Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Mimi nafanya kazi hotel za kitalii porini Serengeti nahitaji kuacha kazi ili kujiajiri mwenyewe ila sijui jinsi ya kukokotoa masaa ya ziada; annual leave na siku za holiday saraly ni mia 300 kwa...
Habari za mchana wote!
Kuna kaka yangu mmoja tunaheshimiana sana naye , Ana mke wake sasa ndoa imemshinda anataka kumchukua mtoto kutokana na kwamba Hana mahusiano mazuri na huyu mke mke anaishi...
Nauliza kama Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) wanayo nguvu ya kisheria kuwataka Clouds FM kurudisha vipindi vyao? Au sheria inasemaje endapo chombo cha habari kwa matakwa yao kuamuwa kuondoa...
Habari zenu wanaJf,
Mimi naomba kuuliza swali kama CMA ya DAR wameanza kusikiliza. Mashauri kwa sababu yaliahirishwa tangu tarehe 14/4.
Naomba majibu kama wameanza kusikiliza mashauri.
I was born in Tanzania from both Tanzanian parents but when I was around 10years, a family member took me to study in kenya.we crossed the boarder illegally may be he bribed the officials at the...
Juzi kwenye maadhimisho ya siku ya sheria, Mh. Rais pamoja na mambo mengine alizungumzia matatizo ya Mabaraza ya Ardhi na Nyumba (ya Wilaya) na baadaye akatoa rai kwa Jaji Mkuu kutazama namna...
Habari wakuu. Poleni na majukumu.
Kuna rafiki yangu ametumika kama mzamini wa mtu fulani ambae alikopa kwenye hizi Microfinance Institute na huyo aliyekopa amekimbia, sasa burden ya kulipa deni...
Habari za usiku huu wadau, nimeandika bandiko hili ili kuomba msaada wa kisheria kwa mtu yeyote yule mwenye uwelewa wa sheria!
Mimi nina mshikaji alinipa pesa tufanye biashara fulani hivi, ile...
Kuna mtu alivamia ardhi yangu, nikashtaki baraza la kata nikashinda, akakata rufaa baraza la wilaya bahati mbaya nilipata dharura kesi nikamuachia jamaa yangu atafute wakili aniwakilishe, kumbe...
Nimeitafuta kwenye TANZLII lakini some pages are missing. Kama kuna mwenye complete judgment tafadhali anitumie inbox. Nitashukuru sana.
IN THE COURT OF APPEAL...
Wanasheria nataka tuangalie uwezekano wa Waziri wa Afya kushitakiwa kwa uzembe wake na kushindwa kuwajibika kwa Watanzania.
Najuwa bosi wake anayo Kinga Kikatiba ila yeye hana kinga hivi hakuna...
Sheria inasemaje kama mgonjwa amechati na muuzaji za dawa za asili (hawa wa jamii ya forever living, lakini sio forever living) lakini huyo muuzaji wa dawa akawa anaweka zile charting katika...
Tuanze kwa kubadili lugha kwanza, iko hivi; Lawyer ni mwanasheria, Advocate ni wakili.
Tuanzie hapa sasa:
Kila Wakili ni Mwanasheria, ila sio kila Mwanasheria ni Wakili
Kimsingi, mtu yeyote...
Samahani wakuu na poleni kwa majukumu mliyopewa na mkuu wa nchi ya kujitahidi kujifukiza ili kumuondoa huyo jamaa COVID-19
Moja kwa moja niende kwenye swali langu ambalo nahitaji nikipata majibu...
MAANA YA DHANA YA NDOA.
Ni ile hali ya mwanaume na mwanamke kuishi pamoja na kushea kila kitu pamoja huku wakiwa au kupewa hadhi ya mume na mke katika jamii, ambao wameiishi pamoja kwa miaka...
Wakuu kwema?
Wajuzi wa sheria naombeni msaada wenu juu ya hili swala la kupunguzwa kazini.
Naomba msaada, kisheria hivi inapotokea kupunguzwa kazini wafakazi kwa kupewa likizo ya bila malipo...
Habari wadau,
Naomba wataalamu wa sheria mnisaidie nina dukuduku la kufahamu katiba za nchi mbili hizo kwani nilisikia vingi mfano eti UK katiba haijaandikwa nilishangaa mno.
karibuni wadau...
Ni sahihi kupitisha nyaya za umeme juu ya nyumba bila ridhaa ya Mwenye Nyumba? Na Kama ikitokea nyaya zimepita kwenye uwanja wa mtu na baadae akataka kujenga nyumba sehemu hiyo atafanyaje?
Naomba...
Matumizi ya nembo ya Taifa. Je, inafaa kutumiwa na mtanzania yeyote? Mara nyingi nimewahi kusikia kesi za matumizi mabaya ya nembo! Je, kuna matumizi mazuri kwa raia wa kawaida? Mbali na kuziweka...
Habari wadau,
Ni mwaka sasa tangu mzee wangu anunue ardhi kutoka kwa mzee mmoja ambaye alikuwa jirani yetu. Mara tu baada ya kukamilisha hatua zote za manunuzi na nyaraka zote kusainiwa kila kitu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.