Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

JF Prefixes:

Nina maswali 2 hapa. 1. Kwa mfano siku ya kwenda mahakamani imefika, imetokea mshtakiwa wako amefika alafu wewe mshtaki hujafika hiyo siku, mahakama huwa inatoa tamka gani, au nini kitafuata? Au...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Jamani mimi mwenzenu ndio naenda kuanza maisha leo. Kuna sehemu naenda kulipa kodi ya miezi mitatu ila hiyo sehemu nilishaichukua miezi mitatu iliyo pita sema sikuhamia Sasa mfano kodi nililipa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ndugu wadau naomba kujua ikiwa unafanya mapenzi na binti aliye chini ya umri wa miaka 18 kwa hiyari yake na tayari alishazaa huko nyuma kuwa ni kosa kisheria au La, na kama ni kosa adhabu ni ipi?
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Je, iwapo mtumishi wa Serikali akafariki mshahara wake utaendelea kuingia au lah. Iwapo alikuwa akiishi kwenye nyumba ya Serikali, utaratibu gani unatumika kuiondoa familia yake kwenye nyumba ya...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Hakuna haki za Kutetea Wanaume maana kuna wengine wanapigwa na kuteswa na wake zao hii Imekaaje kwa wataalam wa Sheria?
0 Reactions
2 Replies
792 Views
By any stretch of imagination, kesi hii huwezi kuiweka katika kundi la Vexatious, frivolous, scandalous, trivial case kama ilivyoamuliwa mahakama zetu. (kuna hukumu moja imesema hivyo). Issues...
0 Reactions
3 Replies
647 Views
Hii ni nyaraka (document) maalumu inayotumika kubadili au kurekebisha majina katika nyaraka mbalimbali. Nyaraka hii ni kiapo cha kubadili jina, ambapo mwombaji katika nyaraka hii husema wazi...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
I, Don Nalimison (Don Mtoto wa Nalimi) formerly known as Deogratius Nalimi Kisandu, I became as Nelson Mandela without knowing when I was a Convict at Kitengule Farm Prison-Kyaka,Kagera where I...
7 Reactions
24 Replies
3K Views
EWE MJASIRIAMALI, HATUA ZA KUUNDA KAMPUNI HIZI HAPA, MILIKI KAMPUNI SASA. Na Mwanasheria Wetu. STEP 1; chagua jina. Kampuni lazima iwe na jina linalotambulika na linalojitofautisha na majina...
12 Reactions
24 Replies
19K Views
Wakuu salaam, Naona hatari ya sheria mbele yangu inanikalibia kutokana na mambo kadhaa ambayo nimeyapitia kazini. Naomba kufahamishwa jinsi gani naweza kuwa na mwanasheria mapema ili kama hali...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
UTARATIBU MZURI WA KISHERIA WA KUNUNUA ARDHI KUEPUKA MIGOGORO NA UTAPELI. Na Bashir Yakub. +255 784 482 959. Tunazo aina kuu mbili za ardhi. Tunayo ardhi iliyosajiliwa na ardhi ambayo...
9 Reactions
16 Replies
16K Views
Habari za usiku. Mimi ni mtumishi katika taasisi moja na nimetumikia kwa kipindi cha miaka minne mpaka Sasa . Changamoto inayonitokea ni kuwa huu ni mwezi wa sita sijalipwa mishahara yangu ...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Naomba kujua sheria zinasemaje, Kuna uchunguzi wa polisi ulifanyika, baada ya malalamiko. Jalada likaenda kwa DPP ofisi ya Wilaya husika ambaye akaagiza, mtuhumiwa ambaye ni Mbunge ahojiwe na...
0 Reactions
0 Replies
969 Views
Ndugu wanajukwa natumaini muwazima? Naleta maada kwenu kama wataalamu. mada hii sijaipeleka jukwaa la elimu kwa sababu najua jukwaa hili kunawajuzi na wataalamu waliobobea. Mimi ni mwalimu...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Just a reminder Kwa wale mnaofunga ndoa na mkabahatika siku ile ya harusi yenu (sherehe) ukumbini kama mtapewa zawadi ya Kiwanja au Nyumba na mtu yoyote yule, tafadhalini sana kumbukeni kuchukua...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Natarajia kuwa na YouTube Chanel itakayokua ni Chanel ya habari na uchambuzi wa habari. Habari hizi nitakua nazitafuta mwenyewe kwa njia maalumu, Mfano wa njia zangu za kupata habari ni pamoja...
0 Reactions
1 Replies
862 Views
Yaani kwa mfano mtu kama wakili@kibatala nguli wa sheria (mwanasheia )au RUMANYIKA afanye kosa ambalo atapandishwa mahakamani au mwanasheria yule hivi nao labda washtakiwe je? Nao huwa wanakuwa...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Habari za mchana mawakili wasomi na wadau wengine katika fani ya sheria. Naombeni msaada wa ufafanuzi ni ipi proper citation ya high court kati ya hizi: (a) in the high court of the united...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kuomba msaada wa kujua Jambo naamini si ujinga. Kwenye katiba kuna kitu kinaitwa ibara na sheria ndogo za mwaka Fulani. 1: Ibara Ni Nini? Na ibara za katiba zinapatikana wapi? >>Ibara ndogo Ni...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wadau naomben msaada, nina shida ya microfinance act of 2018. Ambayo inaweza tofautisha saccoss from microfinance institutions Ama BoT act ya 2008/2013 Naombeni msaada
0 Reactions
2 Replies
736 Views
Back
Top Bottom