Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Tujadiliane kwa kueleweshana kisheria katika haya ambayo yamekuwa kero kwa baadhi yetu tukiwa barabarani: NINI Mamalaka ya askari na haki ya raia??
Polisi akiwa barabarani
anatokea ghafla...
Majaji waitoa jasho serikali kortini Dar
RUFAA YA MGOMBEA BINAFSI
na Happiness Katabazi
NAIBU Mwanasheria Mkuu wa Serikali, George Masaju, amedai kuwa hakuna mahakama yoyote nchini...
JE WAWEZA KUMPIGA PICHA YA VIDEO POLISI APOKUCHUNGUZA AKAMUACHA SALAMA??
Hivi ndivyo inavyokuwa ngumu kwa Polisi kupeleleza baadhi ya kesi si tu kutokana na kukosa vitendea kazi, bali pia hofu...
Wadau, leo asubuhi nilikuwa nikisikiliza BBC swahili ambapo walikumbushia sheria ya mwaka 1998 ya ubakaji ambapo mwanaume ndiye anahukumiwa... Sasa kutokana na mwanamke mmoja kufungwa kifungo cha...
Jamaa alikosa kuuawa na wananchi kwa tuhuma ya wizi kule Magu.Wiki ilopita akaripotiwa na police jamii kwa sms police Morogoro bada ya kuonekana akiishi Kilosa na sasa yuko mahabusu Kilosa...
The House of Representatives yesterday approved the bill seeking to bar Zanzibar courts from seizing and auctioning Isles government property when it fails to comply with court orders to pay...
Ukitaka meza wembe, Chenge haguswi
Na Mbasha Asenga
SAFARI hii tumekuwa makini sana katika kufikia mkataba na Rites kuendesha TRL, hii ilikuwa ni sehemu tu ya kauli ya aliyekuwa Waziri...
Mwenyekiti wa TLP, Augustine Mrema akizungumza katika mkutano na waandishi wahabari jijini Dar es Salaam jana juu ya kumfungulia kesi ya madai Spika wa Bunge, Samwel Sitta katika Mahakama Kuu...
MSM Consulting Ltd v United Republic of Tanzania [2009] 123 Con LR 154 QBD
This case is concerned with estate agents seeking payment for finding a property for the Tanzanian High Commission in...
WASHINGTON -
Hours after President Obama signed sweeping health-care legislation into law Tuesday, the Senate began a debate on another piece of the package, giving Republicans one last chance to...
So, now what?
Relieved Democrats may still be celebrating the passage of landmark health care overhaul legislation, but Republicans in the Senate still have an opportunity to try to derail...
Jana kumetokea tukio la Kihistoria na la kwanza katika nchi za SADCC kutiwa sahihi kwa sheria ya gharama za uchaguzi. Swali kubwa ni je kutia shahi peke yake kunaweza kuifanya sheria ifanye kazi...
[March 21, 2010]
HTC says confident can defend against Apple suit
(Financial Mirror (Cyprus) Via Acquire Media NewsEdge) Cellphone developer HTC Corp said it is confident it can fight off a...
Murderer Found Guilty Using Dog's DNA
A 22-year-old man who stabbed a teenage boy to death is facing a life sentence after the first murder trial in which a dog's DNA was used as evidence...
Mohamed Trans laua mwanafunzi
na Berensi Alikadi, Musoma
WATU wawili wamefariki dunia mkoani Mara katika matukio mawili tofauti, likiwamo la mwanafunzi kugongwa na basi la Kampuni ya...
Wamo wafanyabiashara wakubwa, wanasiasa
na Mwandishi Wetu
BAADHI ya wafanyabiashara maarufu hapa nchini na makada wa chama kimoja kikubwa cha siasa wanahusishwa katika kashfa ya...
Jengo la gorofa 7 hatarini kuporomoka Kariakoo barabara ya Swahili/Mafia. Jengo lenyewe bado halijamalizika ujenzi wake. Hali ya hatari imewekwa kwa kuondolewa majirani wote karibu na jengo hilo...
My fellow lawyers,
The recent rulling by the Court of Appeal on the independent candidate has left more to be desired. If you read the rulling and interprete the law you will realise that a bench...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.