Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Habari zenu viongozi? mimi ni mzima wa afya.
Hivi kuna malipo yoyote yanatakiwa endapo umeshitakiwa baraza la kata?
maana nimeambiwa nitoe elfu 30,000/= ya nauli.
Naombeni msaada wenu, hili...
Hello wanasheria! ni matumaini yangu mko salama.
Nahitaji msaada wa kisheria kuhusu hili. Mimi ni mwajiriwa katika sekta binafsi. Yani ni mwalimu katika shule ya sekondari katika mkoa fulani...
Katika familia yetu tupo Wanaume wa Nne na Mwanamke Mmoja, kabla Baba hajafariki aligawa mali alizokuwa nazo, (lakini hapa nazungumzia nyumba tuliokuwa tunaishi) sisi wengine tulikuwa bado wadogo...
IJUE SHERIA YA VYAMA VYA SIASA:
Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa ana jukumu la kusimamia chaguzi za ndani za vyama vya siasa na kuhakikisha ziko huru na haki
Ofisi hiyo inapaswa kutuoa...
Habari Kiongozi,
Ilikuwa mapema mwaka 2014 ndg yangu aliajiliwa kama Mwalimu katika Halmashauri moja hapa nchini hata hivyo alifanya kazi kw muda wa miezi nane Pekee na kuamua kumwandikia...
Naomba ufafanuzi kwa anayefahamu
1. Namna gani bei za kulipia viwanja halmashauri zinakokotolewa, na wapi au sheria ipi wanaitumia kupata gharama kamili. Kwakweli nimetatizwa na kiwango...
Habari wadau,
Mwaka huu 2020 ni mwaka wa uchaguzi, niliwahi sikia kua kama ulifungwa miezi zaidi ya sita huna sifa ya kugombea jee iwe jinai au madai adhabu hiyo?
Wadau nisaidieni jambo hili...
Sayansi haisemi uongo, Ila uongo unaweza kujitengenezea sayansi yake. Uchunguzi wa kimahakama wa matukio ya uhalifu ni uchunguzi wa kisaynsi unaolenga kukusanya ushahidi usio na shaka na kisha...
Wadau nina mpangaji kwenye nyumba yangu namdai kodi ya mwaka mzima 2019 na na huu sasa ni mwezi wa 3 2020.
Ana familia na watoto 4 wadogo wadogo
Nimeisha mpa notisi ya kuhama toka mwaka jana...
Criteria and conditions for issuance of each type of work permit
Employment of Refugees
Employment of non-citizens in the public sector
Bulk recruitment of non-citizens
Report on cessation of...
Habari wananzengo,nna kaswali kidogo kananitatiza hapa naomba kufahamu According to labour law of United Republic of Tanzania Je mwajili anaruhusiwa kumkata mshahara mfanyakazi asipohudhuria...
Habari zenu wadau:-
Kuna nyumba ya jamaa wangu, imeteketea kwa moto kutokana na hitilafu ya umeme, kutokana na ajali hiyo, nyumba na vitu vyote vimeteketea.
Je naweza kuanzisha kesi ya madai...
Habar za humu wakuu,
Naomba msaada wa kisheria kuhusu tatizo linalonisumbua.Ni hivi mnamo mwaka 2018 mwezi wa sita nillipata ajali ya gari ikihusisha gari yangu na niliendesha mwenyewe na gari...
Wataaalam naomba nipate ufafanuzi kidgo je kwa mfano ukute mtu anatuhumiwa kosa dogo la kesi ya wizi japo mshtakiwa naye alikuwa anamdai na akatengenezewa kesi ya kuamua kuchukua Mali bila mhusika...
Wakuu habarini za majukumu,
Naombeni msaada Wa kisheria ili mwajiri huyu anilipe mshahara wangu alio uzuia ili familia yangu iweze kuishi.
Wakuu mwajiri huyu amevizia Mpaka siku 2 kabla ya Siku...
Naomba kuuliza iwapo mtu amekopa fedha na akaweka kiwanja kama dhamana na kukawa na mkataba wa maandishi kuwa akishindwa kulipa deni basi kiwanja alichoweka Kama dhamana kitachukuliwa na kuwa mali...
Wana MMU habari
Nataka kujua kisheria hii imekaaje inapo tokea mwana mme kunyimwa tendo la ndoa ndani ya ndoa.
Je, kuna kifungu chochote kina muhukumu mwanamke kwa ishu hiyo?
Naombani majibu ya...
Nchi ya Ufaransa imepiga marufuku biashara ya ukahaba na ngono kwa ujumla. Iwapo utakutwa unanunua kahaba(ngono) utapigwa faini ya dollar za kimarekani 4500.
Je, unadhani kuna umuhimu nasisi watz...
Hivi sheria inatuongoza vipi katika upande Wa likizo bila malipo. kwani kampuni za tours pamoja na mahoteli upande Wa Zanzibar utoa likizo bila malipo kwa miezi 2 kwa kisingizio cha Corona...
Kwa wale wanaokopa mikopo katika taasisi zinazotoa mikopo kwa masharti nafuu mfano FINCA na PRIDE wapaswa kuelewa kuwa hakuna sheria ya dhamana ya mkopo ya vitu vya ndani.
Katika kulitambua hili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.