Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Learned Brothers and Sisters, i have an issue in which your opinions will be of a great help, the issue is if an employee claims his/her terminal benefit does it imply that he/she has agreed with...
PRESIDENT Yoweri Museveni has called upon the public to support the bill denying bail to offenders of child sacrifice, rape and corruption.
I would not want these murderers, rapists, defilers...
Hello wana JF,
Naomba yeyote aliyebahatika kupata sheria ya watoto iliyopitshwa mwaka jana anisaidie tafadhali.Nimejaribu kutafuta kwenye web ya Bunge haipatikani.
Kampala
The state on Thursday moved to protect the principal that a man can have more than one wife.
The Attorney Generals office has responded to a petition seeking to nullify the practice of...
Jamani naombeni kupata maelezo kama Police Force Ordinance (Ammendment) Act 1964 inakataza mtu binafsi kumiliki pingu. Maana katika sheria za wenzetu kuna vifungu kabisa vinavyokataza mtu binafsi...
Jamani ninajaribu kujifunza sheria ya ushahidi nikakutana na swali lifuatalo
(a) A agreed in writing to sell a house to B for shillings 10,000/= or shs 15,000/=. Can evedence be given which price...
DAKTARI wa Hospital ya Marie Stopes tawi la Mwenge jijini Dar es Salaam, Paul Andrew (34), anayekabiliwa na tuhuma za kumbaka mgonjwa, amefikishwa mahakamani na kuachiliwa kwa dhamana...
Mwanasheria Mkuu wa serikali, Jaji Frederick Werema.
MUSWADA wa sheria za gharama za uchaguzi jana ulipita kwa mbinde huku ukiibua malumbano makubwa baina ya mwanasheria Mkuu wa serikali, Jaji...
BBC journalist insists story is accurate
Pollino Angela, the 50-year-old man who recently confessed to committing 70 ritual murders, including that of his son, has told Police that his story was...
Hoja ya Mgombea Binafsi
Attached is the Court of Appeal Rulling in the case of THE HONOURABLE ATTORNEY GENERAL VERSUS REVEREND CHRISTOPHER MTIKILA as featured in some of today's (9th Feb, 2010)...
Wadau sitaki kuwachosha sana kwenye hili, siku zote nimekuwa nikiamini kabisa kutoka na kuvurunda kwingi kwa Serikali yetu, labda na baadhi ya ofisi za umma zimekuwa zikiendeshwa wa watu ambao...
Naomba msaada kwa yeyote mwenye nazo au anayefahamu wapi naweza kudownload regulations au sheria inayoongoza uendeshaji wa vituo vya watoto waishio katika mazingira magumu. na kama hizo regulation...
hello..natumai wote wazima
naamini hapa kuna wataalamu wa mambo ya sheria na ushauri pia.
kuna situation ambayo ipo hivi..kwenye familia imetokea kuwa baba ana mtoto wa nje ambaye alizaa kabla...
Haya ndio Mashtaka ambayo Muro na Wenzake wanakabiliwa nayo katika Mahakama ya Kisutu (see attached file).
Nawasilisha kwa taarifa na hapa naomba kunukuu vifungu husika vya sheria ambavyo vinahusu...
Mazingira magumu ya kupambana na uhalifu yapo kila nchi, lakini hii inaweza kuwa ngumu zaidi unapopaswa kupamabana na wahalifu waliokata tamaa ya maisha na kuua au kuuwawa kwao si kitu. Ni kazi...
Leo tr 04/02/2010 ni siku ya Sheria nchini ambapo Mahakama zinaanza rasmi baada ya kuwa kwenye Judicial Vacation tangu tr 15/12/2009 hadi tr 31/01/2010. Mgeni rasmi atakuwa Mh JM Kikwete, Rais wa...
Hollywood loses landmark copyright case in Australia
SYDNEY
Thu Feb 4, 2010 1:43am EST
SYDNEY (Reuters) - Hollywood studios lost a landmark copyright court case against an Australia internet...
The court of appeal will later this month start hearing this appeal. The Appelate Court Bench will be chaired by Justice Nathalia Kimaro , aided by Salum Massati and Mbarouk Mbarouk. Other...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.