Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

JF Prefixes:

"Usimamizi Bora wa Mirathi kwa Maendeleo ya Familia". Hiyo hapo juu ni kauli mbiu ya mwaka huu tunapoianza wiki ya msaada wa kisheria inayoanza leo tarehe 12-18 Novemba. Nakaribisha maswali...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Nilikuwa muajiriwa kwenye kampuni ya vodacom, chini ya recruiting agency Erolink toka 2016 mpaka march 2017. Toka kipindi hicho Erolink hakuwahi kuweka pesa kwenye mfuko wa pension licha ya...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
MGAWANYO WA WABUNGE WANAWAKE WA VITI MAALUM KATIKA JICHO LA SHERIA. Kabla ya Chama cha Siasa kupewa mgao wake wa wabunge wanawake wa Viti Maalum lazima kitimize masharti yafuatayo; (1) Lazima...
7 Reactions
16 Replies
3K Views
MWANAMKE MPUMBAVU NA MWANAMME MJINGA ASIYEJUA SHERIA ZA NDOA YA TANZANIA. Utajuaje kuwa Ndoa yako imeshavunjika Kisheria bila kwenda Mahakamani? Na ukawa huru kuoa au kuolewa. Nifuatilie Don...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Nitatoa story kwa ufupi ilivyokua, nilimkopea mtu pesa kwenye kikundi zaidi ya milioni kumi, baadae akakimbia na ndugu zake wakaahidi kulipa kwa kusema kuwa Mimi nilipe huko kikundini then wao...
4 Reactions
41 Replies
4K Views
wakuu heshima kwenu.nilikuwa naomba msaada wenu kwa hili. nilikuwa nataka kuagiza mashine ya kuprogram immobilizer lakini mm nilikuwa sina kadi wala acount ya paypal bali kuna mdau ambaye ni...
1 Reactions
39 Replies
5K Views
Wakuu habari zenu naiman mko wazima, nilikuwa naomba kujua kwa Tanzania ni kosa kisheria kutumia vpn maana nimeona ili swala likizungumziwa kidogo na uku mtaan watu kutishana kwa wale wanaotumia...
1 Reactions
26 Replies
8K Views
kuna kampuni ilidhanini kusoma kwa makubaliano kuwa nikimaliza kusoma watanirudishia gharama zote- mkataba upo.baada yakumaliza wameomba recepts ili warudishe. Nimetuma recepts za ada niliolipa...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Habari wanajamvi, Naomba msaada wa kujua adhabu ya mtu anayoweza kuadhibiwa pindi ashikwapo na BANGI keti 11.kuna ndugu yangu kashikwa na hizo keti 11 za bangi.
1 Reactions
22 Replies
5K Views
naomba nifike moja kwa moja kwenye mada. naomba kufahamishwa kama kuna sheria inaweza kunisaidia katika kupata madai(malipo) yangu. kuna sehemu nilifanya kazi toka tarehe 15 mpka tarehe 30 ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwanza niombe Mimi sio mwandishi mzuri endapo nikikosea uwandishi mtanisamehe. Baba ulikuwa na mahusiano na mama hakumuowa badae nikazaliwa mimi nikalelewa na mama nilipokuwa mkubwa nilitaka...
5 Reactions
215 Replies
14K Views
Wadau naamini kampuni za simu zitafidia vifurushi vyetu vilivyo kwisha bila kutumika ipasavyo baada ya mitandao ya kijamii kuzimwa ambapo ndio hutumia asilimia kubwa ya matumizi ya vifurushi data
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Leo tarehe 28.10.2020 Airtel kwa kupitia huduma yao ya Airtel Money wamenisababishia usumbufu mkubwa sana, fedheha na kudharaulika kwa hali ya juu. Nilikuwa nimeenda shambani Bagamoyo kupiga kura...
3 Reactions
15 Replies
3K Views
Nataka niishtaki bank imetoa pesa zangu zote (dola 50,000) tokea mwaka 2017 bila idhini yangu na nimechukua bank statement kweli inaonesha pesa ilitolewa toka 2017. Vipi hapo kwa wataalamu wa...
1 Reactions
91 Replies
8K Views
Ninatanguliza heshima na shukurani. Kwa mtu aliyeolewa Tanzania kwa zaidi ya miaka 10 na kuwa na watoto na mumewe, ikiwa hajafanya taratibu za uraia anaweza kupata cheti cha msamaha wa kibali cha...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari zenu wanajamvi. Naulizia ili kufahamu kwa niaba ya rafiki yangu. Rafiki yangu alikuwa ni mfanyakazi wa kampuni fulani hapa jijini Dar es Salaam na alikuwa akifanya kazi na hiyo kampuni...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
IJUMAA, NOVEMBA 02, 2012 11:19 NA KULWA MZEE, DAR ES SALAAM *Afikishwa mahakamani saa 11 alfajiri *Mahakama yazingirwa na farasi, mbwa *Mashine za usalama zafungwa mahakamani AMINI usiamini...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
POLISI HAWARUHUSIWI KUCHUKUA KESI ZA KUDAIANA HELA. Na Bashir Yakub. +255784482959. Yapo mambo tunatakiwa kuyazungumza mara kwa mara ili watu wayaelewe. Moja ya mambo hayo ni hili la watu...
9 Reactions
14 Replies
7K Views
Habari za muda huu wakuu, Katika mihangaiko ya maisha na katika, harakati za kudai Haki yangu, nimejikuta nikitishiwa kuuwawa, lakini tatizo kuu! hakuna ushahidi wowote. Je, kuna hatua gani za...
4 Reactions
17 Replies
1K Views
Back
Top Bottom