Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
BAADHI YA MASWALI YALIYOULIZWA
Salamu wakuu, naona weekend nayo inasogea taratibu.
Nimewaza tu hapa. Kumekuwa na fedha nyingi sana inayotolewa mahakamani na watuhumiwa mbalimbali kuhusu kesi...
"Kwa nini hela zangu zitungiwe sheria za ajabu?" Amesikika mdau mmoja aliyeachishwa kazi na bahati mbaya kupata ajira nyingine imekuwa ngumu kwake.
Alipofuatilia mafao yake NSSF kaelezwa akae...
Wakuu habari zenu.
Ndugu zangu me niko Arusha mitaa ya Njiro Nanenane hapa kwenye kijiwe changu ninapofanyia biasha ndo inafanyika mikutano ya kampen juzi alikuja Mrisho Gambo Kufanya kampeni...
Kwa mujibu wa kifungu cha 25 cha Sheria ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa ya mwaka 2007(PCCB Act, 2007); Rushwa ya ngono ni pale ambapo mtu aliye katika mamlaka na katika kutekeleza mamlaka yake...
Mimi kijana mpambanaji nimekuwa kwa muda mrefu nikifanya mishe zangu na biashara ndogo ndogo.
Kama mwenzi moja kuna dada moja ni rafiki yangu sana yule dada kwa bahati mbaya alikutana na wale...
Habari wadau,kumekuwepo taarifa kua mkataba wa kisheria ukiwa na dosari unakosa uhalali wengine wanadai unaweza kua na dosari lakini bado uko sahihi je hili likoje?
Nataka kununua kiwanja kwa Hawa Ma-Agent Wa kuuza Viwanja na Mashamba na kuna Marafiki zangu kama wawili hivi wameshanunua viwanja kwao, Kwa Upande wangu kiwanja ambacho wanataka kuniuzia kwa...
Hujambo ndugu yangu, kwa almost two weeks nimekuwa nikisoma katiba za baadhi ya mataifa ya kiafrika nilianzia ya Mauritius nikaenda Angola, nikaenda Cameroon, nikaja kwa Wahabeshi nikashukia kwa...
Heshima kwenu wakuu.
Ipo hivi nina jirani yangu mwanae anasoma shule fulani hapa jijini Dar es Salaam pale eneo la Temboni-Ubungo. Ni shule ya sekondari ipo chini ya umiliki wa serikali. Wiki...
Ndugu wadau wa sheria nmekuwa na kesi ya madai, mimi nikiwa mdai. Miezi 6 iliyopita nilitafuta fundi welding nikampa kazi na pesa jumla tsh 1,200,000 ili anitengenezee fens za kuweka juu ya ukuta...
Miaka 3 iliyopita nilipata ufadhili wa kusomeshwa huko Ulaya! Kabla sijaenda mwajiri alinitaka nimsainie mkataba kuwa nitakaporejea nitamtumikia kwa miaka mitatu kabla ya kuniruhusu nifanye mambo...
nimejaribu kufuatilia hii kesi ya wakenya huko ICC na nimeshtushwa sana mijadala inayoendelea. ukilinganisha na awamu ya kwanza, hii defense team ya sasa inaonekana kuimarika sana. mfano kuna...
Mimi naitwa Gidion, nipo Iringa. Leo Kuna tukio limetokea nyumbani kwetu ambapo kijana mmoja alivamia nyumbani.
Katika uvamizi huo alimpiga na jiwe kubwa mzee wangu kifuani hali iliyopelekea mzee...
Habarini waheshimiwa,
X alianza kutoa lugha za matusi kwa Y kupitia simu yake ya mkononi pasipo Y kutambua X ni nani,Y alimuonya juu ya matusi yake, baadae Y uvumilivu ulimshinda nayeye akatumia...
Heshima yenu wakuu, niendee kwenye mada.
Vyomba vyetu vya kutoa haki vimekuwa na changamoto nyingi katika kutekeleza haki hususani kwenye kesi zinazohusisha pesa.
Pia mahakama zimekuwa na...
Sheria ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (2008), inaelekeza kuwa, ni kosa na ni kinyume cha Sheria kwa mfuko wowote wa Pensheni kuandikisha wanachama waliokwisha andikishwa na...