Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Frederick Katulanda, Mwanza
SIKU chache baada ya Rais Jakaya Kikwete kuiagiza Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) kuwashughulikia wanaotoa rushwa katika uchaguzi, mbunge wa...
Jamani wana JF, ninaomba mumsaidie huyu mama msaada wa kisheria jinsi gani apate talaka yake,
" Niliolewa ndoa ya kanisani 1999, nikazaa mtoto mwaka huo huo, tabia ya uzinzi ya mume wangu...
KIONGOZI wa chama cha kisiasa cha DP, Christopher Mtikila anakabiliwa na hatari ya kufungwa jela baada ya mahakama kuamua kuwa iwapo zoezi la kuuza mali za mchungaji huyo ili kufidia deni la Sh8.8...
Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP), Saidi Mwema.
Jeshi la Polisi nchini, limetangaza mkakati wake wa kukomesha vitendo vya baadhi ya askari wake kujihusisha na...
Kama mjuavyo Bazazi ni mzururaji. Katika zungukazunguka yake amekutana na watu wengi ambao wanamuona Askofu Kakobe kuwa ni mtu mtata na wengine kumuona kuwa ni punguani flani. Lakini nilichokiona...
Wakuu naomba msaada wenu wa kisheria uykoje kwenye hili la MAFUA YA NGURUWE ambayo yamevamia kazini kwetu Buzwagi Gold mine.
Uongozi ulitangaza kuzuia baadhi ya wafanyakazi (non essential...
Mahakimu wazidi kuikimbia kesi ya Mtikila
Tausi Ally
HAKIMU mwingine wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Salome Mwandu amejitoa kusikiliza kesi ya Mchungaji Christopher Mtikila ya kumwita Rais...
Wana JF naomba msaada; Nimshaurije Dada Esta
John na Joseph ni ndugu wa kuzaliwa tumbo mmoja mkubwawao akiwa John; Kwa kuwa john amefanikiwa kimaisha anamchukua Joseph hadi Dar es salaam...
KADA wa CCM, Haji Manara jana alipandishwa kizimbani na kusomewa mashitaka mengine 11 ambayo yanafanya jumla ya mashtaka yanayomkabili kufikia 17.
Katika mashitaka hayo hayo mapya, Manara...
Tracking changes in negotiating commercial documents: Solicitor and client responsibility
In Thiess Pty Limited v FLSmidth Minerals Pty Limited [2010] QSC 6, the Supreme Court of Queensland...
Kuna mshikaji mmoja anafanya kazi kwenye benki moja nchini. Wakati huo tulikuwa tunafanya kazi pamoja. Mwaka 2006 kuna mteja alipeleka madai kwenye tawi analofanyia huyo jamaa kwamba alimwachia...
Harrassment at the work place
There is lady who was working with one company, whe she had of green pasture somewhere else she applied for the job and she was called for an interview and finally...
TUMEKUWA tukifuatilia mjadala ulioibuka bungeni na kwingineko, kuhusu muswada wa Sheria ya Gharama za Uchaguzi ambao tunaambiwa karibuni utafanywa kuwa sheria.
Tuseme mwanzoni kabisa kwamba sisi...
Criminal law: use of hearsay evidence; professional conduct
The Supreme Court in R v Horncastle [2009] UKSC14 has upheld the decision of the Court of Appeal that, in appropriate circumstances...
Naombeni ushauri wenu wana sheria. If I want kufungua a new company with a foreigner , kawaida step ya kwanza ni Kuregister Jina la Kampuni . Kwenye form ya kuapply for jina la kampuni , you need...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam, leo itaanza kusikiliza utetezi wa kesi ya wizi wa Sh. bilioni 1.8 za Akaunti ya Madeni ya Nje (Epa) ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT)...
By Bonney Odongo
and Patrick Okino
in Lira
A CATHOLIC evangelist who told a BBC reporter that he committed 70 ritual murders has been charged with giving false information to a public officer...
Ndugu zangu wanaJF ninataka mnifahamishe. Hivi iwapo mgombea binafsi ataruhusiwa kugombea uenyekiti wa serikali ya mtaa, udiwani, ubunge na urais iteleta hasara au faida zipi? Je ni kweli kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.