Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Washtakiwa wavua nguo mahakamani
Na Rabia Bakari
WASHTAKIWA watatu katika kesi ya wizi wa kutumia silaha wamefanya kioja cha aina yake katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu baada ya...
Record 337 advocates join the bar
By ABDULWAKIL SAIBOKO, 17th December 2010 @ 13:00, Total Comments: 0, Hits: 61
THE Chief Justice, Augustino Ramadhani on Friday admitted some 337 advocates, a...
Judge questions BAE deal over payments for Tanzania contract
Mr Justice Bean tells Southwark Crown court it appeared that BAE had paid 'whatever was...
Jaji amuonya Manji kesi ya Mengi
Na Mwandishi Wetu
MAHAKAMA Kuu ya Tanzania imemwonya mfanyabiashara wa jijini Dar es Salaam Bw. Yusuf Manji kuacha kuchelewesha usikilizaji wa kesi dhidi...
Naomba kuuliza mimi ninamtu namjua amenitukana na kunikashifu kwa kunitumia sms lakini yeye anaishi shinyanga mimi ninaishi tanga je nini naweza kufanya ili hatua za kisheria nizifate??Tafadhali...
Wakuu nina swali. Hivi sasa si wengi tunaziamini mahakama zetu, mahakama zinatenda "haki" kwa matajiri kama wakitoa chochote au wakiwa wazito, lakini ukiwa maskini hasa pale unapovutana na mzito...
Thinkers,
Nadhani katika mazingira ya utandawazi si jambo geni kampuni moja kushindwa au kuacha biashara ikaendeshwa na kampuni nyingine.
Ili niwe specific ni kwamba kuna matukio ya kampuni...
CJ lashes out at lawyers on human rights
From ISSA YUSSUF, Zanzibar, 17th December 2010 @ 12:00, Total Comments: 0, Hits: 64
LEGAL associations have not done enough in promoting human rights and...
Wajameni kwa mara ya kwanza tanzania itakuwa na vijana wengi wa kuapishwa kuwa mawakili. Huu ni mwanzo na labda ukumbusho wakati jajai huyu mkuu akiwa katika kipindi chake cha kustaafu.
Mahakama ya Rufaa leo imemwondoa jaji Mtamwa kulisikiliza suala la madai ya wastaafu wa Afrika mashariki kwa kile ambacho kiliitwa ni kukosea katika maamuzi ya kukubalina na hoja za serikali...
Mahakama yakerwa kesi kuahirishwa mara kwa mara
Wednesday, 15 December 2010 20:34
James Magai na Hussein Kauli
MAHAKAMA Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar...
OCAMPO HITS THE LOWEST NOTES ON KENYAN VIOLENCE…
You may be familiar with the Kenyan violence unleashed on innocent blood following the announcement of the controversial verdict of...
Wakuu mkiangalia hii video mnaweza kucheka lakini inaonesha kuwa ni kitu really si cha kuchekesha. Kuna dalili kuwa hali hii inaweza kuja Tanzania.
(Shocking Video) Sudanese Police Man Whipping...