Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

JF Prefixes:

Wakuu naomba nijue mahakama sahihi ya kupeleka kesi zifuatazo 1. Wewe ni muajiriwa, umeingia mkataba na muajiri wako usome alafu ukimaliza atakurudishia gharama zako. sasa umemaliza na ameshindwa...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Habarini, Napenda kujua ni kwa namna gani mtuhumiwa anatakiwa kukamatwa kisheria? Na mkamataji ana wajibu wa kufanya nini kwanza kwa mtuhumiwa kabla ya kumkamata?
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Wadau naomba kujua ni utalatibu gani wa ki haki na kisheria unaoweza kutumika ili uweze kumsaidia mtu aliedakwa kwa kuingia nchini bila kibali Ahsante
1 Reactions
1 Replies
897 Views
Habari wa taalamu, Regulation iliyotolewa na TCRA kuhusu uhitaji wa leseni ya maudhui mtandaoni imesema ni kwa wale wanaotoa Predominant Content, ambayo si chini ya 85% kwa wiki. Hii ina maana...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Mimi ni mhamiaji hapa Mbeya! Nimepapenda na ningependa kujenga japo kajumba kakuishi ila tatizo ni viwanja vya kupimwa bado ni tatizo! Ninafikiria kununua shamba halafu baada ya kukamilisha...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Baba, Mama, na watoto wao wawili mapacha walioteketea kwa moto huko Kilimanjaro. Hivi, katika mazingira ambako mabaki ya mtu aliyekufa hayawezi kupata huduma za mazishi zinazotolewa na dini za...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Habari za wakati wakuu. Naomba kujua ni ndani ya siku ngapi unaruhusiwa kukata rufaa kwa kesi ya madai iliyosikilizwa katika mahakama ya Wilaya kwenda mahakama kuu ili nisiwe nje ya muda...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Je kivipi utajibu swali kama hili?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari ndugu zangu!kutokana na makao makuu ya jiji la Dodoma kuendelea kuendelezwa na serikali ya awamu ya tano kwa kuhakikisha maeneo yote yaliyopo ndani ya jiji la Dodoma yanatambulika na...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Kwa mujibu wa kifungu namba 69 cha sheria ya ndoa, mwanamke anaweza fungua kesi ya fidia dhidi ya mwanaume aliyevunja ahadi ya ndoa dhidi yake.
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Wanasheria naomba msaada wenu. Kesi ikishaamuliwa, na aliyeshindwa Kesi, alikiri kosa tangu mwanzo na hakukata rufaa. 1. Je, Kesi hiyo yaweza kufanyiwa review na mahakama ya juu zaidi ? Kwa...
0 Reactions
1 Replies
794 Views
Habarini wana jamvi. Nimeamua kuja hapa kuomba ushauri kwa hili swala. Nimeona nije kwa watu wasionifahamu ili kuondoa "conflict of interest" Straight kwenye mada, kuna biashara nimekua nikifanya...
7 Reactions
182 Replies
13K Views
Ikiwa mwenyekiti wa kitongoji hawajibiki ipasavyo katika kutimiza wajibu wake katika maendeleo ya kijiji. Je, mwenyekiti wa kijiji aumtendaji wa kijiji kumnyang'anya mhuri ni kosa na kama ni kosa...
0 Reactions
1 Replies
762 Views
Kuna rafiki yangu tunaishi nae Kibamba, ni mfanya biashara wa kununua mashamba na kuuza. Hivi karibuni aliingia kwy matatizo baada ya kununua eneo akaamua kulikatakata viwanja, aliuza viwanja kwa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Nilitamani mwanangu ajiunge na law School of Tanzania mwaka huu januari au June. Cha kushangaza Ni kuwa intake zote zimeshajaa. Je waliomba lini? Ina maana aliyehitimu 2020 nakupata cheti chake...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wataalamu wa sheria Naomba kujulishwa hatua za kufuata ili mke abadili jina lake la ukoo na kutumia la mmewe. Asanteni
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Niende moja kwa moja kwenye maada Nilikuwa naangalia jinsi mama, dada, shangazi zetu wanavyotelekezwa na wanaume kuhama miji na kwenda kuoa tena wake wengine. Pia hao wake wengine bila kujua...
0 Reactions
0 Replies
647 Views
Wakati mwenye shida na uhitaji akiniuliza maswali mbalimbali ya ufahamu wa sheria ningependa tujadili; 1) Kati ya sheria na makosa, ni kipi kilitangulia? 2)Unadhani Tanzania sheria kuna heshima...
1 Reactions
22 Replies
4K Views
Back
Top Bottom