Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

JF Prefixes:

wanajamii naombeni msaada, kuhusu Tax Law hasa kwenye ishu ya property, je ni kweli kwamba mstaafu kwa hapa tanzania yupo exempted kulipa kodi kwa mapato yatokanayo na rent ya nyumba yake...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Juma tatu na interview y alegal clerk......hivi wanaweza wakauliza maswali gani......halafu kampuni ina sheria nyingi yaniinafanya kazi kwenye vipengele kama 10 vya sheria inamaana watauliza...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari wakuu mimi nipo nje ya nchi naomba Katiba ya kwetu Tanzania inayozungumzia mahakama ya Kadhi na uhalali wake na pia kama mtu anakatiba za Tanzania ambazo iliyofanyiwa marekebisho na...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
JAJI wa Mahakama Kuu, Fredrica Mugaya amemtahadharisha Naibu Waziri wa Mawasiliano Sayansi na Teknolojia, Dk Maua Daftari kuwa hata kama akifanya mbinu ya ucheleweshaji, hukumu ya kesi dhidi...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wakuu nina tatizo moja kuhusu sheria za kazi hususani hapa kwetu Tz. Sijui kwingine zikoje lakini nafahamu kuwa wengine hufanya kazi kwa mikataba ambapo ukiisha kila upande una hiari ya...
0 Reactions
9 Replies
6K Views
Viongozi Nimekutana na kizungumkuti weekend hii nilipoenda kwa serikali ya mtaa kuomba wanijazie form flani na si mgeni kwenye mtaa ule na viongozi wananifahamu. Lakushangaza nilielezwa nipite...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Tusilalamike tu, tutafute mwarobaini wa rushwa Na Mhariri Maoni ya katuni...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Sheria inasemaje inapotokea mwanaume ameishi na mwanamke kwa kipindi cha mwaka na wakazaa mtoto? Uhusiano wao hapo awali ulikuwa ni wa kirafiki zaidi kwani watu hawa hawakufunga ndoa ya aina...
0 Reactions
9 Replies
10K Views
A Christian street preacher was arrested and locked in a cell for telling a passer-by that homosexuality is a sin in the eyes of God By Heidi Blake Published: 1:05PM BST 02 May 2010 Dale...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mwenyekiti wa Democratic Party (DP), Mchungaji Christopher Mtikila. Kesi ya kutoa lugha ya uchochezi na kudai kuwa Rais Jakaya Kikwete ni gaidi...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Mtangazaji wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Jerry Muro Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam, imekubali ombi la upande wa mashitaka...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
28th April 2010 Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Pwani, Absolom Mwakyoma. Vuta nikuvute iliibuka jana...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Editorial Cartoon Ipo tabia moja isiyopendeza ambayo inaonekana kujirudia katika jamii yetu. Ni matukio matatu sasa ambayo yameripotiwa ambapo walimu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Salama wana JF!Niliuziwa kiwanja mbele ya adv. Kwa kupitia bank, kumbe hakina njia (sala2,DSM)nikatoa adv.20m,muuzaji amenizungusha,sasa sikitaki nataka mwanasheria atakaye recover hy pesa nimpe 2m.
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Naomba kufahamishwa kuhusu uingizaji wa malori nchini kutegemea miaka ya gari. Je ile sheria ya kuingiza magari yasiyozidi miaka 10 nchini nayo inahusu malori ya kubebea mizigo? Natanguliza shukrani.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Hivi ni nini maana ya mwanasheria?.Je kuna kiwango cha elimu mtu anatakiwa afikie katika hiyo sheria ili aitwe mwanasheria?,Je watu wote wanaofanya kazi katika field hiyo ya sheria hata kama wana...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau hivi ni nini madhara ya hii shera hasa ukiuunganisha na haki za binadamu? :rolleyes:
1 Reactions
6 Replies
8K Views
A Murder Mystery : A must read For those who have served on jury... this one is something to think about... Just when you think you have heard everything!! Do you like to read a good...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
K agoma kusaini sheria mpya *NI YA KAMPUNI ZA SIMU KUJISAJILI SOKO LA HISA DAR Ramadhan Semtawa BAADA ya kusaini Sheria ya gharama za uchaguzi ambayo imegubikwa na utata, Rais Jakaya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
KATIKA hali ya kuonekana kuna msongamdano wa wafungwa gerezani hali iliyopelekea kuwea keo serikali imeamua wafungwa hao kutumikia kifungo cha nje ili kuepuka msongamano huo...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom