Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Habarini,
Napenda kujua ni kwa namna gani mtuhumiwa anatakiwa kukamatwa kisheria? Na mkamataji ana wajibu wa kufanya nini kwanza kwa mtuhumiwa kabla ya kumkamata?
Habari wa taalamu, Regulation iliyotolewa na TCRA kuhusu uhitaji wa leseni ya maudhui mtandaoni imesema ni kwa wale wanaotoa Predominant Content, ambayo si chini ya 85% kwa wiki. Hii ina maana...
Mimi ni mhamiaji hapa Mbeya! Nimepapenda na ningependa kujenga japo kajumba kakuishi ila tatizo ni viwanja vya kupimwa bado ni tatizo! Ninafikiria kununua shamba halafu baada ya kukamilisha...
Baba, Mama, na watoto wao wawili mapacha walioteketea kwa moto huko Kilimanjaro.
Hivi, katika mazingira ambako mabaki ya mtu aliyekufa hayawezi kupata huduma za mazishi zinazotolewa na dini za...
Habari za wakati wakuu.
Naomba kujua ni ndani ya siku ngapi unaruhusiwa kukata rufaa kwa kesi ya madai iliyosikilizwa katika mahakama ya Wilaya kwenda mahakama kuu ili nisiwe nje ya muda...
Habari ndugu zangu!kutokana na makao makuu ya jiji la Dodoma kuendelea kuendelezwa na serikali ya awamu ya tano kwa kuhakikisha maeneo yote yaliyopo ndani ya jiji la Dodoma yanatambulika na...
Wanasheria naomba msaada wenu. Kesi ikishaamuliwa, na aliyeshindwa Kesi, alikiri kosa tangu mwanzo na hakukata rufaa.
1. Je, Kesi hiyo yaweza kufanyiwa review na mahakama ya juu zaidi ? Kwa...
Habarini wana jamvi. Nimeamua kuja hapa kuomba ushauri kwa hili swala. Nimeona nije kwa watu wasionifahamu ili kuondoa "conflict of interest"
Straight kwenye mada, kuna biashara nimekua nikifanya...
Ikiwa mwenyekiti wa kitongoji hawajibiki ipasavyo katika kutimiza wajibu wake katika maendeleo ya kijiji. Je, mwenyekiti wa kijiji aumtendaji wa kijiji kumnyang'anya mhuri ni kosa na kama ni kosa...
Kuna rafiki yangu tunaishi nae Kibamba, ni mfanya biashara wa kununua mashamba na kuuza. Hivi karibuni aliingia kwy matatizo baada ya kununua eneo akaamua kulikatakata viwanja, aliuza viwanja kwa...
Nilitamani mwanangu ajiunge na law School of Tanzania mwaka huu januari au June.
Cha kushangaza Ni kuwa intake zote zimeshajaa. Je waliomba lini?
Ina maana aliyehitimu 2020 nakupata cheti chake...
Niende moja kwa moja kwenye maada
Nilikuwa naangalia jinsi mama, dada, shangazi zetu wanavyotelekezwa na wanaume kuhama miji na kwenda kuoa tena wake wengine. Pia hao wake wengine bila kujua...
Wakati mwenye shida na uhitaji akiniuliza maswali mbalimbali ya ufahamu wa sheria ningependa tujadili;
1) Kati ya sheria na makosa, ni kipi kilitangulia?
2)Unadhani Tanzania sheria kuna heshima...