waminya kesi ya mwanafunzi aliyelawitiwa
Na Lilian Justice, Morogoro
MWANAFUNZI wa kidato cha kwanza katika Shule ya Sekondari ya Murad wilayani Mvomero mkoani Morogoro...
Mashirika manne yasiyo ya kiserikali, yamefungua kesi ya kikatiba ambapo walalamikiwa ni Mkuu wa Wilaya ya Ngorongoro, Kamanda wa Polisi wa Wilaya ya Ngorongoro, Waziri wa Maliasili na Utalii...
Kuna mambo mambo yametokea nchini lakini ufuatiliaji wake umekuwa mdogo sana ...labda kwa kuwa watu wengi wa kawaida hili ni suala geni kidogo kwao...juzi tumeona hukumu ya Chenge imetoka.Je nini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.