Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
In the Name of Security
Seeking Protection
Human Rights Watch Letter to President Jakaya Mrisho Kikwete of Tanzania
Tanzania has the right to expel people who are illegally within its...
MAHAKAMA ya Wilaya ya Temeke imemuhukumu kifungo cha maisha kijana wa miaka 26 baada ya kumtia hatiani kwa kosa la kumnajisi mtoto wake wa kiume mwenye umri wa miaka mitano.
Akitoa hukumu hiyo...
Friday, 04 June 2010
Mwandishi Wetu
BALOZI wa Sweden aliyememaliza muda wake, Staffan Herrstrom jana alitoa hotuba kali ya kuitaka serikali kutekeleza ahadi inazozitoa, ikiwemo...
WAKATI serikali ikiwa kwenye harakati za kumkomboa mtoto wa kike kielimu juhudi hizo zinarudishwa nyuma na baadhi ya wapinga maendeleo akiwemo mwalimu wa Shule ya Sekondari ya Byuna, wilayani...
OFISA Mtendaji wa Kata ya Challa katika Wilaya ya Nkasi mkoani Rukwa, Priver Mwasile amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Nkasi akikabiliwa na shtaka la kuomba na kupokea rushwa...
Tendwa apondwa kwa kutoisajili CCJ
na David Frank, Arusha
CHAMA cha Mawakili Tanzania (TLS) Mkoa wa Arusha, kimemkosoa msajili wa vyama vya siasa nchini John Tendwa kwa kukataa...
Ndugu qna JF, mara nyingi nimekuwa nikijiuliza maswali mengi kuhusu utendaji kazi wa 'traffic police' wetu. Na kwa vile watu wengi hawajui sheria au kama wanajua hawajui namna ya kudai haki yao...
Monday, May 24, 2010
A three-judge bench on Monday declared the inclusion of Kenya's age old Kadhi courts in current Constitution illegal and discriminatory. The judges, sitting as a...
Jamani wana JF,
Kwa leo sitapenda kutoa taarifa kamili kwa jili ya interest fulani lakini naombeni sana kama kuna mtu anaweza nisaidia katika hili.
Huku mkoanii kwetu tulipozaliwa, Baba na...
mwanamke tulifunga ndoa nae kiserikali anadai talaka kila kukicha ,anatoroka hatimaye ,baada ya mwaka unagundua anaishi na mwanaume mwimngine maeneo fulani na wanataka funga ndoa nyuma...
Wapendwa WanaJF,
Tanzania Bara ina Mawakili wa kujitegemea 1,188 tu kwa takwimu za hadi Desemba 15, 2009 (Bonyeza hapa kwa taarifa zaidi). Kwa kuwa Mawakili wengi sana wanapenda kuishi Dar es...
WanaajamiiForums, kuna sheria hii mpya ambayo imekuaa signed na Mh. JK Nov, 2009 ina mambo mengi
mazuri kwa maslai ya mtoto wa kitanzania, hasa kumlinda kwa mambo hatarishi kama yalivyo oanishwa...
Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Suleiman Kova.
Ripoti ya timu iliyoundwa na Jeshi la Polisi nchini kuchunguza mauaji ya raia Octavian...
tafadhali naomba mwenye software ya CPA R.E 2002.maana nimeshafuatilia pale kwenye duka naambiwa hamna sijui mpaka uweke order kabisa,nimeshaweka order na namba ya simu, nimefuatilia mpaka...
Wanajamii
Naomba wajuzi wa sheria wanijuze juu sheria ya kazi ya Tanzania inavyosema juu ya mfanyakazi anaeumia kazini au kuugua muda mrefe pasi kufanya kazi! Compensation zake zikoje na ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.