Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Habari za sasa ndugu zangu mimi sio mgeni ila ni mara ya kwanza kuandika katika jukwaa la Sheria.
Naomba msaada wa kisheria kwa kilichonikuta mwenzenu, hapa nilipopanga kuna mita ya maji...
Habari wakuu..kuna sehem nimepita nimekuta mwanamke ana lalamika kuwa ameachana na mume wake mwaka 2016. Anadai hakudai Mali kabisa ila kwasasa anataka aanze mchakato wa kudai Mali ili apate...
Watu wenye Akili Za Uji wakisoma kichwa cha Habari Akili zao zinawaza ni MATAGA Huyu. Angalia Rekodi zangu kwanza. Lissu anapaka Kivyesi Siasa Za Upinzani Nchini lazima TUSEMA ili UPINZANI nchini...
Wadau nina document (kadi ya gari) nataka niicertify copy yake kama true copy of original. Nilitaka kujua naweza kufanya hivyo pia mahakamani au?
Ninatakiwa niende na vitu gani ili kukamilisha...
Msaada tafadhali kwa wataalamu wa sheria,
Nina rafiki yangu mzee wake (baba mzazi) amefariki mwaka Jana. Kwa sasa yeye anaishi Dar Ila kuna ndugu zake (sio wa kuzaliwa) aliwaacha wanaishi kwenye...
Hii ni Shule ya Muhimu sana katika Sekta ya Sheria. Hata hivyo, Shule hii haijawahi kupewa Umuhimu unaostahili katika Jukwaa hili. Ni katika muktadha huo, kumeonekana umuhimu wa Shule hii kupata...
Poleni na majukumu wataalam, naombeni msaada kidogo katika hili jambo...
Miaka ya nyuma kidogo au naweza nikasema ni late 80`s nilifanikiwa kukabidhiwa ardhi na baba angu mkwe ambae mimi nilioa...
Wakuu, kama kichwa cha habari kinavyojieleza, huku mtandaoni naweza kupata katiba ambayo ipo updated?
Naomba kama kuna mtu anajua anijuze au kama ana softcopy(pdf) pia nitashukuru.
Naomba...
Kuna mtu alionekana anazurura eneo langu la mradi wa mifugo, usiku wa siku hiyo nimeibiwa. Kuna mashahidi waliomuona mtu huyo. Je hiyo inatosha kumtia mhusika hatiani? Karibuni wanasheria
Kumekuwa na Utaratibu wa watumishi wa Umma kuhamishwa bila kulipwa stahili zao. Hivi hakuna Sheria inayomlinda Mtumishi kama huyu? Nakumbuka Rais aliwahi kutamka jukwaani kuwa Mtumishi asihame...
Habari za asubui,
Wakuu wa jukwaa, naomba niwasilishe kwa ushauri au hatua zipi niweze kufata zidi ya hi campuni. Niliajiriwa kwenye campuni flani binafsi,mwaka 2018 mwezi wa kumi na moja, mwezi...
Habar wana Forum,
Naomba msaada wa kufaham utaratibu mzima wa mkataba wa kudum.
Hasa pale unapohitaj kujua haki zako za msingi.
Nitashukuru nikipata msaada wenu maana sie wengine hatuna ujuzi...
Niweke haya bayana kua mimi sio mfuasi wa chama chochote hapa nchini.
Taifa letu bado ni changa na ambalo ndio limeanza kukua kiuchumi kwa speed ya namna yake, huku bado bajeti yetu kwa zaidi ya...
Naomba mwenye sofy copy au hata hard copy ya sheria hii anisaidie.
Local Government (Urban Authorities) (Development Control) Regulations, 2008 (the Regulations) made under Cap. 288
Habarini wa wakati huu wakuu,
Mimi ni mwanasheria hapa Dodoma. Kwa miaka kadhaa niliyofanya kazi hii ya sheria kwa vitendo, nimekutana na wateja wengi hasa masikini, wasiokuwa na uelewa kabisa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.