Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Natanguliza salamu,
Nimezaa mtoto sasa ana miaka 5, huyu bibie hakunambia kama ameolewa,
kumbe ni Bi mdogo wa jamaa ambaye wamefunga ndoa ya kiislamu. Yaani ni mke wa pili.
Ni story ndefu kidogo...
Habarini za mchana wakuu,
Kama nilivyoandika hapo juu naitaji msaada wa kisheria kuhusu hili bus. Nina ndugu yangu ni mgonjwa kuna dawa huwa anatumia inamsaidia, hii dawa sehemu nilipo kuipata ni...
Habari za Siku ndugu,
Mimi ni miongoni mwa tuliofungua kesi ya kudai kampuni,tuko watu 8,kesi imeishahukumiwa tulipwe na zaid ya miez 6 imepita na hatujalipwa,ila mwanasheria wetu kaandaa KUKAZIA...
Tulikua tunacheza mchezo wa kupeana hela (upatu) wa 500k kila mwezi ila baada ya mizunguko kadhaa kuisha kuna ikafika zamu yangu kupokea ila katika washiri, mshiriki mmoja akaomba atanipa mwezi...
Kodi yangu imeisha na sina pesa ya kulipa na mwenye nyumba anataka nitoe vitu bila hata subira nimekimbia nimeacha vitu. Nitavifuata nikipata sehemu nyingine.
kisheria imekaaje hii?
Sent using...
Viongozi wa Chadema wamesha hukumiwa, Siku hiyo hiyo tulimpoteza Akwilina kwa kupigwa risasi katika mazingira ya kutatanisha. NATAFUTA wakili ili kuisimamia familia ya Akwilina katika kuishtaki...
Habari. Kuna hakimu wa Mahakama ya Mwanzo alitoa hukuma ambayo haipo straight sio clearly hata darasa la saba awwzi kuandika hivyo. Ten hakimu wa Dar.
Baada ya kufanya appeal RM wa district...
The legal fraternity has lost five of it's very own in 24 hours
Augustino Ramadhani CJ RTD
Ali Haji Pandu CJ Zanzibar RTD
Alhaji Musa Kwikima AG J RTD
Evod Herman Mmanda
Gaudiosius Ishengoma...
Habari wana JF,
Naomba msaada wa kisheria kuhusu dhamana. Kuna mtu kakamatwa kwa kosa la kufanya mapenzi na mwanafunzi. Katika mashariti ya dhamana ni kwamba anatakiwa awe na wadhamini wawili...
Wazoefu wa sheria njoni mnisaidie tafsiri, mfano mtu amekopa akabakisha rejesho 2 akaacha kulipa, mwisho wa siku walio mkopesha wakaamua kumpeleka mahakamani, alivyo somewa mashtaka tu akakana...
Habari za majukumu wakuu, natumai tunaendelea kuchukua tahadhari zote ili kujikinga na janga hili la corona.
Ningependa kuelewa sheria inaweza kufanyaje kazi katika jambo hili lililoweza...
Jina kwenye cheti chake cha O Level: Mohamed DAIMA.
Jina kwenye cheti cha A level;
Mohamed DAIMA.
Jina kwenye cheti chake cha LLB
Mohamed DAIMA.
Jina kwenye cheti chake cha Law School...
Ndugu zangu,
Naomba msaada kwa anaeelewa taratibu za kuandikisha watoto mali kisheria. Mimi nina kajumba kangu ila nataka niwaandikishe wanangu wawili. taratibu zipoje? au unachukua tu karatasi...
Salama ndugu zangu,
Naomba ushauri wa kisheria Kwa hili swala,dada yangu ni mama wa watoto 2,wakike na kiume,miaka 6 na 3,alikuwa kwenye uhusiano wa muda mrefu kidogo kama miaka 10+ lakini...
Mengi yanasemwa kuhusiana na Clouds Media na uanzishwaji wa Wasafi Media. Mada yangu haitajikita huko, nimeutoa huo kama mfano tu, tuchukulie tu ule kama mfano wa jambo ambalo lipo sana tu katika...
Wakuu kwema?
Poleni na majukumu.
Tuendelee kuchukua tahadhari na COVID19.
Wakuu naomba kuuliza kama una mkataba wa kazi ulopewa na mwajiri hivi akisema asikulipe mshahara kwa kipindi hiki...
Habari wakuu,
Nahitaji msaada wa sheria.
Kipindi hiki ambacho tunapambana na corona, kampuni imepunguza mishahara pasipo majadiliano na wafanyakazi.
Je, ni sheria ipi inahusika? Wapi tunaweza...
Nimekuwa mteja wa mtandao mmoja wa simu hapa nchini kwa zaidi ya miaka 20 sasa. Licha ya kupata huduma bora katika kipindi chote hicho, hata hivyo hivi karibuni nimekuwa Nikishuhudia wizi wa fedha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.