Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Mahabusu wagoma, wavua nguo
Na Muhidin Amri, Songea
MAHABUSU wanaokabiliwa na kesi za mauaji wamegoma kupanda gari la polisi kurudi gerezani na baadhi yao kuvua nguo kwa madai ya...
EAC national laws review going on`
By Lusekelo Philemon
27th December 2010
National law reviews as part of the implementation of the East Africa Community Common Market Protocol are...
Imamu kortini kwa wizi wa nyaya
Na Yusuph Mussa, Lushoto
IMAMU wa mwalimu wa dini wa Kijiji cha Mkuzi, Kata ya Kwai wilayani Lushoto Bw. Amir Kijangwa (47) amefikishwa mahakamani...
Wasomi UDSM wamuaga Jaji Ramadhani wakidai katiba
Na Mwandishi Wetu
MWANGWI wa kilio cha ama kufanyika kwa marekebisho makubwa ya msingi ama kuwa na katiba mpya kabisa nchini, unazidi...
By FAUSTINE KAPAMA, 26th December 2010 @ 11:00, Total Comments: 0, Hits: 138
A LEGAL wrangle over exclusive importation and distribution of Heineken Beer in Tanzania took a new twist last week...
By FAUSTINE KAPAMA, 26th December 2010 @ 11:00, Total Comments: 0, Hits: 212
THE Court of Appeal has ordered for fresh hearing of the commercial dispute between the CDRB Bank and Scandinavia...
"ABORTION"
tunapoelekea mjadala wa katiba mpya;
Naomba kupata maoni yenu wanajf,tukizingatia ukweli kwamba abortion ni swala tata kwenye nchi nyingi na kwa upande mwingine abortion za...
Kuna tetesi kuwa mmoja wa wanaofikiriwa ni Othaman Chande. Anaweza kuwa na sifa lakini tuepuke kuwa na jaji mkuu huku mkuu wa usalama wa taifa akiwa ni mdogo wake. Watu wengine wenye sifa wapo
Tuesday, 24 July 2007, 14:06
C O N F I D E N T I A L DAR ES SALAAM 001037
SIPDIS
SIPDIS
AF/E FOR B YODER AND D MALAC
MCC FOR G BREVNOV AND M KAVANAGH
EO 12958 DECL: 07/23/2012
TAGS PREL...
Mwandishi kortini kwa kupokea rushwa
Na Muhidin Amri, Songea
MWANDISHI wa habari wa kujitegemea mkoani Ruvuma, Bw Kwirunus Mapunda, amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi wa Ruvuma...
wakuu,.........
nimeperuzi tovuti ya bunge kusaka hiyo sheria, lakini sijafanikiwa kuiona ................. naomba mwenye copy ya hii sheria.............. ama keyword ya kusearch moja kwa moja...
Jaji Mkuu aomba bajeti zaidi kwa Mahakama
Imeandikwa na Hellen Mlacky, Bagamoyo; Tarehe: 22nd December 2010 @ 22:56
JAJI Mkuu Augustino Ramadhani ameiomba Serikali kuongeza bajeti ya Mahakama...
as-salāmu ʿalaikum, wanajamvi
Mie naomba kuuliza kuhusu Kadhi Court; Je ikianzishwa mahakimu watakuwa wakina nani? Je mahakimu wetu hawa wa sheria za Jamhuri wataruhusiwa kusikiliza...
Hukumu yaitikisa Zantel
Imeandikwa na Mwandishi Wetu; Tarehe: 15th December 2010 @ 07:45
KAMPUNI ya simu za mkononi ya Zanzibar Telecom Limited (Zantel), imetikiswa na pigo la kisheria baada ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.