Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Asalaam Wana jamii fourms,
nilikua na swali kuhusu severence pay, sisi offisini hua tunapewa mikataba ya mwaka mmjoa tuu na kwa sheria inavyo sema kwamba severence pay hailipwi kwa mikataba...
Habari wadau,
Naomba msaada wa kisheria kuhusu mirathi. Mwanzoni mwa mwaka huu Baba yangu mzazi alistaafu , miezi kadhaa baada kustaafu alipata ajali ya Gari na kufariki siku chache akiwa...
Ninawiwa kusaidiwa kujua ni muda upi kisheria ambao mtu aliyeshindwa kesi ya madai Mahakama Kuu-Ardhi atakuwa ndani ya muda kukata rufaa kwenda Mahakama ya Rufaa.
Swali langu linajengwa na case...
Katika kuajiriwa kwangu nimekutana na mengi magumu kupitia Manager niliyenaye kama miaka Saba hivi sasa ktk hii Kampuni.
Huyu manager alinipandisha daraja mwaka flani na kilichotakiwa baada ya...
Heshima kwenu wakuu.
Naomba twende moja kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu. Tuchukulie nina rafiki yangu amelala ndani kwangu then ikatokea bahati mbaya akafa akiwa usingizini, sheria inasemaje...
Awali ya yote nimpe pongezi Wakili Msomi Mathias Nkingwa aliyemtetea na kumpa ushindi mjibu rufaa katika rufaa hii.
Ipo dhana kwamba kuacha Wosia ni kujichulia, jambo ambalo halina ukweli wowote...
Wakili wa kujitegemea Jebra Kambole amefungua kesi mahakama kupinga ulazima wa hukumu ya kifo kwa watu wanaofanya makosa husika mfano kuua kwa kukusudia. Hoja ya Jebra Kambole ni kwanini iwe...
Niko 'frustrated' naomba mniwie radhi kama uandishi na mpangilio wa hoja yangu utashindwa kueleweka kwenu.
Ni hivi,
Mimi pamoja na kaka yangu mkubwa tumbo moja na baba tulikuwa tukiishi vizuri...
On 28th May, 2020, His Lordship Mlyambina in the case of *Judith Patrick Kyamba Vs Tunsume Mwimbe, Probate and Administration Cause No. 5 of 2016* held that a child born out of wedlock is entitled...
Katika kesi inayonikabili baada ya kuendelea hapa mahakama ya mwanzo. Kufikia upande wa shahidi wa utetezi yaani mimi kama mtuhumiwa.
Mbele ya hakimu nlisema ninao mashahidi 2, ambao ni mtu...
Nina ndugu yangu alikuwa na kesi alishitakiwa kwa wizi wa matunda toka shambani. Aliyemshtaki ni mvamizi katika shamba hilo. Huyu ndugu yangu alikuwa anachunga matunda yake. Mvamizi huyu wa shamba...
Nahitaji kujua kwenye sheria kama ukikutana na mtu anataka kujiua na ukamuacha ajiue bila kufanya chochote unakua na makosa kisheria???na adhabu yake ni ipi!?
Habari za ijumaa wandugu,
Naomba nisiwachoshe Kuna Jambo nataka kujua au niseme nifate utaratibu gani! Miaka Kama mitano niliajiriwa na kampuni binafsi nikajiunga PPF, baada ya miaka mitano Nika...
wadau wa sheria ya mahusiano,ustawi jamii n.k kama kichwa kinavojieleza..endapo mwanamke wako anatengeneza visa ili muachane bila sababu ya msingi...yaaani hataki kuishi na wewe.na mlikuwa pamoja...
Jana nilikuwa nasafiri kutoka Dar kwenda Moro njiani maeneo ya karibia na Moro kwenye ofisi za TAFORI nilikamatwa na trafiki akaniambia nilizidisha speed maeneo ya Kingulwira na kuna askari...
Tafadhali Wadau naomba msaada katika hili. Je, ni lazima kujiunga na mfuko wa hifadhi ya jamii NSSF? na kama si lazima Nawezaje kujitoa pasipo kujiunga na mfuko mwingine wowote ule?
Jana mkuu kasema hatatekeleza adhabu ya kunyongwa kwa watu walopewa hukumu hiyo, sasa nashauri sheria hii ifutwe badala ya kila anayekuja kuipotezea... ugumu uko wapi kuifuta sheria hii?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.