Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Nimeingia kwenye website ya REX Attorneys na kuona kuwa Balozi Maajar bado ni partner wa hii firm.Hii ni AIBU kubwa kwa law proffesion ya TANZANIA.
Jamani hapa hamuoni conflict of Interests?Nchi...
Dereba Abood asomea mashtaka 51
Na John Gagarini, Kibaha
DEREVA Maulid Mohamed (36) wa basi la Kampuni ya Abood ambalo lililosababisha ajali Januari 5, mwaka huu na kusababisha vifo vya...
naombeni msaada, jamaa yangu mmoja yuko mkoani alikuwa 5th cohort law school kanipigia simu muda huu kuwa kuna tetesi matokeo yao yameshatoka nami sina taarifa. Kama kuna yeyote mwenye uhakika wa...
Habari wanaforum,
Ningependa na nitafurahi kupata maelezo, njia na namna ya kuwa wakili (Procedures) baada ya kupata degree ya sheria. naamini katika forum hii pia wapo watua mabo wanaweza...
Habarini wanajamii wenzangu naombeni msaada wa jinsi ya kuanzisha na kusajili partnership organisation(i need the whole procedure)mpaka iwe imekamilika na kusajiliwa..asanten
By JEFF CARLTON, Associated Press Jeff Carlton, Associated Press Tue Jan 4, 6:30 pm ET
DALLAS A Texas man declared innocent Tuesday after 30 years in prison had at least two chances to make...
Mwanafunzi mbaroni kwa kubaka mwenzie
Na Suleiman Abeid, Shinyanga
JESHI la Polisi mkoani Shinyanga linamshikilia mwanafunzi wa kidato cha kwanza katika Shule ya Sekondari Kishimba...
Rushwa husababishwa na mambo mengi, ila KIPATO KIDOGO ni chanzo kimojawapo kikubwa.Watumishi wa Mabaraza ya Kata (Ward Tribunals) hawana kipato kabisa na wanategemea Rushwa! Watanzania wengine...
RAIS Jakaya Kikwete ameteua majaji wengine wapya 10 wa Mahakama Kuu ya Tanzania katika jitihada zinazoonekana kuwa ni za kutatua upungufu wa watendaji wa idara ya mahakama ambao umesababisha...
Nimegundua kwamba Tanesco wanajikuta matatizoni baada ya kuingia mikataba feki.
Tatizo nikwamba hawaelewi aidha lugha inayotumika au hawana kitengo maalum kinachopitia mikataba kabla ya...
Wakuu naomba kueleweshwa juu ya mwenendo wamakosa yajinai na yasiyokuwa ya jinai,
Sheria inasemaje kwa mbunge aliyekutwa na kosa mahakamani na kutolewa hukumu na Hakimu wa Mahaka ya Jamuhuri ya...
Mahakama ya Rufaa yakataa kubatilisha uamuzi
Na Grace Michael
MAHAKAMA ya Rufaa nchini imekataa kubatilisha uamuzi wa Mahakama Kuu na kutoa dhamana kwa washtakiwa wanaokabiliwa na kesi ya...
Kortini kwa kuua wazazi wao
Na Bazil Makungu, Ludewa
WAKAZI wa Madunda Wilaya ya Ludewa, mkoani Iringa, Bw. Tito Willa (29) na mkewe Bi. Theopista Mtitu (29) juzi wamefikishwa katika...
Husband facing five years in jail after hacking wife's email
A husband who suspected his wife was having an affair faces up to five years in jail after reading her emails without her...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.