Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
MASHAHIDI 11 na kamera za kurekodia matukio za Hoteli ya See Cliff ya jijini Dar es Salaam vinatarajia kutumika katika kesi ya kuomba na kupokea rushwa ya sh milioni 10 inayomkabili mtangazaji...
Wadau naomba tuangalie sheria ya kumrushusu Msajili wa Vyama kuwa ndio msemaji wa Mwisho kuhusu Usajili wa Vyama, kama ilivyo elezwa na Mwanakijiji katika thread ya CCJ yaandika barua kwa...
Na. M. M. Mwanakijiji
Serikali yetu haina nia ya kutii mahakama zetu. Labda niseme vingine, serikali yetu haina mazoea ya kutii maamuzi makubwa ya mahakama. Nitumie maneno mengine ili...
Siku ya jumapili tarehe 09 Mei 2010 saa 7:50:36 nilipokea ujumbe wa simu kutoka tigo.
Ujumbe wenyewe ni huu hapa:
Pokea neno la Mungu kwenye simu yako ili uiue busara ya biblia! ......Sikujuwa...
Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora nchini, imesema wananchi wengi bado wanapendelea kuwepo kwa adhabu ya kifo kwa wanaothibitika kisheria kufanya kosa la mauaji.
Kamishna wa Tume hiyo...
habari zenu
Kuna gari ya mzigo nimetumiwa ya tonne 3, sasa nilikuwa nataka kumpa dereva afanyie kazi alete hesabu kwa wiki, nimesikia kuwa natakiwa niwe na mkataba naye, na pia awe na mtu wa...
Habari..
Nina gari yangu ndogo ambayo ninalipia road licence tsh 50,000/-. Kwa sasa road licence yangu imeisha mwanzoni wa huu mwezi wa sita, nimepanga kwenda kulipia mwezi wa saba. Budget juzi...
Rafiki yangu toka ngambo -tena mwanaharakati wa haki za kibinadamu- juzi kanitembelea. tulitalii sehemu nyingi east africa. kila tulikofika mikoani tulipata vitoto kwa mzaha vikiita ''hallo...
Because someone worked in an illegal profession, this did not mean they had no rights under the law. In a recently reported South African case of
Kylie v Commission for Conciliation, Mediation...
Hamjambo jambo!
Nimepata safari ya ghafla, kesho naenda Mambasa, sasa nilikuwa nina mpango wa kuchukua
pistol yangu, naomba msaada wenu wa kisheria, nilikuwa nauliza kuwa kama nitachukua pistol...
Jaji Mkuu wa Tanzania Mheshimiwa Agustino Ramadhani
--
JAJI Mkuu wa Tanzania, Agustino Ramadhani, amesema tatizo la kusuasua kwa uendeshaji wa kesi za jinai ambalo linahusisha mhimili wa...
Naomba kuuliza, hivi STANDING ORDERS inayotumika sasa ni ya mwaka gani?? mi najua ya mwaka 1994.
Mwaka juzi nilisikia tetesi kuwa inatoka mpya, ila mpaka leo sijasikia tena wala kuona>
Kama...
Serikali imeshauriwa kutunga sheria maalum ya kushughulikia matatizo yanayotokana na unyanyapaa, ukatili wa kijinsia dhidi ya watoto na wanaoishi na VVU.
Aidha, imeombwa kuweka misingi bora...
Askari polisi wa Kituo cha Negezi wilayani Kishapu mkoa wa Shinyanga, Koplo Gidman Kanyinuzi, anashikiliwa na jeshi hilo kwa madai ya kumuua raia, wakati akishiriki ulinzi shirikishi...
Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Fredrick Warema
Serikali inatarajiwa kuwasilisha katika Bunge lijalo sheria inayosimamia mikataba ambapo watu binafsi wataweza kuingia katika...
Mkuu wa Wilaya ya Simanjiro mkoani Manyara, Khalidi Mandia kwa kushirikiana na viongozi wa wilaya hiyo wameanza kampeni ya kuwasaka wanafunzi zaidi ya 400 waliofaulu kuingia kidato cha kwanza...
Wabaini namba za wanachana kubadilishwa
Msajili wa Vyama vya Siasa, John Tendwa
Uongozi wa Chama Cha Jamii (CCJ), umeibuka na kutoa madai ya kufanyiwa hujuma...
Waziri wa Nishati na Madini, William Ngeleja.
Serikali imepiga marufuku usafirishaji nje ya nchi wa madini ya Tanzanite ghafi kwa vile hayawanufaishi sana Watanzania kutokana na...
Joint Government and UN Inquiry Needed into Death of Floribert Chebeya Bahizire
Floribert Chebeya Bahizire
Floribert Chebeya's shocking death is a serious blow for human...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.