Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

JF Prefixes:

Jina langu la mwisho katika cheti cha kuzaliwa na cha form form nitofauti. Je, naweza rekebisha jina la mwisho katika cheti cha form four lifanane nala cheti cha kuzaliwa? Msaada wenu tafadhali.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Samahani wanasheria wasomii, napenda kujua kuhusu sheria ya umiliki wa ardhi serikali la mitaaa, kwani tumekuwa tukiteswa na migambo na vuobgozi wa maendeleo kuhusu uharibifu wa mazibgira ,hata...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Naomba kujua namna ya kubadilisha saini iliyopo kwenye taarifa zangu za kibenki kwani sasa natumia saini nyingine kazini. Ile ya benki Ni kabla ya kuajiriwa.
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Jamani naomba ufafanuzi wa kisheria kuhusiana na hii mada Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Naombeni utaratibu wa Warangi, Wabondei, Wasambaa, Wachaga au Makabila mengine yanayo fanania kwa anaye fahamu kuhusu KUMKOMBOA mtoto aliye zaliwa na baba mwingine. Mfano nimeoa mke ambaye ana...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Hivi kama jina la cheti cha kuzaliwa na cheti cha Form Four yana utofauti katika jina la mwisho kunauwezekano wa kurekebisha jina la mwisho katika cheti cha Form Four ili lifanane na lile la cheti...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Mara ya mwisho nilifanya hivi ilikua mwaka jana na wengi niliwasaidia bure tu, lakini hawakushukuru au wengine kuleta mrejesho. Naam wakili nipo likizo toka hapa kijijini nilipo so naimani naweza...
3 Reactions
183 Replies
24K Views
Iko hivi, ndoa ni mkataba kati ya mke na mume, na mkataba huo una masharti mengi ikiwemo haki ya tendo la ndoa, sasa inapotokea mwanandoa ananyimwa haki hii moja kwa moja mkataba unakuwa umevunjwa...
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Nikwamue kwenye tuta jamani... Hapa kuna ndugu yangu, mtoto wake anayesoma darasa la saba kabakwa na kijana wa jirani yake na kumrubuni msichana kisha wakampeleka kwao. Baba mzazi wa msichana...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari zenu! Naomba mwenye ufahamu juu ya gharama mpya za kuweka namba binafsi kwenye magari, yaani kuwa na plate number yenye jina la mtu; pasipo kutumia hizo A-B-C-D zao! Nataka gharama ya...
2 Reactions
15 Replies
10K Views
MAWAKILI WA VITI MAALUMU MAAJABU KIDOGO: 1. Unafuta BAR EXAM kwa Wanasheria kupitia kuelekea kupokelewa katika orodha ya MAWAKILI wa Tanzania. 2. Unaanzisha LAW SCHOOL OF TANZANIA kwa ajili ya...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Mimi ni muajiriwa Serikalini. Nilikopa kwa watu wanaotoa riba alafu yeye anabaki na kadi yako ya benki mshahara ukiingia anachukua. Tulienda nao vizuri baadaye Mambo yaka ingiliana uwezekano wa...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Ndugu wapendwa, Niligombana na mke wangu, kwa shinikizo la wazazi wake akanipeleka polisi na kufungua kesi ya jinai kuwa nimempiga so nikawekwa mahabusu na kutoka kwa dhamana. Baada ya ushauri...
1 Reactions
47 Replies
6K Views
Habari wanaJF, Naomba ufafanuzi juu ya sheria hii Mimi ni binti ambaye nipo kwenye mahusiano na mwanaume ambaye alishaoa toka mwaka 2015 kwa ndoa ya kikristo na toka nipo naye kwenye mahusiano...
6 Reactions
49 Replies
6K Views
Aircraft leases typically include standard representations and warranties regarding: (i) the power and authority of the lessee to enter into the agreement and the transactions contemplated by the...
0 Reactions
0 Replies
619 Views
Tangia mashule na vyuo yafungwe kwa dharura ya ugojwa wa CORONA , kuna baadhi ya shule binafsi yaani PRIVATE wafanyakazi wake walimu na wasio walimu wamefungiwa mishahara yaani hawalipwi na wakati...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari wakuu Samahani naomba wenye idea na huu utaratibu wa PSSSF wanisaidie kunielewesha kama kweli hichi kitu kipo Mimi niliwahi kuajiriwa Serikalini baada ya miaka miwili na nusu ya kudumu...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Habari za majukumu ya kila siku, Kwa wenye ujuzi wa sheria naomba kujua hili jambo, nini haki ya mwenza aliyemshika ugoni (kumfumania) mwenzawake (Mke au Mume). Maana nimesikia kuwa ugoni sio...
1 Reactions
5 Replies
5K Views
Hivi ni kweli kupata maternity leave ni lazima mtu awe kamaliza miaka mitatu kazini? Sheria zinasemaje? Maaana wife ameenda kuomba ruhusa kanyimwa na ana two years kwenye utumishi wa umma...
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Back
Top Bottom