Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

JF Prefixes:

Nilinunua kiwanja kutoka kwa mmiliki wa awali ila mikataba ya mauziano nilifanya na ndugu yake katika Serikali ya Mtaa. Hii ilikuwa ni baada ya kudhibitisha yeye mwenyewe kwa njia ya simu mbele ya...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Huku mitaani kuna mjadala mkubwa sana kuhusu Dr. Louis Shika kuvuruga mnada ule wa Nyumba za Lugumi kama ametenda kosa la jinai ama la! Kuna watu wanadai kuwa Dr. Louis Shika hajafanya kosa lolote...
2 Reactions
8 Replies
3K Views
Habari zenu ,nilikuwa naombeni ushauri juu ya kibadilisha jina la kwanza kwani jina hilo limetumika kwenye cheti cha kuzaliwa na nimesomea nalo shule ya msingi pamoja na sekondar japo kuwa matokeo...
1 Reactions
2 Replies
916 Views
Nadhani wanasheria wa mahakama zetu hufanya kazi ya ziada kusoma na kuzielewa sheria za Tanzania kwani nyingi zimeandikwa kwa kiingereza kibovuambacho kinaweza kuharibu maana ya sheria yote...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Mtuhumiwa wangu hakuwasili mahakamani bila kutoa taarifa ya kuto kuja mahakamani, siku ya kusikilizwa kesi na kuja na mashahidi. Tarehe Y nimeambiwa nirudi mahakaman, kwa kutolewa order ya...
1 Reactions
4 Replies
633 Views
Wakuu naomba kuuliza, Hivi inapotokea mtuhumiwa kutofika Mahakamani bila kutoa taarifa kwa Mahakama, siku ambayo mahakama iliamuru mlalamikaji kuja na mashahidi mahakamani. Je, Mahakama huwa...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Nipo na jirani yangu ambaye ndio kajenga ukuta unaotenganisha nyumba zetu, napenda kujua je nina haki yoyote juu ya ukuta huu kwa upande wa nyumba yangu? Jirani yangu ananitishia kunishitaki...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Kuna kijana ambaye nilimpatia pikipiki kwa makubaliano ya kuleta shilingi elfu 10 ndani ya miezi 11 kisha akimaliza hapo pikipiki itakuwa rasmi ni mali yake, lakini imekuwa tofauti kama mkataba...
2 Reactions
6 Replies
3K Views
Kwenye video zinazosambaa mitandaoni zikiwaonyesha vijana wa Wilaya ya Hai wakifanya fujo, pamoja na makosa mengine ya jinai, "kufanya fujo na kuharibu mali", wamesikika wakisema hawataruhusu mtu...
11 Reactions
18 Replies
2K Views
Kuna wanao fikiri kuwa kubaka ni kubaka tu hata kama aliyebaka kamuabukiza virusi aliyembaka, lakini pale mtu anapo ambukiza virusi huwa na makosa mawili. Kubaka na kuambukiza virusi vya UKIMWI...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Wakuu pole na shughuli Naomba maana ya petition, motion na questions kwenye utungaji wa sheria. Asante.
0 Reactions
0 Replies
652 Views
Wanasheria naomba mpitie kesi hii, Kwa kifupi appellant ali raise concern on the pecuniary jurisdiction of the primary court. Mahakama ya rufaa ilikubali kuwa jurisdiction can be raised at any...
1 Reactions
0 Replies
724 Views
Naomba anayeweza kupata kesi hii anisaidie tafadhali 1. James Ibambasi vs joseph Siriya Mosha (1999) TLR 364 2. Rajabu Joka vs mmanuel A Kulola , Land appeal No. 24/2015 High court of...
1 Reactions
0 Replies
964 Views
Wataalamu naomba msaada wenu, kuna Ardhi nataka kununua, muuzaji tayari alishalipia kwaajili ya upimaji na usajili lakini wapimaji bado hawajafika kwa ajili ya upimaji, je ni namna gani bora ya...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari zenu wananchi, Tuna mpangaji ana mwezi wa sita hajalipa kodi na ni mwalimu anafundisha shule za Serikali, tumeazimia kumuamisha na tunataka kupata stahiki yetu tunafanyaje? Naombeni msaada
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu? Nina dada yangu alizaa watoto wawili na mwanaume wa nchi fulani ya jirani hapa Africa na walifunga ndoa halali. Lakini badae wakaja kutengana na watoto akabaki nao mama yao...
0 Reactions
26 Replies
2K Views
Wanakijiji walishinda kesi hiyo baada ya mahakama kujilizisha pasi na shaka kuwa walikuwa wanalima maeneo ambayo hayana katazo la kutolima. Jumuiya hiyo ya HIFADHI ilikuwa imewashitaki wanakijiji...
0 Reactions
1 Replies
860 Views
By Edson Kilatu- esq The fundamental role of the court is administration of justice, it is on that perspective it is usually referred to as court of justice as opposed to court of law Article...
4 Reactions
0 Replies
1K Views
Habarini, Nimefikiria sana jinsi watu wanavyoteseka kwa kukosa dhamana wakiwa polisi na mahabusu na pia wafungwa waliofungwa kwa kuonewa au wanaocheleweshewa kesi zao pasipo sababu za msingi...
4 Reactions
2 Replies
897 Views
Habari za majukumu wakubwa na wadogo. Kichwa cha habari chahusika. Ilikua siku ya Jumamosi mnamo saa 11 za jioni nimetoka na familia yangu nyumbani kuelekea kwenye sikukuu adhim. Kwa bahati...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…