Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Ndugu wasomi (learned Brothers),
Naulizia kama kuna mtu anajua/anafahamu kama kuna software kwa ajili ya Lawfirms? Je ni software gani? Inapatikana wapi na kwa bei gani?
Please help...!
Naangalia kama hawa wasimamizi wa sheria zetu wanajua ni sheria ngapi Rostam amezivunja hadharani hivi karibuni katika suala hili la majadiliano ya Richmond. Najizuia kuanza kuzichambua nikiamini...
jamani naomba mchango wa mawazo kuhusu ndoa hivi mke anapoamua kutelekeza ndoa yake mwenyewe bila kufukuzwa na mume wala kupigwa na kusema sipo tayari kuishi na ww zaidi ya mwaka alafu anakufata...
WanaJF inaonyesha kuwa katika nchi hii kuna wakati au mazingira ambayo sheria inaruhusiwa kuvunjwa. Na kwa mantiki hii, basi kuna watu wapo juu ya sheria kama tunavyoshuhudia siku zote, lakini...
Huu ndiyo wakati wa kuweka Sharia Law ndani ya Tanzania. Mambo muhimu ambayo Sharia Law itayatatua haraka ni:
Mafisadi hawatakuwepo.
Rushwa haitakuwepo.
Let's do it.
Je, aliyedanganywa ndoa ana haki ya kudai fidia????
Kama ilivyo kwa Sheria za mikataba ambapo mtu anayetoa ahadi anapaswa kutekeleza, sheria ya ndoa pia inamtaka mtu anayetoa ahadi ya ndoa...
i
Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP), Said Mwema, naye amekiri kuwa kuwakamata mafisadi ni kazi ngumu.
Na Boniface Meena
UCHUNGUZI wa Sh42.6 bilioni zilizochotwa kutoka katika Akaunti ya...
Naomba mnisaidie wanasheria. Kuna uwezekano gani wa kutumia sheria ili kuwabana warithi wenzako wa mali ili wasifanye maamuzi juu ya vile mlivyorithi bila ya kukushirikisha? Kwa mfano- kama ni...
Kuna shule ambayo rafiki yangu ana soma sasa kamaliza first year sasa anataka kuchukua second year hiyo shule ikamwambia kama wanaifunga shule coz hawana hela na course anayechukua ni btec na hiyo...
Please i need help on this question concerning our Constitution,"According to the classification of Constitution, what is the classification of constitution are we practicing? is it...
Nakuja tena na video kuonyesha msisitizo. Najua baadhi yetu mtakuwa mmeshaangalia video hizi za Unyanyasaji wa polisi wa tanzania (FFU). Ni kwamba elimu yao haiwatoshi? au viongozi wao waliowatuma...
I wish na sisi tungeanzisha 'special court' kudeal na wahujumu uchumi katika kuanzia 1990s to date! Ongera SA kwa kusoma alama za nyakati na kuwa -pro active!!
South Africa to fast-track World...
MWANAMKE Asha Ally [28] mkazi wa Mabibo Jeshini, amefikishwa katika Mahakama ya Mwanzo ya Magomeni kwa kosa la kumtukana mwanamke mwenzake matusi ya nguoni kinyume na sheria...
Ugly Truth: Most U.S. Kids Sentenced to Die In Prison Are Black
By Liliana Segura, AlterNet.
The U.S. stands alone in the world in condemning thousands of juveniles to life without parole. And...
A gay in Uganda who disguised him/herself with a mask for fear of stigma.
Patience Ahimbisibwe
Kampala
Legal experts and activists have warned government against passing the Anti-Homosexuality...
RAIS Jakaya Kikwete amesema, hivi karibuni alibatilisha hukumu 75 za vifo kuwa vifungo vya maisha.
Mbali na kubatilisha huko amesema licha ya Tanzania kuwa na sheria ya Kunyonga katika vitabu...
MKURUGENZI wa Fedha wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Bw. Julius Andrew amesema malipo mengi makubwa yaliyofanywa katika ujenzi wa majengo mapacha ya benki hiyo yaliidhinishwa bila idhini ya bodi...
Haya ndio mambo ambayo yalizua mjadala wa kwa nini jeshi letu lina aina flani ya ubaguzi katika swala la ajira kati ya wanawake na wanaume.. soma hii habari kutoka USA then niambie we unaonaje...
BETTY BHOKE, 17th November 2009 @ 11:33, Total Comments: 0, Hits: 111
THE Director of Public Prosecutions (DPP) has dropped fraud charges against three former Civic United Front (CUF) Members of...
Ebu fikilia, jamaa yangu kaibiwa tv yake, mwizi kakamatwa, baada ya kesi kumalizika huyo jamaa kahukumiwa miaka 6 jela, akitoka anunue tv ya huyu jamaa yangu,
swali ni hili,
-Kufungwa kwa huyu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.