Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

JF Prefixes:

Mauaji ya kimbari ya 1994 yalidumu kwa siku 100 Padri kutoka Rwanda aliyekamatwa wiki iliyopita na...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
I am not satisfied with the way the Law School is being run. I am not saying it is being badly run but it could be improved. Why not allowing private individuals and schools to run the legal or...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nimesoma mara kwa mara vitabu vya Prof Issa G. Shivji akiandika kwenye vitabu vyake mbalimbali kwamba Hati za Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ziko juu ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Kanuni za Sheria ya AJira na Mahusiano Kazini (ELRA, 2004) kwa tafsiri ya Kiswahili kwa wale ambao yanahitaji.
0 Reactions
2 Replies
4K Views
na Rahel Chizoza, Dodoma SERIKALI imekubali kuwepo kwa uraia wa nchi mbili kwa Watanzania walioko nje ya nchi na kwamba wasichukuliwe kama wasaliti. Kutokana na hatua hiyo, Wizara ya Mambo ya...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Meya wa Jiji la Mwanza, Leonard Bandiho Bihondo Kesi ya mauaji inayomkabili Meya wa Jiji la Mwanza, Leonard Bandiho Bihondo (64) pamoja na washtakiwa wenzake watatu, jana...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
wanaJF kuna mwenye copy ya Sheria ya ndoa hapa, nataka kuijua ki-undani maana kuna issues zinanitatiza sana, kama kuna yoyote anayo naomba msaada na ufafanuzi wake, najua wanasheria wa maana mko hapa.
0 Reactions
29 Replies
8K Views
Preacher’s lawyer on the spot over AG court order Kenyan Police have concluded investigations into whether a lawyer who represented controversial Muslim preacher, Abdullah al Faisal, forged a...
0 Reactions
0 Replies
993 Views
Ingawa ki-sheria, muajiri hana haki kujua hali ya mfanyakazi wake, waonaje kumuachia mtoto wako yaya usiyejua hali yake ya HIV?
0 Reactions
5 Replies
2K Views
The government plans to increase the retirement age for judges in the country to correspond with the system in Kenya and Uganda, parliament was told here on Friday. Minister for Justice and...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Google's YouTube wins Viacom copyright case Clip from Viacom's Daily Show on YouTube YouTube boasts the biggest video sharing audience in the world Google has won a landmark ruling as a...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
In the second lawsuit, Denis Maringo sued Google in the Southern District of Texas on behalf of the Gogo tribe of Tanzania, for reasons that are probably obvious. For similarly obvious reasons...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kijana wa Kitanzania Salum Kombo aliyeuliwa kwa kuchomwa na kisu na rafiki yake Kijana wa Kiingereza ambaye...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Juzi Serikali "ilishinda" rufaa iliyokata dhidi ya Mgombea Binafsi, katika moja ya Hoja za Serikali (na kwa Mujibu wa Philip Marmo) ni Kwamba Mahakama Kuu Haiwezi Kusikikiliza Kesi ya Kikatiba...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Doping is banned at the Soccer World Cup but the South African justice system acts as if it's on steroids. Faced with a barrage of questioning over security in the run-up to the tournament as...
0 Reactions
0 Replies
784 Views
Na Mhariri Maoni ya katuni Juzi Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam alitangaza kukamatwa kwa Mkuu wa kitengo cha Ardhi katika Manispaa ya Kinondoni jijini...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Nimesoma hukumu ya jana juu ya mgombea binafsi mpaka nimepatwa na homa. Nimesikitishwa na kauli kwamba mahakama za Tanzania hazina mamlaka ya kuwapa wananchi haki zao zilizo minywa na katiba ya...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Revised Statute from The UK Statute Law Database Tanzania Act 1969 (c.29) This version of this statute is extracted from the UK Statute Law Database (SLD). It is not necessarily in the form in...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wapendwa wanaJF, Kama kuna mtu atakuwa na nakala za Hukumu za Kesi ya Liyumba naomba azibandike hapa ili tuweze kuzipitia na kujua yaliyojiri. Wanadai hukumu zilisomwa mbili, ile ya Lameck Mlacha...
0 Reactions
58 Replies
8K Views
Monday, 14 June 2010 20:54 0diggsdigg Tausi Ally na James Magai KWA mara nyingine tena Mwenyekiti wa Chama Cha Demokratic (DP), Mchungaji Christopher Mtikila anayekabiliwa na kesi...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Back
Top Bottom